Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Taratibu za kuongeza jina la tatu upoje kwa taratibu zilizopo kwani Nina majina mawili yaliyopo hadi kwenye vyeti vyangu vya academic ,sasa hilo jina la tatu naliongezaje ,msaada!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari. Naomba hapa tuandae orodha ndefu ya sheria zote ambazo zinatumika Tanzania, na viambatisho vyake vikipatikana. Jina la Sheria. Mwaka. Kiambatisho kama kipo. 1. Sheria ya Huduma ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kawaida kesi za kikazi CMA inatakiwa zimalizike baada ya muda gani wadau?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kujua hivi sheria inawalindaje/inawahumu vipi wazee wakorofi wanaopenda matusi, kubaka watoto wadogo na mambo mengine ya kinidhamu
1 Reactions
2 Replies
834 Views
Naomba kufamishwa maana naweza kufanya maamuzi nikaonekana mi mbaya. Mzee wangu anapanga nyumba yake rangi na kuweka gheti kwa ajili ya wapangaji wake, Kapita bhana afya na kumtuma mwakilishi...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari ndugu Wasomi wa humu. Naandika nikiwa jimbo mojawapo la nchi ya China. Ninaomba msaada wa kisheria. Nilikata tiketi na kampuni Emirates mwezi wa tisa mwaka huu ya kuja hapa jimbo nilipo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani naombeni mwenye labor laws PDF document.
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa, Mimi sio mtaalamu wa mambo ya sheria na nyanja zake kwa ujumla. Sasa, binafsi ninaomba kufahamishwa/kuelezewa hii kitu kwenu mlio/mnaosoma sheria kwenu ina maana gani...
0 Reactions
0 Replies
809 Views
Wana Jamii wenzangu Kuna group linaitwa Udaku magazine Tanzania Lina patikana kwenye facebook wameposti picha Ya Girl friend wangu na hatimaye watu kukoment matusi kutokana na swali lililo ulizwa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
  • Closed
Naliandika hili katila jicho la sheria, na kwa malengo mahususi ya kitaaluma, ya kujifunza, na kufunua wigo wa yale tusiyoyajua. MY DISCLAIMER : sihusiki kwa vyovyote, au kwa namna yoyote na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Samahani wana jf ninaswali kuna ukweli kuwa mtu akihukumiwa miaka kadhaa kwenda jela kiuhalisia huwa ni nusu ya hyo miaka Mfano hukumu miaka 30 mfungwa atakaa 15 wakihesabu usiku na mchana??
0 Reactions
2 Replies
752 Views
Na Dkt. Abdallah J. Saffari MSHITAKIWA ana haki ya kuita na kuwahoji mashahidi. Kwa kawaida ataita wale mashahidi ambao watatoa maelezo mbele ya mahakama ambayo yataunga mkono madai yake ya...
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Kumshambulia na kumjeruhi mtu kimwili adhabu yake ni ipi kisheria?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wa kuu natumaini ni wazima wa afya kabisa, nikienda kwenye mada moja kwa moja ni hivi, kuna jirani yetu hapa bwana ni kijana kamaliza 4m4 mwaka jana,sasa katika harakati za maisha amefungua...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Wakuu nina mpango wa kusajili taasisi ya nusu-biashara ambayo ipo katika muundo wa kufanya -Training -Consultancy -Research -Auditing na shughuli zingine katika mnyororo wa uzalishaji mazao kilimo...
0 Reactions
1 Replies
985 Views
Habari wanasheria. Naomba mnijuze taratibu za ndoa za mitala kuhusu urithi. Kwa wanawake wanne kila mama ana watoto watatu. Nyumba zipo mbili kila wanawake wawili kwa kila nyumba.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba msaada wa kujua taasisi tano zinazotetea haki za binadamu. Natanguliza shukrani
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mbakwaji anapobakwa na kushiriki tendo kwa hisia, ama kukata viuno au kumkumbatia mbakaji na hadi naye kupata orgasm/kupiga bao,hiyo inamuondolea mbakaji kosa kwasababu mbakwaji alifurahia tendo...
1 Reactions
43 Replies
5K Views
habarin wanajamvi Msaada kisheria Sheria inasemaje kuhusu kumkopesha mtu hela paspo maandishi kisha anakuzurumu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanasheria na wajuz wengi tafadharini sana naomba msaada wakisheria. Ni hivi siku ya juz baada ya mechi ya yanga kulitokea mtafaruku kidogo baina ya mimi na jamaa mmoja ninayemdai pesa sasa...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…