Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Angalia jitu katili lilivyomuua mwanamume aliyekuwa ameoa siku kumi nyuma. Halafu watetezi wa haki za binadamu wanasema hukumu ya kifo iondolewe! Let it stay live to punish culprits
Man who killed...
Najiuliza swali hili: Hawa mawakili wawili aliowasema Mnyika Kaduchi na Nchimbi“ together with this Magistrate of Kisutu, name withheld for judicial ethics) kuwa wana mchezo wa kuchelewesha haki...
Kama mkataba ni wa mwaka mmoja na unaishia tarehe 31 December, mkataba unasema mwisho wa mwaka unaweza ukarenew. Je, mwajiri anatakiwa akujulishe lini kwamba hataendelea na wewe kwa mwaka...
Ujenzi wamuomba JK amdhibiti Magufuli
Na Mwandishi Wetu
Majira
HALI bado si shwari ndani ya Wizara ya Ujenzi licha ya Rais Jakaya Kikwete kufanya mabadiliko makubwa ya uongozi wa juu wa...
Baba yangu alimuoa mama yangu kwa ndoa ya kikristo( roman Catholic) baada ya kuzaliwa mimi baba akamuacha mama kwao(kwa kina baba) akaenda chuo ambako alikutana na mama yangu wa kambo aliyezaa...
Naombeni msaada wa kisheria wakuu kama naweza kumshtaki huyu mwanamke maana mimi tokea naanza kumtokea nilivutiwa na ukubwa wa makalio yake na ndio kitu kilichonifanya hadi nikawa kama ndondocha...
Karatasi yenye maelezo yanayohusu shitaka inaitwa CHARGE SHEET( CHARGE).
Kifungu namba 228(1) cha sheria ya MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI (in english CRIMINAL PROCEDURE ACT) inasema KIINI CHA...
Samahani kwa usumbufu pia wakubwa zangu shikamoo mimi ni kijana niko chuo mwaka wa tano xaxa hivi baba yetu alifariki mwaka 1998, na alituacha mawili tu na mdogo wangu ambaye naye yuko chuo shida...
Wataalamu wa Sheria, salaamu kwenu,
Naomba kufahamu suala tajwa hapo juu.
Nimekuwa nikisikia na kusoma mashauri mbali mbali ya kesi zilizopo mahakamani, kuwa kesi imeahirishwa watuhumiwa...
Kesi nyingi zinazohusisha serikali na watu binafsi mara nyingi serikali hua inashindwa, rejea kesi ya Abdul Nondo na nyinginezo. Ya Max Mello nlikua nasoma nukuu ya wakili wa Max akimuhoji mleta...
Wakuu naomba kujuzwa mchakato mzima wa kubadilisha jina, na madhara yake, vp kuhusu vyeti yako je na vyenyewe vitabadilishwa? kama umewahi kubadilisha jina usisite kuleta uzoefu wako hapa tafadhali.
Ndani ya nyumba moja ilio na vyumba 4 ambavyo vinapangwishwa katika vyumba hivyo kimoja wanakaa mtu na hawara wake ambapo Mwanamke mwenye asili ya Tanga anasadikiwa kumuuu mwnaume wake huyo...
Mzigo huo wanajamvi angalau tujue haki zetu za msingi mana mambo hayatabiriki kila siku kunaibuka mapya.Angalau nawe unajua mawili matatu ili usiwe mweupe sana kiasi ambacho hata mwajiri akileta...
Majigambo ya ni kama hauna hela mfukoni mheshimiwa wakili??!
Bora mwanangu akasome ufundi mchundo VETA kuliko nimpeleke akasome kozi ya sheria. Vijana wetu pale law school na kwenye vyuo vingine...
Wanasheria naombeni msaada katika hili, Je kuna umuhimu au ulazima wowote katika kesi ya Mirathi kuwa na "Kaza Hukumu" kama ilivyo katika kesi nyingine zinapomaliza kutolewa hukumu?
Hivi kwa mfano nikaona mkuu wa mkoa ana overtake barabarani sehemu ambayo hairuhusiwi nikapiga picha gari yake na kuirusha kwenye mtandao wa kijamii ni kosa kisheria
Jana Rafiki Angu Amekamatwa Mida ya saa 9 jioni akapelekwa Mabatini Baada ya kufatilia tukaambiwa Amekamatwa kwa kosa la “WIZI WA KUAMINIWA”
Alie mshtaki ni Boss wake “KAMPUNI YA UJENZI”...