Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Msaada wenu wanasheria, huyu baba mwenye nyumba tuliyopanga kaiuza, tumeenda kwa mjumbe, bado hata haitikii wito wa mwenyekiti. Huyu aliyenunua hataki kutuona wapangaji ifikapo tarehe mosi. Na...
Ndugu wanasheria,
Naomba msaada wa kujuzwa kuhusu hili,
Kuna mkopo ulikopwa wa thamani ya Millioni 7 kutoka benki, baada ya hapo kulitokea utata katika malipo ya mkopo , mkopaji akaenda...
Wadau nadhani wale wote wataothibitika wamegushi Vyeti huenda wakashtakiwa Kwa makosa 3.
1. Kugushi cheti
2. Kutoa taarifa za uongo Kwa mwajiri
3. Kujipatia mishahara.
Tunawatakia kila la Heri...
4-(1) A person shall not intentionally and unlawfully access or cause a computer system to be accessed.
(2) A person who contravenes subsection(1) commits an offence and is liable, on...
MABADILIKO YA RATIBA UTOAJI WA HUDUMA ZA SERIKALI NA MASHINA YAKE KUANZIA 7:00AM HADI 3:00PM
Binafsi ninaamini anayeamka mapema zaidi ya mwenzake anayo nafasi kubwa ya kufanikiwa zaidi ya...
Habarini Za Wakati Huu, Wakuu.
Referring To The Title Above, Ninaomba Kusaidiwa Ebooks or Any Relevant Soft copies za BUSINESS LAW. Nipo Kwenye Uhitaji Mkubwa Kwa Sasa.
Ninaomba kwa...
Ni jadi ya waafrika kutomchagua JAJI MKUU, ona Buhari wa Nigeria anayoyafanya!
Buhari under fire over inaction on Acting Chief Justice Onnoghen
Two weeks to the expiration of the three months...
Habari wadau,..
Nilitumia cheti cha mtu cha form four nikajiendeleza kielimu, nikasoma diploma ya ualimu...
Nimekuwa kazini kwa muda wa takribani miaka 20 serikalini...
Huyu bwana mkubwa alivyo...
Wakuu poleni na kazi,
Mimi ni mwajiliwa katika halmshauri ya moja hapa mkoani Kilimanjaro naomba kujua sheria ya mwajiri kumsomesha mfanyakazi ikoje maana halmashauri hii wanasema ukitaka kwenda...
Wakuu mambo vipi? Sheria zinasemaje kama mtu anapost picha zako fb na kuandika maneno ya udhalilishaji.... ? Hatua gani ya kwanza natakiwa kufanya ? Au naweza kumfungulia kesi mahakamani?
Mdogo wangu anaingia law school mwezi august aliniomba nimuulizie kama shule ya sheria bado wanatoa mkopo au wamesitisha kipindi hiki.....kama bado wanatoa jinsi ya kuomba ni vipi msaada wadau wa...
Tukio limetokea mkoani Kigoma, ameuziwa Samsung galaxy toka 15.03.2017 na kijana aliyetokea Dar-es-salaam na baada akarudi lakini ni naye mzaliwa wa eneo hili pia. Baadae mtuhumiwa alipigiwa simu...
Wapendwa habari ya weekend naombeni msaada wenu kuna mwanaume amezaa mtoto na mwanamke bila kua katika ndoa halali wakiwa wanaishi pamoja na hakutoa mahari pia wala hakuna ndoa kama nilivosema...
Kanuni hii ya kisheria wanasheria mtusaidie uhalali wake, maana kwa ukweli sheria nyingi hazifahamiki wala hakuna juhudi za wananchi kufahamishwa wenda wangeweka mwanya kidogo wa watu kutokea au...
School a bit!!...
The Rule Of Natural Justice
Anil K Bansal describes the rules of natural justice as a hedge serving against blatant discrimination of the rights of individuals
The words...
Mwenyekiti wa Kitongoji ana Katibu wake?
Kama anakuwa naye nipeni muongozo huo maana kuna shida imetokea kwenye kijiji kimoja eti kuna mtu anaitwa katibu wa kitongoji sasa anahudhuria vikao vya...
Nauliza mke na Mme mkiachana na mkiwa bado na mtoto mdogo,je nani ànaruhusiwa kuishi na mtoto kisheria!? Kwa kuzingatia umri wa moto na mahari km ilikuwa imetolewa au laa.wenye kujua atueleweshe plsee