Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Jamani wanasheria, nambie ukweli wa jambo hii.
Hivi zawaidi inayotolewa/wanayopeana wapenzi wakati wa mahusiano yao, je irudishe wakigombana?
Kutokurudishwa kwake ni criminal au civili case?
Kwa mnyenyeku mkubwa naomba kuliiza hili swali.
Ninafanya kazi kwa mwajiri binafsi, huwa anatoa leave allowance kwa kila baada ya
mwaka mmoja wa likizo..
je kwenye hii leave allowance ni kwa...
Wapendwa naomba msaada wa hili. Nilinunua shamba, mwanaukoo akataka kulikomboa (redeem a clan shamba). Akaambiwa kuwa alipe laki saba. Hakimu hakuweka hizo hela zilipwe ndani ya muda gani. Imepita...
Je unaweza kuandika barua ya kutengua kuacha kazi/kujiuzulu kuna rafiki yangu alipata ajira serikalini mwaka huu kwa iyo akaamua kuacha kazi private na kwenda serikalini sasa anasema ajira yake...
wadau mnisaidie, kuna ndugu yangu alikuwa na kesi kazini kwake lakini kabla ya kutatuliwa ktk kikao cha nidhamu mdau alikuwa anajiskia kuugua hata akashindwa kuhudhuria tareha zilizopangwa ktk...
Habari zenu wanajamii. Wanajamvi Mimi nilikuwa naomba ushauri wenu, Mimi niliajiriwa na shirika LA wabelgiji waniajiria bukoba. Katikati ya mkataba wakanihamishia mtwara. Nilifika huku nikafanya...
Nasema hivi kwa kuwa nimekatwa karibu miezi tisa bila mkataba nao shirika la bima, sasa nataka kufungua kesi mahakamani, kisheria natakiwa nimshitaki branch manager wa mkoani kwangu aliyeprocess...
wakuu naombeni msaada wa kisheria kwa hiki kitu nilichoulizwa na mwanafunzi wangu ktk somo la URAIA, ni hivi sheria inasemaje kwa mama mzazi anapohukumiwa kifungo cha jela na wakati huo mama huyo...
Ni kwa jinsi gani watu hawa wafuatao wanavyoweza kupata haki zao kutokana na maamuzi ya kukurupuka ya serikali hii'Tangu serikali ilivyoamua kubadilisha sifa za kujiunga chuo kikuu kupitia TCU...
Kwa wenye kujua mambo haya ya kodi wanisaidie,je kwa mfanyakazi kibarua yaani part time ambaye anatakiwa alipwe kwa lisaa mara baada ya kazi ni sawa kukatwa kodi?
ngoja nitoe maelezo kidogo...
Kwa wanaojua sheria hebu nijuzeni umekamatwa kwa kosa la jinai ukawekwa Mahabusu asubuhi unakabidhiwa fagio ufagie eneo la nje la kituo cha polisi je ni sahihi kufanyishwa kazi hiyo?
A criminal code is a document which compiles all, or a significant amount of, a particular jurisdiction's offenses. Typically a penal code or a criminal code will contain offences which are...
Kuna mfanyakazi wa Kampuni ya Sukari Kilombero alisimamishwa kazi,,,,,kwa madai eti alipost taarifa ya kampuni kwny mtandao bila kibali.
Ni kwamba kulikuwa na mvutano Wa nyongeza ya mshahara...
Tanganyika Law Society (TLS)
Nyie wenyewe mnalalamika kuwa Law firms zinawachaji wateja wake kwa USD na mna discourage hiyo, mbona kwenye fees zenu mnaendelea ku encourage matumizi ya USD...
Wakuu habari zenu?? Tafadhili kwa maenyeuelewa wa masuala ya sheria naomba mwongozo hivi kesi ubakaji na ulawiti je inadhamana..?
Mfano mtuhumiwa amekamatwa kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti...