Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wapenzi wanajamvi na wasomi wa sheria ninaomba nakala au sample ya documeht ya power of attorney( genearal and special power of attorney)
ni muhimu sana
Nyamwero Co.Ltd are considering inserting an ''honour clause'' in their agreement with their major supplier, Benedicto Co Ltd. Advise them as to the advantages and disadvantages of such a course...
Wataalamu wa sharia naomba mnisaidie hili
Mtumishi wa uma anasemeheka kodi kwa sharia hii kama ataamua kununua chombo cha moto kama gari,trekta,pikipiki,na vinginevyo kutoka nje?
Baada Ya Kuwa Na Vitisho Kutoka Kwa Mwajiri Na Wajumbe Wa Chama Kilichokuwepo Cha Tpawu, Sasa Tuico Wamepewa Kibali Cha Kuwepo Kwny Ajira Ilyoanza Juzi.
Jamani Tunaomba Msaada Wa Kisheria Maana...
habari wadau
ninahitaji msaada wa kisheria,nyumba ninayokaa huwa nalipa kodi 280,000 per month,sasa mwezi huu nimelipa kodi ya miezi saba nikamwomba mwenye nyumba anivumilie hadi mwisho wa mwezi...
Nimefuatilia makala ya Star TV juu ya watu watano wanaosubiri hukumu ya mahakama iwapo kuna uwezekano wa kukatisha maisha yao kwa kujiua kutokana na sababu mbalimbali.
Awali aliyedai haki hiyo...
Habarini humu ndani,samahani ningependa kufahamu hizi private sector hua zinatumia sheria gani za kazi,je ni kama zile zinzotumiwa na public organizatio?
Habar wanajamvi!
Nataka kumhamisha wife kikazi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine na hatujafunga ndoa kanisani wala bomani, je tunaweza kutumia kiapo cha ndoa ambacho kinaonyesha kama ndoa ya...
Wakuu,
Kuna nyumba ya urithi iko maeneo mazuri hapa Jijini Dar es Salaam. Mgao ni kupanga mimi pamoja na ndugu zangu wawili, na ni nyumba ya kuuza, ni zaidi ya M300, yani million miatatu...
Habarini za Usiku huu wana JF.
Naombeni msaada au ushauri kwa jambo hili.
Nimetumia parccel kutoka nje ya nchi (smartphone 2) kwa EMS, risiti inaonyesha siimu zina gharama ya usd 80 na jamaaa...
jamani hivi ni sahihi kweli umekuwa ktk mahusiano tena si ya ndoa wala uchumba na mwanamke kwa miezi sita tu na mkaja kukorofishana kisha baadae anakwenda kukushitaki mahakamani kuwa anataka...
Kwa sasa, jiji la Dar es salaam linakabiliwa na foleni za magari. Kutoka pembeni mwa mji mji kuja katikati yanatumika masaa kama 3 kwa wastani, ambapo ni sawa na muda wa kutoka Dar kwenda...
Habarini..
HABARINI,
Naomba kuuliza wanasheria na maafisa utumishi ,je mfanyakazi akileta malalamiko ya kesi kua inatakiwa ufike ofisi za mediation wewe kama employer ni lazima kuijibu barua...
Nilizaa na mama mmoja tukalea mwanetu sasa yapata miaka sita.Kwa sasa mama anasema mwana si wangu na hataki kupima DNA. na pia kama tutapima ikawa kweli si wangu. Sheria itanisaidiaje? Naomba...