Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Habari wana JF, Kuna hii kesi iliyotajwa hapo juu, inayohusiana na sheria ya madhara yanayowezakusababishwa na wazalishaji kama viwanda dhidi ya wateja wao. Mwenye uelewa zaidi wa hii kesi...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wadau wa sheria naombeni msaada wa kujuzwa kesi za kusaini pasipo kuilewa vyema pepa husika Naomba kesi ya mfano, ukiacha kesi ya Sluis &Others
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni kweli hiki ni kitu kipya katika sheria ya Tanzania? Kwa mwenye knowledge juu ya suala hili naomba anisaidie tafadhali.
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Jamani naomba msaada nini nifanye, nimemwona aliyeniibia simu yangu kwenye kamera live. Sasa ofisi inaendelea kufuatilia information kupitia huyo dada aliyekuja naye. Je, sasa hatua gani nichukue...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu nilichelewa kupokea nakala ya hukumu ya kesi yangu. Zimenifikia muda wa rufaa ukiwa umepita. Je naweza kufanya taratibu zipi ili kumudu kukata rufaa?
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Nataka kujua, Je, wakati wa kipindi cha uchaguzi, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania huwa anabaki kuwa Rais au hujivua urais kwenye kipindi cha uchaguzi mkuu? Kwa sababu na yeye huwa...
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Mkuu tafadhali nisaidie katika hili. Anafanya kazi katika kampuni ya mtu binafsi. Mtu huyu amekua na tabia ya kukosa nidhamu kazini mara nyingi kazini anakuja amelewa. Mwajiri amechukua hatua ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa (TAKUKURU) inawahoji watumishi kadhaa wa idara ya fedha waliohusika kuhizinisha malipo yasiyo halali ya Tsh 800,000,000/= (milioni mia nane) kwa kampuni ya...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Mtu aliyefukuzwa/kuachishwa kazi anastahili alipwe mafao gani na mwajiri wake? Naomba nielekezwe na jinsi ya kupiga mahesabu ya mafao.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kabla sijaingia shule ya sheria nilikuwa nashangaa kuona wingu la wanafunzi wakifeli, lakini sasa baada ya kuingia nimeona kwa nini watu wanafeli. Sababu kubwa ni mrundikano wa masomo na ratiba...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari wana JF, nina rafiki yangu ana kesi mahakamani kwa tuhuma ya kushiriki katika tukio la wizi wa pikipiki tukio limetokea January mwaka huu yeye pamoja na wenzake wawili wapo nje kwa dhamana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wapendwa wana JF, Kuna phrase hasa kwenye Law of Contract inaitwa Quid Pro Quo ikiwa inamaanisha Nothing goes for Nothing. Kwangu mimi hii phrase nimekua nikiichukulia na utata...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu wanajf. Ni sababu zipi zinapelekea mtu kupoteza uraia wa Tanzania? Mtu amekaa nje ya Tanzania zaidi ya miaka 10 inaweza kuwa sababu uraia wake kupotea? Ni sababu zilipi zilizopo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanasheria, Nnavyo andika hivi nyumbani kunamgogoro mkubwa,mama yangu ni mjane,ambae marehem alimuachia nyumba na watt wawili kwenye ndoa. Tofauti na hapo baba alizaa na wakina mama wengine...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya taasisi zinawatumia wanasheria ambao hawajaenda law school wakati wameajiliwa muda mrefu na wamekuwa wakiomba kwenda kujiendeleza lakini hawapewi nafasi hiyo hata...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
habari wadau naitaji kununua law reports kuanzia mwaka 1980-2011 je naweza zipata wapi na kwa bei gani kwa kila moja mwenye ufahamu tafadhali nijuze na mahala zinapo patikana tofauti na duka la...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nina kesi ya ardhi ambayo imekuwa under litigation for 24 years. In the primary court, I won. On appeal, I lost and at the High Court, I won my appeal. My opponent on application for leave to...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.PICHA |MAKTABA KWA UFUPI Ni kuhusu pingamizi lililowekwa na Serikali la ama iendelee kusikilizwa au itupwe. Dar es Salaam. Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam jana...
0 Reactions
0 Replies
931 Views
Habarii zenu wanajukwaa Samahani ninaomba kwa yoyote atakaekua na any materials on corruption especially in an aspect whistleblowing protection both international and domestic. Much regards..
0 Reactions
1 Replies
793 Views
Ndugu wanasheria niwekeni sawa kwa hili, Kampuni yetu ina nyumba mjini, na mmoja wa wanahisa alikopa katika taasisi fulani na akaweka hati ya kampuni (bila makubaliano). sasa mkopo hakumalizika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…