Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Kwa upande wa CCM kuna watu hodari kama kina Chenge ambaye naskia amesoma Harvard, Ngeleja na Mkono lakini hawa sijawahi kuwasikia kwenye tasnia ya sheria kama nnavowaskia wanasheria wa CDM kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Topic: . mungu awe nanyi vigogo wa heslb fieldmashal 17:57 Today Me nataka kufa jamani namiaka mitatu sasa nakosa boom hahi nahisi bora ningezaliwa nyani ulaya kuliko kuwa mutu Tz lnchi...
0 Reactions
3 Replies
999 Views
Wakuu natumaini wazima, mimi ni kijana ambaye nlikuwa natafuta chumba cha mtaani (ghetto), kwa bahati nlikiona chumba ambacho pana mtu nayefahamiana naye alikuwa kapangisha hapo na ndio alikuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nadhani in busara kwa PCCB Na POLISI wakatekeleza Sheria inavyotaka juu ya Mtoa rushwa na Mpokea Rushwa. Juzi Jeshi la Polisi lilitangaza kumkamata askari wake aliyepokea rushwa huko mkoani Tanga...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jalada la kesi limepotea mahakamani siku chache kabla ya hukumu? Je kesi itaanza upya? Nini kinafanyika?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu Naomba nipate ufafanuzi kuhusu mbunge anapochaguliwa kua waziri mshahara wake unatoka kwenye wizara aliyoteuliwa au anaendelea kulipwa na bunge? Nawasilisha kwa ufafanuzi
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kwa wanao jua sharia na katiba naomba wanieleweshe kuhu jambo hili.
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Jina la waziri mkuu litakalo pendekezwa kesho ndani bunge,linaweza kuthibitishwa na wabunge wa upande mmoja wa muungano na ikawa ni halali?bunge lenyewe linaweza kuanza vikao vyake bila wabunge wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ukiwa mwanaume amekutelekeza zaidi ya miaka sits aliniacha na mimba ya mwezi hajawahi kugeuja wala hamjui mwanae hadi Leo na Mimi sijawahi kumfuatilia japo nasikia yupo hapa hapa town naameshaoaoa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ninawaomba wajuzi wa mambo ya Sheria ya Rushwa watujuzi Sheria ya Rushwa inasemaje kwa mntoa rushwa a mpokea rushwa.Kwa uelewa wangu mdogo nadhani iwapo mtoa rushwa hatatoa taarifa za kuombwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi inawezekana hati ya ardhi ikabadilishwa jina bila ya mm ilikuwa wa mwanzo kusaini sehemu ya document za wizara ya ardhi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Je ni haki kwa mwajiri kutompatia pesa ya kujikim dereva wake awapo safarini kwa mda unaopitiliza pesa aliyompatia kwa kwenda na kuludi ikiwa sababu ya kuchelewa c dereva ila ni ofisi yenyewe?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwajiri wangu anataka niajiri lakini anasema ni lazima nijiunge na NSSF TU, Kwa sababu yeye amejisajilia na mfuko huo. Lakini mie binafsi sijawa tayari na mfuko uwo, kwa sababu zangu ambazo...
0 Reactions
1 Replies
973 Views
Nina ndugu yangu amekamatwa na polisi kituo cha central arusha. Sasa ni wiki ya 3 hawajampeleka mahakamani. Naomba kwa anaye jua sheria ni muda gani mtuhumiwa anapaswa kukaa kituoni kwani polisi...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Mimi ni mwalimu, nina miaka mitano kazini katika ngazi ya diploma. Mwezi wa pili mwaka huu, kama (zilivvyo taratibu za halmashari nyingine) niliomba halmashaurini kwangu waniingize kwenye...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Nimeiona tabi hii ya mawakili. Kesi napokaribia na wako karibu na cumba cha kuingia wakili anamchukua mteja wake na wanaanza kuongea na kupanga jinsi ya kushambulia hoja za mpinzani. Ukipima muda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna familia ya baba,mama na watoto watatu wa kiume,kati ya wale watoto watatu wawili ni wa nje ya ndoa mmoja kwa baba na mwingine kwa mama,mmoja ndiye aliyezaliwa ndani ya ndoa ila wote walikuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF. Nimepokea ujumbe kutoka kijijini kuwa rafikiyangu kipenzi amekamatwa na kuswekwa rumande kwa kosa la kushindwa kulipa kiasicha TZS 570,000/= Issue ilikuwa hivi. Kuna jamaa huwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Baada ya sheria ya kimtandao kukamata wazushi mitandaoni sasa itungwe sheria wanaodanganya live yaani kimdomodomo kwa mfano yule jamaa aliyemdanganya rais John Magufuli kuwa watumishi wameenda...
0 Reactions
0 Replies
791 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…