Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Nini maana ya trial de novo.
0 Reactions
2 Replies
880 Views
Jamani tusaidiane leo nimeona gazeti la Nipashe likiandika Babu Seya Kufia Jela Je nini maana halisi ya kifungo cha maisha?
1 Reactions
48 Replies
8K Views
Jamani leo habib Mchange nusura achapwe makonde na washiriki wa kongamano la vijana wa vyama vya siasa baada ya kuwasirisha maada ambayo iliwakera washiriki. hotuba ya Mchange ilidumu kwa dakika...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Hatimae ofisi ya chadema yaungua jamani tutaacha lin kwa nchi yenye amani kama hiii!
0 Reactions
1 Replies
794 Views
Hatimae ofisi ya chadema yaungua jamani tutaacha lin kwa nchi yenye amani kama hiii!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
HATIMAYE binti anayedaiwa kubakwa na Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya (CCM), amefungua jalada Polisi dhidi ya mbunge huyo. Habari za kipolisi ambazo Tanzania Dama limezipata...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
  • Closed
Anayejiita Nabii na Mtume Josephati Elias Mwingira kutoka Efatha ameshitakiwa na Dkt Willium Morris kwa kosa la kufanya Zinaa na kuzaa na Mkewe. Mwingira wa Efatha anatajwa kufanya zinaa na...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
MAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imesema itatoa uamuzi wa kuliondoa shitaka la kukaidi amri halali iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam au la dhidi ya...
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Kilewo wangu ametafutwa kwa udi na uvumba na Jeshi la Polisi kwa sababu ya Taarifa za magazeti.. Kapuya kafunguliwa Jalada la tuhuma zinazoendelea kuvuma kwenye vyombo vya habari, kama haitoshi...
10 Reactions
63 Replies
8K Views
Ndugu wadau. Napenda kufahamu endapo mtumishi wa umma amepoteza salary slip anatakiwa aende wapi ili aweze kuipata tena kama ile iliyopotea au hata mbadala wake? Nomba wataalamu mtirirke.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kutokana na kukamatwa kwa Mkuu wa Kitengo cha Usalama wa Chadema, Wilfred Lwakatare na taarifa zilizopo kuwa atafikishwa mahakamani hivi karibuni, kumekuwa na mjadala kama ushahidi wa...
6 Reactions
10 Replies
11K Views
Nimekuwa nikiwaza sana juu ya kuanzisha Taasisi au kikundi binafsi ambacho kitakuwa kikijihusisha na uchunguzi binafsi wa masuala mbalimbali. Swali la msingi nalotaka kujua: Je Sheria ya Tanzania...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nawasalimuni ndugu zangu ktk jina la Bwana... Story iko hivi, Nilikua na biashara zangu nami nikaweka vijana 3, lakini kati ya hao watatu wawili niliwaweka katika biashara moja lakini kama...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Akilalamika Shibuda kutishiwa, Polisi wanaondoka saa ile ile kutafuta wahalifu na kuwahoji. Akilalamika Zitto na habari ikaandikwa kwenye gazeti, wanafungua jalada na kuwaita watuhumiwa mara moja...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa nyakati tofauti,nimekuwa nikiskia kauli hii "serikali sikivu ya chama cha mapinduzi" sasa hii kauli ya Naibu waziri wa nishati na madini ndugu Simba chawene,kuwa "mtanzania atakaeona gharama...
0 Reactions
0 Replies
779 Views
"Serikali imekuwa ikifanya jitihada mbalimbali katika kuhakikisha vitendo hivi vinatokomezwa." Angellah Kairuki. KWA UFUPI Rai hiyo imetolewa jijini Dar es salaam na Naibu Waziri wa Katiba...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Nishati atakiwa kuwaomba RADHI watanzania baada ya kuwaambia kuwa atakayeshindwa kumudu gharama mpya za umeme basi atumie kibatari KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama kuna mtu anayejua kifungu cha sheria kinachohusiana na uhamisho wa mke kufuata mume naomba aniambie.
0 Reactions
1 Replies
762 Views
Kama kuna mtu anayejua kifungu cha sheria kinachoruhusu uhamisho wa mke kumfuata mume naomba anijibu
0 Reactions
0 Replies
894 Views
wakuu naitaji msaada wa kisheria hivi mtuhumiwa anaweza kuomba mahakama isogeze mbele kesi?
0 Reactions
4 Replies
912 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…