Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Naomba kujuzwa recipe ya kupika kalmati
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Salama ? tunaomba kufahamu MICROWAVE Iliyo bora kwa wale walio na uzoefu wa muda mrefu tafadhali, , , tulikuwa tunatumia moja aina ya SUMSANG imetusumbua sana kwa muda mfupi hata...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari zenu... Leo nimepata wzo:lets share tricks za jikoni,hope kila mtu ana za kwako.... Ntaanza mimi lol.... #1 ) jinsi ya kutumia mdalasini (cinamon) kuondoa harufu mbaya jikoni.....mfano...
6 Reactions
48 Replies
9K Views
Habari wandugu, mwenye recipe ya kaimati au gulab jamun naomba atumwagie uwanjani.....unajua mchele mmoja mapishi elfu moja..mambo ya jioni haya na gahawa!
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Asalam alykum all members of jf chef. Naomba kufundishwa juu ya matayarisho ya ile nyama tunaoweka katikati ya burger. Kwa upande wa ule mkate sina tatizo, ila kama ntapata recipe yake pia sio...
2 Reactions
55 Replies
8K Views
Jamani my X-mas is boring coz siko na familia; naombeni muifanye exciting kwa kunitupiemo recipes mpya mpya na tamu tamu ili nijipikirishe. Asanteni in advance cc: farkhina, mimi49, amu...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Wananchi wa Zambia ambayo ni maarufu kwa uchimbaji madini ya shaba barani Afrika, wamejivumbulia biashara ya viwavi jeshi, inayowaingizia kipato kikubwa, na kuwa na soko kubwa kwa nchi za kusini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Viamba vya upishi Maharage meupe mabichi Nyanya moja kubwa Soseji 4 za nyama Mafuta ya alizeti kijiko 1 cha mezani Chumvi kiasi Pilipili hoho 1 Majani ya basil Yai moja Unga wa pilipili kali...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Get a free ebook exclusively dedicated for that subject. The book title is “Top Chef Tips and Cooking Information” Each week there is a free ebook to be downloaded which has been voted by...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina packets of cooking chocolate nashindwa kubuni pishi la kuitumia, tafahali mwenye mapishi mazuri aniandikie. Asanteni
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mahitaji Mchele kg 1 Shrimp Kitunguu maji 2. .kata chembamba Thomu 1teaspoon Tangawizi 1teaspoon Mixed vegetablea Mayai 2-3 Bizari ya pilau 1teaspoon.. Mafuta ya kupikia Chumvi kiasi Namna ya...
9 Reactions
69 Replies
11K Views
Mahitaji 1) Nyama ya kusaga 1/2 kg 2) Kitunguu thomu 1 teaspoon 3) Tangawizi 1 teaspoon. 4) Bizari ya pilau 1 teaspoon 5) Curry powder 1 teaspoon 6) Pilipili manga..1 teaspoon 7) Chumvi kiasi 8)...
9 Reactions
21 Replies
12K Views
nyanya zitaandaliwa kutegemea na idadi ya watu.. matayarisho: andaa nyanya zilizoiva kwa kuziosha vyema kisha zimenye halafu weka kwenye blenda au unaweza kutumia kinu kidogo kuponda ponda na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Miaka kama sabna iliyopita nilikuwa kwenye mizunguko city center mara kufika mtaa wa Lumumba CRDB kuna mtaa wenye ofisi za TRA hapo kulikuwa na kimgahawa cha watu wenye asili ya kiarabu...
4 Reactions
25 Replies
5K Views
mahitaji biringanya kama 4,chumvi,pilipili iliyotangwa pamoja na kitunguu swaumu jinsi ya kuandaa:katakata mabiringanya slices ndogondogo kisha weka kwenye bakuli uliloweka chumvi...
9 Reactions
54 Replies
7K Views
Nani humu ni mpenzi wa Jamaican jerk chicken kama mimi?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Za hapa japo sijaingiaga huku muda sasa ila leo nataka kukuhabarisha kazi ya ubuyu(wenye rangi) katika viazi vya kukaanga. Unakata kati kati na kuvichemsha kidogo viaz vyako mbatata bila kusahau...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani nimekuwa mtumwa wa vyuku(kuku) vya kwenye mgahawa wa Marrybown,kwa anyejua jinsi vinavyotayarishwa kwani nataka niwe najitengenezea mwenyewe badala ya kutoa book 11 na nusu kila nikivimind
0 Reactions
9 Replies
3K Views
jamani kwa wapezi wa hili jukwaa, unaombwa kama una kitabu chaa mapishi ukiweke hapa kwa faida ya wote
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Leo ningependa kupika mlenda ila tatizo sijui hivyo naomba msaada wenu Vitu nilivyonavyo ni 1.Kalanga 2.Bamia 3.Majani ya maboga Je hivyo vyatosha au kuna kingine kinahitajika...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…