Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari wadau,
Ishu ipo ivi.
Nina babu yangu ambae anamjengo wake alimkodisha mama mmoja.
Huyu mama amefungua skuli na amefanya ni kama orphanage house.
Sasa ikafika kipindi huyu mama akawa...
Wasalaam!
Naomba nijikite moja kwa Moja kwenye mada husika, mimi ni muajiriwa mwaka wa tano sasa katika kampuni ya mtu binafsi bila ya mkataba lakini juzi tumeletewa mkataba ghafla tusign.
Je ni...
Habari wana jf?,
Mimi ni mtumishi (mshika chaki) kuna mtumishi mwenzangu tumezinguana nae kutokana na tabia zake za ajabu, hasa za kunisema vibaya mbele za wanafunzi, huku yeye akijikweza...
Habari wakuu kuna trend ya watu kutishiana vitu mtandaoni bila kujali sheria ya Tanzania inasema vipi.
Unakuta mtu anasema hadharani kamlawiti flani mtandaoni na bado anachekewa kabisa hii haiko...
Habari zenu wana group ninajambo moja dogo la kiufafanuzi.
Sheria ya mirathi inasemaje ikitokea baba amefariki na alikuwa na watoto wawake tofauti tofauti?
Hiki za watoto zinasemaje hasa kwa...
Habari waungwana..
Mwajiri ameamua kunipangia kazi nyingine tofauti na ile tulio ingia naye mkataba, baada ya kufanya kazi kwa miaka miwili, amesema hajaridhishwa na utendaji wangu....
Hivyo...
Awamu ya Mzee Mwinyi iliongoza kwa kunyonga
2008-01-30 17:28:15
Na Job Ndomba, Dodoma
Serikali ya awamu ya pili iliyokuwa ikiongozwa na Ali Hassan Mwinyi almaarufu kama Mzee Ruksa ndiyo...
Nmesema hayo sababu kuna askari alipewa kufuatilia mtuhumiwa Wangu lkn sikumuelewa ile siku namwambia mtuhumiwa yupo leaders club akadai hawez kwenda sababu anapajua leaders club sio pa mchezo...
Wanajamvi, naomba kuuliza na kujibiwa hili. Je, kuna ukomo wa kudai mirathi wa wenye haki hiyo? (mfano mtumishi wa uma amefariki miaka 30 iliyopita.)
Je, iwapo wale waliokuwa wapewe mirathi tayari...
Nafahamu vyama viwili vya walimu CWT na CHAKAMWATA. Je ni sawa CWT kuendelea kuchukua 2% kwa mwalimu ambaye amehamia CHAKAMWATA na kuidhinisha kwa fomu TUF 6 kuwa michango ielekezwe CHAKAMWATA...
Habari za muda huu wadau wote wa jukwaa hili,napenda kutoa pongez kwa wadau wote wa humu kwa kutufungua mind na kutupa mind nourishment for sure salute for all,naombeni msaad hap,ivi baba mwenye...
Wanabodi, unasimamishwa na askari wa trafiki Kariakoo hana kitabu wala mashine ya elektroniki, anakukagua na kukwambia utalipia kosa fulani na kuwa kesho ukikutana na trafiki mwambie aku-printie...
A FEW DAYS AGO I GOT DECISION (TUZO) FROM CMA KINONDONI THAT MY FORMER EMPLOYER SHALL PAY ME TZS 3,000,000/=. THE CASE WAS DECIDED EX-PARTE. MY EMPLOYER FAIL TO COME TO THE HEALING LAST 3 TIMES...
Leo nimeamka nawaza hii kitu sikupata jibu ..nikaona nililete kwenye jf maana watu vchwa wako humu. Swali hili: Jeni ni makosa gani unaweza kufanya mwananchi ikapelekea kufukuzwa nchini.mfano...
Wenye taaluma ya sheria naombeni mnisaidie nawezaje kuishitaki kampuni ya simu ambayo imekuwa ikishindwa kuweka wazi miamala ya pesa iliokatwa kimakosa na kampuni husika na ni tatizo la kujirudia...
Habari za jumapili wadau,
niende kwenye hoja moja kwa moja
nilibahatika kununua kaeneo sehemu aliyeniuzi sasa ni marehemu Mungu kampenda zaidi ila yeye halikuwa eneo lake alikabithiwa tu kuuza na...