Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Usikubali kuchukuliwa specimen kama mate,Mkojo, damu, sperm au uchunguzi wowote wa kidaktari, Ukiwa chini ya ulinzi, Ukikataa inabidi jeshi la polisi liende kuomba ruhusa ya mahakama!! Mahakama...
Nimeitwa kwenye baraza la ardhi la kata kuhusiana na shauri la mirathi, ipo hivi kuna baba yangu mdogo alikuwa anaumwa, nikampeleka hospitali akapona, baada ya kupona akaitisha kikao cha ukoo na...
Kuna mdogo wangu alijiunga chuo cha upolisi CCP moshi mwezi wa 8 mwaka 2010 lakini hakuweza kumaliza mafunzo kwani alikuwa terminated mwezi wa 9 mwaka 2010 kutoendelea na mafunzo kwa kosa la...
Kuna sheria tulitunga kipindi ambacho tulikuwa hatuna uelewa wa kutosha(wajinga) au zilitufaa kufanikisha malengo ya wakati huo.
1.Sheria ya uzembe na uzururaji. Kwasasa dunia inataka uchumi wa...
mimi nafanyaga biashara za Online nina Kampuni na Imesajiliwa Kisheria sasa Nilipata kampuni moja ya kenya (Tanzania ina Makao pia) Ambayo Ukijiunga unaweza ku accept malipo kwa Njia ya Simu na...
Ni matumaini nyote hamjambo
Moja kwa moja kwenye mada, naomba kuwauliza wale MALAIKA wa Tanzania, je mnajua kazi ya Mwanasheria au Wakili?;??
Kama hamjuai kazi zao ni bora mkakaa kimya kuliko...
Kuna Mama mjane amefungua kesi ya madai baraza la ardhi la kata dhidi ya mtoto wa mme wake ambae ni marehemu.
shauri lenyewe lipo hivi, huyu mama aliolewa na huyo mme wake akiwa Mzee sana...
Wataalamu wa sheria shikamoni/wengine habari ya wakati huu tena.
Hapa chini kunatangazo nimelipata huko Facebook limewekwa na mtu anaendhaniwa kwamba anawadhifa katika mtaa ,naomba tujadili hili...
wana bodi naomba kama kuna mtu ana pdf ya sheria ya kulasimisha makazi naomba aniwekee hapa..naihitahi kuliko wakati mwingine wowote..asanteni ndugu zangu
Wajuzi wa sheria tujuzeni mnadaina na mtu mkapelekana mahakamani mkandikishiana mbele ya hakimu kuwa kila mwezi mdaiwa alalipa kiasi furani cha pesa kwa mda wa mwaka mmoja ndio deni likaisha...
Msaada hapo wadau... Kuna mtu anaishi na mke wa mtu wakati mume wa mwanamke yupo kikazi mkoa mwingine.. Na hawajaachana kwa talaka. Japo walikuwa na mgogoro kidogo
Heshima yenu ndugu zangu humu ndani....
Mimi namdai mtu pesa yangu kwa muda mrefu, amekataa baadhi ya pesa nakukubali kias kidogo cha pesa kati ya zile nilizomkopesa.
Mchezo wenyewe nihuu...
Haya mambo yanaweza kuangamiza maisha yako ndani au nje ya taifa lako.
Kulisaliti Taifa lako nakutoa taarifa muhim kwa maadui wa taifa au wageni
Kuvujisha siri za taifa ukiwa ndani ya vitengo vya...
Tembea uone , jamani dar kweli ni kubwa na mgogoro huu nimeupata sehemu fulani hebu pata mkasa ulivyo
Mzee athumani mwinyi mvua ( sio jina halisi) aliuza shamba lake la heka mia moja kwa...
Nimejitahidi kufanya utafiti na kupitia sheria ya mapitio ya katiba (mabadiliko) 2011 the Constitutional Review (Amendment) Act, 2011, sheria ya mapitio ya katiba, 2011 the Constitutional...
habarini wana janvi! Mimi ni mhitimu katika shule frani hivi mwaka ulio pita sasa pale shuleni second master alikua na mambk ya ajabu sana kama vile kutengeneza uadui na wanafunzi kutunyang'anya...