Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Idara ya ardhi inapotenga eneo kuwa hii ni la viwanda, makazi, soko, shule kanisa, msikiti, Open Space, Soko etc, inatumia sheria gani kuingia kwenye eneo la mtu na kuligawa kwa matumizi mbali...
KESI NYINGINE AMBAYO MAHAKAMA ILISEMA WATOTO WALIOZALIWA NJE YA NDOA WANA HAKI YA KURITHI:
Leo tunasoma kesi ya ELIZABETH MOHAMED v. ADOLF JOHN MAGESA ADMINISTRATION APPEAL (RUFAA YA MIRATHI)...
Unakumbuka ile kesi ambayo Mahakama Kuu ya Tanzania iliamua kwamba Raia wa Kigeni wanaweza kumiliki ardhi nchini Tanzania kwa njia ya kurithi (where High Court ruled that non-citizen heirs could...
Kesi ambayo Mahakama Kuu ya Tanzania iliamua kwamba Raia wa Kigeni wanaweza kumiliki ardhi kwa njia ya kurithi (where High Court of Tanzania ruled that non-citizen heirs could own land by way of...
Habari wanajukwaa,
Naomba kujua utaratibu wa kufuata kuclaim fidia unapopata ajali kama abiria katika chombo cha usafiri. Ajali hiyo imemgarimu sana ndugu yangu matibabu na pia imempelekea kupata...
Matusi, kutukana limekuwa jambo la kawaida mitaani na mitandaoni.
Ni ipi adhabu ya kutukana bila kujali wadhifa wa anayetukanwa?
Ni kipi mtu anatakiwa kufanya endapo atatukanwa?
Nilipata ajali boda boda kagonga gari langu kwa nyuma na kusababisha uharibifu mkubwa tu. Sasa nashanga naambiwa eti kila mtu atengeneze chombo chake hii wanasheria humu ndani imekaaje? Msaada...
“Navigating Challenges and Aspirations”
In the ongoing journey towards a robust and progressive judiciary in Tanzania, the foundational principles outlined in Article 107A of the Constitution of...
Majumuisho ya kesi mkakati zilizotolewa tangu miaka ya nyuma kuanzia 1983 hadi 2022 na maamuzi ya hukumu yakiangaziwa kwa kina kuona maamuzi ktk hukumu hizo
NGURI WA SHERIA WAKUTANA JUKWAA MOJA...
HATIBU GADHI & OTHERS versus REPUBLIC, 1996.
Karibu katika sehemu ya kwanza ya uchambuzi wa kina wa kesi hii ya kihistoria yenye mengi yaliyojificha ama yasiofahamiwa na watanzania wengi wa...
AGNES DORIS LIUNDI vs REPUBLIC (1978)
SOMA kesi hii ya AGNES DORIS LIUNDI ya mwaka 1978 alivyo waua watoto wake 3 na kubakiza taji liundi pekee.
Shared to you by
Mr. George Francis
0713736006...
In her recent address on IDD-EL-FITRI day, President Samia Suluhu Hassan delivered a compelling call to action for all Tanzanians. She implored citizens to actively engage in preventing the...
Nyaraka za kufungulia na kujibu kesi Mahakamani (Pleadings) kama vile hati ya madai (plaint) na hati ya utetezi (WSD) zinatakiwa kusainiwa na mhusika (mdai au mdaiwa) pamoja na wakili wake (kama...
Guys, nilifanya kazi sehemu kuna pesa nyingi sana haikuwa inaenda kule na sasa hivi nimeacha na ninaihitaji clearance na hilo eneo.
Kulingana na status ya muajiriwa wangu wa zamani naweza...
Juzi (03.04.2024) tumeshuhudia Mh. Raisi akizindua Tume ya ulinzi wa taarifa binafsi na kusisitiza juu ya ulinzi wa taarifa binafsi kwakufata sheria. Sasa, je ni kwanini Sheria ya ulinzi wa...
Hello Wasomi jinsia Ke na Me, salaam.
Nimefuatwa kuombwa ushauri. Binti ameolewa na jamaa yapata miaka minne sasa na wamejaaliwa mtoto mmoja. Ndoa waliyofunga ni ya kikristo.
Kama mnavyofahamu...
Maana nimewahi shudia jamaa mmoja alikamatwa na askari polisi akiwa amepaki gari yake na bibie wanakula mavitu na wakapelekwa polisi kufungulia charge.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.