Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wapendwa,
Katika harakati za kuisoma namba, rafiki yangu ameamriwa kuresign na mwajiri wake au lah atafanya kazi bila malipo. Rafiki huyo ana mkopo toka kampuni hiyo na mwajiri anadai asaini...
Wasalamu wana JF nimenunua kiwanja mwezi Aprili nikakilipia %90 zikabaki hizo zingine,kabla sijamalizia naenda site nakuta jirani yangu alieuziwa kajenga kaingia mpk kwenye eneo langu,kisheria...
wakuu niliajiriwa na taasisi moja ya serikali kwa mkataba wa muda flani ,lakini nikiwa kati ya mkataba siku yangu ya kazi nikiwa kazini ikatokea tukio linalohusu kazi lililofanywa na mtu mwingine...
Natumaini ni wazima,
Nilikuwa nawaza tu kwenda kufunguwa kesi mahakamani juu ya mafao yangu niliyochangia, nakunbuka wakati najaza mkataba wa kujiunga na mfuko huu wa mafao sikuambiwa na wala...
Habari wadau,
Nina mdogo anatarjia kuingia law school of tanzania disemba 2016 hivyo angependa kujua ni vipi atapata makazi jirani na shule na ni bei gani pia angependa kufahamu zaidi maisha ya...
ni kwa mujibu wa tangazo jipya linaloonyesha watumia madawa ya kulevya wakipinga uchangiaji wa sindano wanapojidunga madawa hayo,..tangazo hili linaonyesha kuunga mkono matumizi ya madawa hayo...
Wakubwa tumekuwa tunasikia watuhumiwa wa madawa ya kulevya wakikamatwa. Kuna yule mama alikamatwa kunduchi na wengineo wengi hebu tupeni mrejesho hivi kesi za madawa ya kulevya tanzania huwa zinaisha?
Heshimu kwenu wakuu nilikuwa nataka kujua taratibu zinazotumika kumkataa msimamizi wa mirathi Mahakama ya mwanzo jee unaandika ombi la kummkataa au unafanya vipi kwa sababu ni miaka miwili sasa...
Wapendwa katika Bwana hamjambo?
Nawasilisha hoja yangu kwenu nikitafuta msaada,
Hawa Bodi ya Mikopo wamekuwa wakifanya makato kwenye mshahara wangu kwa muda mrefu sasa wakati sikuwahi kusoma...
Wajamani mtoto wangu alifanya interview ya kujiunga na hii kozi ,
mwenye kujua waliochaguliwa kujiunga nayo watujuze maana muda unaenda na hatujaweza kuandaa hata huo mkopo maana hatuna majibu,
Hamjambo.
Mimi ni mstaafu na ninataka kupata "resident permit" kwa mara ya pili (renew) lakini ninalazimishwa kupata barua ya sheha.
Ninataka kujua kujua sheria gani sheha anaweza kukataa...
Kumekuwepo na kesi nyingi dhidi ya serikali ktk mahakama/tume za usuluhishi watumishi wakidai kufukuzwa kazi kwa uonevu na hivyo kuhitaji wakulipwa fidia na stahili zao kwa uonevu na...
Mke wangu ambaye ni mwalimu wa shule ya serikali ameshangaa kukuta kwenye risiti ya mshahara makato ya CWT CONTRIBUTION wakati hajawahi kuomba wala kujiunga na chama hicho. Kuna sheria ya...
Wadau,
Hivi sheria zinasemaje katika hili. Wafanyakazi wa umma wameajiriwa na serikali, na serikali hiyo hiyo ndo inasema baadhi ni hewa, sasa kwanini gharama za kwenda kuhakikiwa wanazotumia...
Hivi kwa mfano mh. mkuu wa wilaya akatoa amri ya mimi kukamatwa, na nikakamatwa nikawekwa ndani kwa zaidi ya masaa 48, hivi ni sahihi kwa yeye kuniweka masaa yote hayo? na kama sio sahihi naomba...
Wadau habarini za mchana naomba kupata sheria inayozungumzia kupewa barua ya majukumu ya kazi pale unapoteuliwa kusimamia majukumu flani kwa mfano umeteuliwa kuwa mtaaluma mana nasikia ni lazima...
Naombeni ushauri mimi nilichukua pesa laki nane tu kwa ajili ya biashara, ya chips ila haikunilipa mtaji ulikata wote, ingawa nilikuwa na familia ya watoto watatu, na mke mmoja nime teseka Kwa...