Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari ndugu Wanasheria,
Nilikuwa najaribu kukusanya viambatanisho vinavyohitajika kwa ajili ya kukamilisha maombi ya hati ya kusafiria, sasa kiambatanisho kimoja (Affidavit ya Mzazi) ambacho ni...
Wadau naomba kujua raisi ana kinga gani ya kutokushtakiwa kwa mujibu wa katiba akiwa madarakani sheria inasemaje najaribu kutafakari vipi wakati mkapa kaenda kutoa ushaidi mahakamani wakati wa...
Habari wakuu!
Naomba nipate muongozo wa nini cha kufanya, kuna frame ya biashara nilipata Mjini Morogoro mwaka huu kodi ya pango ilikuwa ni laki mbili kwa mwezi, sasa kwa kuwa nilikuwa na uhitaji...
Habar za asubuh ndugu!
Naomba msaada wa kisheria juu ya jambo lililonisibu katika ajira nliokuanayo katika kampuni moja hapa Tanzania!
Nimefanya kazi kwa miez 7 katika kampuni moja na baada ya...
Siku hizi pamekuwa na tabia ya watu kuiba hati ya nyumba na kwenda katika taasisi ya fedha kuchukuwa mkopo bila ridhaa ya mwenye hati.
Inawezekanaje mtu apewe mkopo kwa hati ambayo haina jina...
Wadau nina kiwanja cha mzee ambaye sasa ni marehemu, ni miaka mingi imepita na sasa nimepata akili nahitaji kutumia hati katika mambo yangu ya kibiashara hasa mikopo!!
Nb: Nilishakabidhiwa...
Wana janvi ile kesi iliokua inasubiria sana iliokua inamuhusu askari aliemuua marehaemu mwangosi mwandishi wa habari wa Chanel 10 imetoka kwa askari kuhukumia miaka 15 jela kwa mujibu wa jaji...
Mtuhumiwa Mohamed Yusuph Ally anayedaiwa kuingiza milioni 7 kwa dakika akipelekwa rumande.
MFANYABIASHARA anayedaiwa kukwepa kodi na kuingiza shilingi milioni 7 kwa dakika amesomewa mashitaka 199...
Ndugu zangu wataalam wa sheria naomba ufafanuzi wa kisheria kuhusu betting /Kamari au bahati nasibu.
1. Katiba ya nchi ina ruhusu hii michezo?
2.Je ikitokea tatizo let's say umedhurumiwa kwa...
Jamani wanajamvi habarini za muda huu. Naombeni msaada kuhusu fidia ya kulipia gari lililogongwa na sheria inasemaje kuhusu matengenezo ya magari yaliyogonga. Msaada wenu please. Naomba kuwasilisha.
Je kwa sheria za nchi yetu zinaruhusu mali wanazozalisha wafungwa kuuzwa kwa minajili ya kibiashara au magereza za tanzania zinaruhusiwa kuuza kibiashara mali wanazozalisha wafungwa msaada kwenye tuta
Hivi majuzi tumeshudia picha chafu za bibi harusi kwenye mitandao mpaka ndoa yake kuvunjika ghafla baada ya fungate.Niliona jinsi swala la kule morogoro la kubakwa yule msichana watu...
Nina nyumba imechakaa ipo katika eneo zuri la biashara binafsi sijawa na uwezo wa kuirekebisha kwa sasa, kaja mtu anataka kuirekebishe kisha afanye biashara. Tayari kashaingalia na anasema gharama...
Hivi mtu mmoja anawezaje kuwa na majina manne?
Yanakaaje kwenye Nyaraka za kisheria (Legal Documents) ambazo Mara nyingi huwa na nafasi tatu?!!, yaani Jina la kwanza, la Pili/kati na la...