Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Kesi namba 128/2013 inayomkabili
Katibu wa jumuia na taasisi za kislamu Tanzania
Sheikh PONDA ISSA PONDA kutolewa hukumu
Katika mahakama ya mkoa wa
Morogoro siku ya jumatatu ya tarekhe...
Mh igp. Traffic wa arusha wamekuwa wasumbufu sana kwa wananchi. Yani mji umekuwa ni kero kwani askari wako wamekuwa omba omba. Na wakiona umekataa kabisa kutoa rushwa wanalazimisha kuandika fine...
Ijulikane kuwa wahusika wa,mtoto wa box wamefungwa kwa miaka 15. Kwa kosa la kuua bila kukusudia. Naapa mbele ya Yahu Eloi wetu Jaji Feleshi hakitoa hukumu ya haki na ya kitaalamu au kisayansi ya...
Poor Lowasa tofauti kati ya ICC na ICJ , ICC ni international criminal court lakini ICJ inahusu migogoro kati ya nchi moja na nchi nyingine ambao ni member Wa UN
Ninaomba Wanasheria Wetu mtusaidie kutuelimisha watanzania kitendo cha kuufuta Uchaguzi Wa Zanzibar una athari gani kwa kura za Muungano kwa Rais Wa Jamhuri ya Muungano? Je Rais Wa JMT anaweza...
Ibara number 41 ya katiba ya JMT inazungumzia uchaguzi wa raisi. Ninaomba wanasheria mtusaidie kupata ufafanuzi kifungu cha saba.
(6) Mgombea yeyote wa kiti cha Rais atatangazwa...
Habari Wanabodi,
Nimenukuu kauli mbiu iliyotumika wakati wa mchakato wa Bunge Maalum la Katiba Mpya isemayo " Mbili zatosha Tatu za nini?"
Wajuzi wa Sheria mchakato wa uchaguzi umekwisha na...
Wanasheria naomba msaada wenu kujua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi anatangaza matokeo ya uchaguzi wa Tanganyika ama wa Tanzania ? Kama ni wa tanzania mbona uchaguzi wa Zanzibar ulishafutwa ...
Mambo vp wanasheria wenzangu...
Kulingana na kichwa cha habari na hali tulio nayo sasahivi ninaitaji kujua yafuatayo:
Je kuna njia gani chadema wanaweza ku apply mahakamani ili tume hisimtangaze...
Wanasheria jitokeze hapa kudadavua hili suala.
Kama NEC itatangaza mshindi wa urais wa Muungano ataunda vipi serikali bila wabunge wa zanzibar?
Je Bunge la Muungano litaitishwa vipi na kuchagua...
Polisi wa upelelezi (CID) kutoka makao makuu ya CID Dar es Salaam walimkamata Mchungaji Christopher Mtikila, jana saa 11 jioni (1700hrs) saa za Afrika Mashariki na kufanya naye mahojiano hadi saa...
MAZOEA YA KUWEPO UMBALI WA MITA 200 AU 300 KUTOKAKITUO CHA KUPIGIA KURA
Kumekuwepo na mazoea kwamba, baada ya kupiga kura wafuasiwa vyama hubakia na kukaa kwenye maeneo ya kupigia kuraumbali wa...
Qn. In the doctrine of privity of contract state that only a part to the contract can be sue or sued and can benefit from such contract in the sense that no stranger of such contract can be sue or...
Wakuu, mim mzee wangu alitukanwa na kudhalilishwa, baada ya hapo akashitakiwa mahakama ya mwanzo lkn akashinda kesi hiyo, cha ajabu mlalamikaji anadai hakuridhishwa na mahakama hivyo kakata Rufaa...