Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka!
Toka makamishna wastaafu mwezi January 2018, mpaka sasa hawajateuliwa tena na mheshimiwa mkuu wa nchi!
Kwa hali ya sasa ilivyo, kuna kesi nyingi sana za...
Habari wakuu na madogo.!
Naomba kujuzwa jambo kuhusu dhamana, hasa ya fedha taslimu.
Ipo taratibu ya mahakama kuhusu kuwaachia watuhumiwa wa makosa fulani fulani kwa dhamana ya pesa.
Hali hii...
IGP Sirro kuzuia watu kuhoji juu ya hatima ya Usalama wetu anatumia kifungu gani cha sheria?
Je Hatuwezi kufungua Shauri Mahakamani kupinga Makatazo hayo?
Mahakama ndio chombo pekee cha...
Mbunge wa kyela Dr. Harison Mwakyembe amekataa kuhojiwa na TAKUKURU kama baadhi ya wabuge wengine walivyohojiwa na taasisi hiyo kwa madai kuwa hizo ni mbinu za kutaka kuwaziba midomo wabunge...
Kuna ndugu yangu alinunua mafuta yanayosadikiwa kuwa ni ya wizi kwani hakua na risiti ilionesha kua mafuta hayo ameyanunua.
Alimpatia mfanyakazi wa uwanja wa ndege ili amsafirishie kupeleka kwa...
A alimshitaki B kwa shauri la madai. Ilipofika siku ya kupanga speed track wakakubaliana kuendesha kesi ndani ya mwaka mmoja tangu siku ya kufungua shauri. Kumbe A akuweka vizuri kumbukumbu zake...
Wakuu, kuna dereva wangu amegonga mtu kaua mmoja na kujeruhi mmoja, sasa huyu dereva kasepa na kunachia msala, nilipoenda polisi askari alinambia nipeleke leseni ya dereva nisipopeleka...
Heshima kwenu wakuu.hivi kesi ambayo imepelekwa mahakamani kusomwa,na kesi hiyo ikawa inaghairishwa kila Siku ya kusomwa kutokana na uchunguz kutokamilika,huwaga inafikia Mara ngapi kama uchunguzi...
Kisheria, Mahakama kuu inaweza kumtangaza mtu aliyepotea kwa muda mrefu bila kujulikana alipo na jitihada za kumpata kushindikana, kuwa amekufa.
Hii inaitwa dhana ya kifo au DEATH IN ABSENTIA...
Fuatilia tafiti iliyofanywa na Mwanasheria Pascal Mshanga kuhusu Sintofahamu ya Kisheria (Legal parable) iliyopo kwenye fedha za mitandaoni na teknolojia inayoziwezesha (crypto currency and block...
Endapo mtu atahukumiwa kifungo cha nyumbani na anaishi chumba cha kipanga hapo utekelezaji wa hukumu unakua je?
Mke/mume wanaruhusiwa kuishi kwenye hiyo nyumba au wanatolewa?
Mahitaji...
Salaam,
Msaada wadau, nimekuta gari yangu imepigwa fine, license number ni mtu nisiyemfahamu, nimejearibu ku-blast hyo licence namba yake kwenye system nimekuta ana makosa mengine namba zetu za...
Help please for anyone having material facts or judgement of the case of ANRATLAL DAMODAR AND ANOTHER VERSUS A.H JARIWALLAH ZANZIBAR HOTEL (1980) TLR 31,
Help for a material fact link or book...
Hivi ikitokea huridhiki na uchunguzi unaoweza kuwa unaendelea dhidi yako na mfano labda uchunguzi huo dhidi yako unafanywa na pccb, je waweza kumlalamikia mchunguzi kwa mwajiri wake? Hasa hasa...
The ruling class must help all our young people to understand that ours is still a very poor country, that we cannot change this situation radically in a short time, and that only through the...
Rejea kichwa cha habari hapo juu, waheshimiwa mawakilli wasomi naomba msaada wenu niweze kuitapata hiyo copy ya GN No 559 of 25/09/1964.
Natanguliza shukrani zangu za dhati