Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Wakuu nahitaji msaada wa sheria ya usalama barabarani jinsi ya kuipata kwenye softcopy
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kaibu Kamishna wa Polisi, Adolphina Chialo Idadi ya wanaume wanaojitokeza kwenye vyombo vya sheria kushitaki namna wanavyonyanyaswa na wake zao imekuwa ikiongezeka mwaka hadi mwaka. Hayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakiwa mahakamani tayari kabisa kupandisha kizimbani na kusomewa kesi yao. Watu kumi akiwamo mlinzi wa Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Mabadiliko ya Katiba Mpya, marehemu Dk. Edmund Mvungi...
0 Reactions
0 Replies
905 Views
T
0 Reactions
1 Replies
883 Views
Wandugu nimekaa na kutafakari juu ya kifo cha dk Mvungi,ikiwa ni pamoja na kupitia kesi mbali mbali alizowahi kusimamia kwa ajili ya kutetea wanyonge,tafakari yangu ienifikisha katika kesi ya...
2 Reactions
46 Replies
7K Views
Kama mzazi na mpenda haki, nmefurahishwa na kuridhika na maamuzi ya kutupa rufaa ya wanamuziki wa Kongo(Nguza na mwanae). Kwakweli naunga mkono hukumu! Takribani juma zima vyombo vya habari...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
UPDATE: Babu seya,Papii Kocha kunyea debe Maisha...Ni baada ya Rufaa yao ya mwisho kutupiliwa mbali na Mhakama hii Leo...!! Mwanamziki mkongwe nchini Nguza Viking aka Babu Seya na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
Wanajamvi leo ndiyo siku ya kusikiliza kwa mara nyingine kesi iliyokwisha kutolewa hukumu. Hukumu iligubikwa na mambo mengi ya sitofahamu kama vile kuonewa na kukomoana. Macho na masikio ya...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
naomba kujua iwapo msimamizi kagawa mali za marehemu kwa upendeleo kwa baadhi ya watoto wa marehemu, ni vifungu gani vya sheria vinaweza kumbana ili atumia haki na usawa?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ili jambo lolote lifanikiwe baina ya pande mbili ni lazima liwe na ufahamu waq kutosha kwa pande zote mbili zinazohusika,Electronic Fiscal device(EFD) ni mradi wenye nia nia nzuri lakini...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Kama inavyojieleza, hivi hapa Tanzania ni sheria ipi inazuia udukuzi wa mawasiliano ya simu na je ni hatua zipi za kisheria zinaweza kuchukuliwa dhidi ya mtu anayefuatilia mawasiliano ya simu ya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mtoto wa kapuya na mauaji ya mwanafunzi Tabora: Ukweli ni upi? Nimesoma habari hii kwenye magazeti tando na kukuta maelezo tata kuhusu hili suala. Is there anyone to shed some lights? Nachelea...
0 Reactions
65 Replies
9K Views
Kwanza natoa pole kwa kumpoteza Kipenzi chetu Dr Mvungi kwa sababu ya ujinga wa baadhi ya Watanzania wenzetu. Pili naomba kuuliza iwapo mtu amemjeruhi mwenzake, na baada ya muda majeraha hayo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
In Tanzania, there have been a long time efforts to make sure that all people, with and without disabilities are valued the same at all life affairs. Different documents are enacted to recognize...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Samahani wanasheria naomba kufahamishwa kuhusu tatizo hili, Kuna mwajiri (jina kapuni) anataka kubadilisha/kufuta mikataba ya wafanyakazi wenye ajira ya kudumu (a contract for an unspecified...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huyu ni mtoto aliyekutwa na Baba kwa Mama. Wakati huyu Baba anamuoa Mama, alimkuta na watoto watatu (3) wote wa kike kila mmoja na Baba yake. Na huyu Baba kipindi anamuoa Mama, alikuwa na Mtoto...
1 Reactions
24 Replies
8K Views
Habari wana JF me ni mwanafunzi wa shelia mwaka wa mwisho Iringa ningependa kuongeza taharuma zaidi ninapo hitimu degree yangu lakini katika fani tofauti ambayo nitaweza kuattach na field yangu ya...
0 Reactions
43 Replies
7K Views
Tumefarijika sana Na Maneno ya mkuu wa kiti Cha kutunza Amani ya JIJI la Dar es Salaam anayeikazia Na kuitekeleza Sheria ya Nchi Yetu.. Kamanda Alhaji Suleiman Kova, Kwamba Kutembea Na bint wa...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Ndugu wanasheria, naomba nisaidiwe kwenye suala hili hapa chini; Nilifanya inteview ya kazi ( 4 rounds) kwa mwajiri fulani, na akanitaarifu kuwa nimeshinda na kwa hiyo nipange lini tukane kwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…