Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari za week end wakuu, naomba msaada nilitaka kufahamu, ikiwa unataka kununua kiwanja kwa maandishi ya serikali za mtaa, je anayetakiwa kulipia garama hizo ni mnunuzi au muuzaji wa kiwanja
na...
Kuna mashtaka mengi ya kesi yamekuwa yakiandikwa kwa mtindo wa "Republic Versus Mshitakiwa", bila kutaja jina la hiyo Republic, kwa uelewa wangu, hata Kenya na China nazo ni Republic. Je, Mashtaka...
Anaomba ushauri wa kisheria; bwana Yesaya alifunga ndoa na mwanadada Iren miaka 4 iliyopita, ndoa yao ilidumu kwa miaka 2 tu kisha mwanamke akaondoka baada ya kutoridhiswa na tabia za mumewe...
ninahitaji kufahamu kama kuna sheria inayoweza kumfunga mtu aliyemdharirisha ndugu yake wa damu kwa kufanya nae mapenzi.
Kuna mtoto wa kike wa shangazi yangu(umri 19) alikuwa anakaa na kaka yake...
Msaada wa kisheria, nataka kuachana na mke wangu.
Habarini za weekend magwiji wa sheria. Mimi ninaishi na mke wangu (bila ndoa kwani ni dini tofauti) kwa takribani miaka 4. Huyu binti sikuwahi...
Kwa kutumia jicho la ki-layman naona kesi ya My. Lema ya kawaida sana, sio kesi ambayo Lema akipewa dhamana either atahatarisha maisha yake au ya mtu mwingine yeyote. Swali ninalojiuliza Kwa kesi...
Juzi nilikuwa Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kufuatilia taarifa mbalimbali.
Nikiwa pale nikasikia karani wa Mahakama akitaja majina Na kuelekeza kuwa waliotajwa kesi zao ziko Kwa mahakimu Kwa...
Kama tunavyofahamu kuna wanaume wengi hukimbia majukumu yanayoendana na kuitwa baba huku mtaani akijisifu yeye ni kidume na kumuachia mwanamke mzigo wote wa matunzo ya mtoto.
Je, kuwakata hela ya...
Naomba niulize, kwa mfano Raisi ameona nchi imemshinda hawezi jiuzulu mwenyewe kisheria?
Kwani ni lazima amalize miaka mitano?
Na kwa mfano akijiuzulu nani anakabidhiwa nchi?
Raisi mstaafu wa...
naomba kwa mwenye kujua ni ammendment ya mwaka gani ime ammend sheria ya vileo ya mwaka 1968 ambayo inaonesha umri wa kuuziwa kileo ni miaka 18. Sheria ya mwaka 1968 inaonesha ni miaka 16.
Habari,kwanza kabisa Heri ya chrismas na mwaka mpya 2017 kwa wote.Kwa wale wenye kumiliki Website zilizosajiriwa au yeyote mwenye uelewa juu ya namna ya kusajiri website hapa tanzania naomba...
Wakuu,
Habarini za majukumu nikiwatakia sikukuu njema ya Xmass na heri ya mwaka mpya 2017.
Naomba niingie ktk mada kama nilivyoeleza hapo juu. Naomba kujua haki zangu niwapo ktk kikao cha nidhamu...
Habari wana jamvi.
Kwanza niwatakie maandalizi mema ya 25. Dec.
Kama mada ya hapo juu inavyosomeka naleta kwenu ombi nifafanuliwe muda unaokubalika kisheria chaguzi ndogo kufanyika baada ya...