Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Ndugu wana Sheria, Nimeombwa niwasilishe kwenu ombi la Msaada wa kisheria kwa Mayatima hawa ambao wanataka kupata mwanga wa kisheria kama kuna uwezekano wa kupata urithi wa haki za Merehemu baba...
Habari wana JF naleta mrejesho wa kesi ile ya mgogor wa urithi. Baba aliyezaa na wanawake tofauti.
Baada ya kwenda mahakamani ikaonekana ilikuwa ni kampuni na si mali ya mtu binafsi.
Na katika...
Ni familia ya rafiki yangu mmoja.
Iki hivi baba yao alioa mke wa kwanza akazaa nae watoto 2. Baada ya mikaa 3 mke alifaliki.
Akabaki baba na watoto 2. Ila baadae baba yao akazaa na mwanamke...
Wadau wa jukwaa salamu!
Nawasilisha swali langu hivi, kama mfanyakazi ameachishwa kazi lakini hajafikisha vigezo vya kulipwa pensheni je atalipwa tu malipo aliyochangia au atapewa na faida...
MSAADA TUTANI
Hello folk!
I'm humble, asking for your legal help!
I may be ignorant of the right path of legal procedure in handling this case!
Mr X come to my shop one day and he asked for some...
Habari wapendwa?
Tuna watoto 4, ila mtoto mkubwa wa kwanza sio wangu nilioa mke wangu akiwa tayari ana mtoto, watoto watatu ndio nilizaa naye. Huyu mtoto wa kufikia tangu akiwa mdogo miaka 2...
Foleni ni tatizo linalosumbua wananchi wote tu.
Magari ni mengi.
Wenye uwezo wananunua magari yao.
Magari mengine madogo, mengine makubwa ya familia.
Magari ya usafiri wa umma yanabeba watu...
THE LEGAL BATTLE TO INHERIT THE ESTATE OF THE BUSINESS TYCOON LATE REGINALD MENGI: HISTORIC AND MONUMENTAL JUDGEMENT BY HIS LORDSHIP MLYAMBINA.
"The dead commands nothing from his grave except...
Primary Courts/ Mahakama za Mwanzo
1.0 UTANGULIZI
Mahakama ya mwanzo ni Mahakama ya chini kabisa katika mfumo wa Mahakama hapa nchini Mahakama hii inaanizishwa kwa mujibu wa fungu la 3 la sheria...
Historia ya Nafasi ya Mtoto wa nje ya Ndoa katika Mirathi
Katika masuala ya mirathi jambo mojawapo ambalo limekuwepo katika jamii na limeibua changamoto kubwa ni nafasi ya mtoto wa nje ya ndoa...
How to enforce foreign judgements in Tanzania (jinsi ya kutekeleza hukumu ya nje ya nchi hapa Tanzania).
Kupitia makala hii utajifunza mambo yafuatayo:
1: Whether a foreign judgement can be...
Habari zenu wakuu,
Mnamo tarehe 09/07/2023 nilifanya muamala kutoka simu yangu kwenda kwenye kampuni moja ya michezo ya kubahatisha 'kubet'.
Ni kampuni kubwa tu kwa hapa Tz. Hiyo fedha...
Habari wadau ! Leo nimeandikiwa fine kisa taa ya break imeungua na taa zinaungua muda wowote , je hii kisheria imekaaje ? si alipaswa kunipa taarifa tu kama onyo au mimi ndo sijui
Habari wanajamvi,
Siku ya juzi tarehe 19 september 2023 tumeletewa notisi ya malipo ya kodi ya ardhi (nimeambatanisha) ikiamrisha tulipe kodi ya ardhi jumla ya shilingi 244,700/=tshs
Kodi ya...
Nilikuwa nafuatilia passport nikaambiwa niandae Cheti Cha kuzaliwa Cha mzazi au kiapo/ afidavit.
Naomba kufahamu namna ya kupata afidavit. Je, inawezekana kuipata katika Mahakama ya mwanzo...
Ninaomba msaada wenu wakuu. Kwenye makaburi ya kinondoni alipokua amelazwa marehemu mama yangu kuna kaburi la mtu mwingine na limejengelewa haswa. Nini nifanye nipate haki ya sehemu ya mama yangu...
Habari zenu wanajamvi,
kuna viwanja msasani mikoroshini viwanja viliishia kupimwa na vingine havijapimwa sasa huyo msomali alishashtaki siku nyingi na akaombwa alipe fidia maana yeye kanunua...
Huyu jamaa anakukumbusha wapi na mwaka gani.. Personally he reminds me some way back more than ten years ago with my friends .Some of them are no longer breathing ..Those were the days bana..We...