Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Habari zenu wakuu, hii nimeiona mara nyingi sana na imekuwa ni kawaida kwa askari Polisi,mwanajeshi au maofisa wa serikali kuwa juu ya sheria sijajua kama ni sheria zetu ndio zinasema hivo au ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani nataka kusoma dploma ya sheria vp ni fucult nzurii
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mm ni mtumishi wa serikali. Kuna mtumishi mwenzangu ambaye tunafanyanaye kazi kituo kimoja. Ametamka wazi kuwa atakuja kunilisha sumu, japo hakuniambia mm moja kwa moja ila ushahidi upo.
0 Reactions
5 Replies
997 Views
Habari wakuu. Kumbe sheria ni ujanja ujanja sio haki inayokufanya ushinde.Si ajabu ukiwa na kesi ukaambiwa hii kesi yako ukimpata mwanasheria mzuri unashinda,utajiuliza kwa nini hadi niwe na...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Eti in Tanzania chuo kipi kina offer law course vizuri zaidi....?
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Kutokana na tamko la Rais kuwa matrafiki kuchukua elfu tano ni hela ndogo ya kubrush viatu, JE NIKICHUKUA RUSHWA HIYO nitatiwa hatiani nikitoa kielelezo cha clip ambayo raisi ameruhusu tuchuke...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wanajamvi Mimi ni mfanyakazi katika kampuni binafsi(sio kubwa) kwa takribani miaka mitatu now Nmeona nirudi shule na mwajiri wangu amekubali na kuahidi kunilipia ada na kunilipa mshahara...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habari za sahizi naomba kujulishwa juu ya hii huduma ya PF3 inayotolewa na Polisi kwa wanaopata majeraha na wanahitajika kutibiwa, je ni sheria gan inayo ipa uhalali hii form kutumika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi...nauliza. ..sheria inasemaje kwenye swala la:- Mwanamme kutembea na mke wa mtu. Ushahidi upo. #Refer case ya Nabii mwingira...etc
0 Reactions
39 Replies
21K Views
Wakuu nataka kununua gari kutoka NGO moja hapa nchini. Lakini hili gari halikulipiwa kodi wakati linaingizwa nchini ila lilisajiliwa kwa namba za kiraia. Nikitaka kulimiliki natakiwa kulipa kodi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wajameni nifafanulieni kisheria, je, fumanizi ni kosa? na udhalilishaji unaofuatia matukio haya, mfano kuwatembeza wahusika wakiwa uchi, kuwalazimisha kuwapiga picha wakiwa uchi, pengine kuwapa...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Wakuu, kwa anayefahamu. Naomba kujuzwa ni Kanuni namba ngapi ya Public Finance Regulations ya mwaka 2001 revised edition 2004 ambayo inazungumzia matumizi mabaya ya fedha za umma/serikali. Au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hellow guys ukifanya kazi zaidi ya miaka 9 kwenye kampuni bila mkataba ila tu malipo ya NSSF kupelekewa kama kawaida na mshahara usio na salary slip ukija kuachishwa bila sababu una haki zipi...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wafungwa nane ( 8 ) waliokuwa katika Chumba kimoja katika Gereza moja huko Mjini Texas nchini Marekani waliamua kuvunja hicho chumba chao ili kuweza kumuokoa Askari Magareza aliyeanguka ghafla na...
0 Reactions
2 Replies
853 Views
Wakati nilipopata nafasi ya kupitia sheria ya makosa ya mtandaoni sikupata clear definitions ya adhabu zake na matkwa yake na watu gani haswa wamelengwa kulindwa au kuwa sewed kwa makosa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Sasa ukimfunga miaka yote hiyo mtoto anakua bila baba: Mtoto huyo huyo atadhihakiwa na jamii kwa kutokuwa na baba na alivyopatikana (bastard?????). Pili malaezi/matunzo???? Hili lilihitaji mjadala...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mtu akisimamishwa kazini anaweza kwenda kusoma?
0 Reactions
1 Replies
880 Views
Nilikuwa napenda kujuaa hv katika hati ya nyumbaa .......inatakiwa waandikwe watoto au wazazi wenyewe?
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Wadau msaada kutoka kwenu, Kuna rafiki yangu alikua kwenye kampuni moja ambayo alikua akifanya kazi pamoja na raia wa kigeni. Anadai siku moja alifanyiwa fujo na raia mmoja wa Uingereza ikiwa ni...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba mwenye kopi za/ya hukumu ya kesi za kupinga ubunge 2015 aniwekee humu JF. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…