Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
wadau naombeni mnisaidei kupata hii sheria ya mirathi maana kuna vitu vinanichanga sana..!
i) ya dini
ii)ya nchi,
na
iii)kikabila je zote hizi zinasemaje na mwongozo ukoje ikiwa baba hajandika...
Poleni na majukumu wana JF, kwa kupitia LINK hiyo hapo chini unaweza pata msaada wa kisheria, hasa sheria za kimataifa ni bure hakuna malipo yoyote yale....fuata hizi process
1) Fungua...
Nimefika mlandege siku ya leo hii kuona maonyesho laliyo letwa siku ya mwenge nimekuta kichwa kinaongea kimewekwa juu ya sinia kwenye meza na imefanikiwa kwa jana na leo wale wa kuuliza maswali...
Mtu anapata ajali, au anapigwa vibaya katika hali yoyote ile, Wasamaria (Wema), wanamuokota na kumpeleka hospitali au kituo cha afya ili kupata huduma ya kwanza na matibabu akiwa bado yupo hai...
habari wanajf hususani wanataaluma wa sheria tatizo langu linahusu mirathi kama ifuatavyo; mzazi wangu wa kiume alifariki 2009 alikuwa mwajiriwa wa serikali huko mwanza. Kikao cha ukoo kikamteua...
Am GADIEL MJEMA natafuta mtu anaesomsea masomo ya sheria toka mzumbe university, huyo nitaempata tutafahamiana zaidi, regardless of sex and year of study.
Wewe ni mwana sheria hebu tushauri hili tumefanya kazi na mtandao wa simu ya voda takribani miaka 10 nikiwa km wakala leo bila taarifa wananiambia kuwa nikifanya kazi jumapili silipwi kamisheni...
naomba kufahamu ivi mfano unaanza mahusiano na mtu hata hamja fahamiana vizuri wala kukubaliana chochote mara anataka uende ukamtembele mahali anapoishi unaamua kwenda, akakuomba mfanye mapenzi...
Ukiingia kule, elekea sehemu inaitwa "Downloads" hii iko mbele ya "products",
ukibofya hapo kwenye downloads utakuta kuna sheria mbalimbali, bofya na kuipata bure. pia, waweza angalia kwenye...
wasalaam wanajamvi. Unatakiwa kuacha mita ngapi kutoka katika mpaka wa kiwanja unapotaka kujenga nyumba yako? (toka mpaka wa kiwanja chako na kiwanja cha jirani yako/mwenzio {mpakani})?
please Lawyers, nimejaribu kuitafuta hii sheria lakini sijafanikiwa kabisa mpaka nimekuwa na wasiwasi kama ipo, kwa yeyote mwenye soft copy yake namuomba anisaidie. asanteni
Habari zenu wana JF
naombeni mnisaidie jambo hili ambalo linanitatiza sana,ili nipate pakuanzia kwani uelewa wangu wa sheria ni mdogo
mwaka 2007 nilinunua kiwanja cha serikali mbweni dsm,pale...
Sheria inasemaji kwa raia yoyote wa watanzania aliyehujumu uchumi wa nchi,je inamruhusu amiri jeshi mkuu kumpa muda wa kujirekebisha tu bila adhabu.
lakini pia je kwa mtu kama huyu ambaye...
Kuna matapeli ambao wanajifanya wahubiri wa Neno la Mungu wapo jijini Dar es Salaam. Jamaa hao wanne wanaoishi Mbagala Rangi 3, wanaongozwa na Anton Abel Magoya ambaye anafahamika kuwa ni muhubiri...
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (katikati) akiwa na maafisa wa Serikali ya Uswiss pamoja na timu
uchunguzi kufuatilia mabilioni ya fedha zilizowekwa katika benki za nchi hiyo. Picha na...
naomba kwa mtu yeyote anayekijua kile kifungu kinacho onyesha sheria inakuwa into action tu baada ya kuchapishwa au kutangazwa kwenye vyombo vya uma!mana kuna bosi wetu anasema hana habari kuhusu...
Mimi kitaaluma nimesona BBA lkn kwenye kampuni ninayofanya kazi nimekaimu nafasi ya meneja mwajiri H.R . sasa jana nikiwa ofisin kuna mfanyakazi moja kaingia na kunitukana matusi ya hovyo. sasa...
My dear Learned lawyers,naomba msaada wa kupatiwa tortious cases zilizoamuliwa na mahakama yoyote ya tanzania,maana kuna kesi leo nimeshindwa kuipatia ufumbuzi,
HABARI NA POLENI KWA MAJUKUMU. kuna dada mmoja ambae yupo chini ya miaka 30 alipo maliza shule ya msingi tu aliolewa nakaka mmoja nakuishi nae kwamuda wamiaka 14. akazaanae watoto wa 3. wakiwa...