Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Law school inataka nini jamani maana wanzaingua hadi matokeo
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu zangu mwenye soft copy ya Contract ACt of Tanzania naomba aniwekee hapa. Ninashida nayo sana jamani. Thanx in advance..
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Mimi nina mtu nimempangisha nyumba yangu. mkoa tofauti ninapoishi, Mkataba nimeuatach na email hii, Kabla ya mkataba huu kwisha nilimtaarifu kwa njia ya simu mpangaji wangu kwamba nitapangisha...
0 Reactions
1 Replies
905 Views
Heshima wana JF, Naomba kujua adhabu ya mtu anayekamatwa na pembe za ndovu kisheria ikithibitishwa bila shaka mahakamani. Kuna jamaa yangu amekamatwa nazo.
0 Reactions
0 Replies
897 Views
naomba msaada mwenye waraka wa unaohusu categorization nina shahada ya elimu halafu nina MBA yaani master of business administration,wamezingua kunibadilishia kada niliomba kufanya kazi kama afisa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wana jf naomba msaada wa sheria katika jambo hili. Kuna jamaa yangu alinunua kiwanja kwa x na akawa amejenga nyumba .wakati nyumba inakaribia kumalizika amejitokeza mtu y akadai kuwa ile sehem...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naombeni msaada wa kisheria juu ya hili. Ndugu yangu kafungiwa account yake ya bank kwa amri ya polisi. Kisa katuhumiwa kuiba hela katika kampuni anayofanya kazi. Je kisheria polisi wana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Diwani wa kata ya Mabogini. Moshi Vijijini, Albert Msando (Chadema) jana alikuwa kivutio mahakamani baada ya kujitokeza na kumtetea Diwani wa Kata ya Machame wilayani Hai, Rajab Nkya (CCM)...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Na Happiness Katabazi — MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetengua adhabu ya kifungo cha mwaka mmoja jela iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, Machi 21 mwaka huu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna kiwanja kimeingiliana na jirani yangu, ambapo kwenye hicho kuna nyumba yangu na ya kwake, sasa kwakuwa nyumba yake ni kubwa inavyumba 8 anataka achukue hati ya hicho kiwanja nyumba yangu ina...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello! Nataka kuanzisha biashara ya kununua pikipiki za usafiri kisha kukodisha kwa waendeshaji bodaboda hizo kwa makubaliano ya kila siku akipaki pikipiki hiyo arejeshe Tshs. 10,000 na baada ya...
0 Reactions
11 Replies
11K Views
Heshima kwenu wakuu. Naomba msaada wenu kuhusu sheria kwa mashtaka bandia. Nimeshtakiwa polisi na mtu nisiyemjua akidai kwamba alinipa pesa. Nimemuuliza mpelelezi huyo mlalamikaji kama ananifahamu...
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Hii sheria ya 'Muflisi' inafanyaje kaz?i. Watu waliopata kuitumia ni pamoja na Mike Tyson, na Witney Houston... Wenye uelewa wafunguke tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
774 Views
Child act, 2009, SECTION 36 reads: Where the court has made an order on a biological father, such biological father shall assume the responsibility to the child in the same manner as may be in...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Akanusha kukwamisha kesi kupinga sheria ya magazeti Aelekeza lawama kwa mawakili wasiofika mahakamani Jaji Kiongozi, Fakihi Jundu Jaji Kiongozi, Fakihi Jundu, amesema Mahakama Kuu isilaume...
0 Reactions
0 Replies
996 Views
Habari zenu wakuu ndani ya sakafu hii tukufu ya JF Jamani mimi naombeni mnisaidie kuhusu kulinda wazo langu la bishara ambalo nategemea kuwauzia benki, na je nitumie sheria au njia gani kulilinda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
iko hivi marehemu babu yangu alikuwa na shamba la ekari 30 na ndipo yalikuwa makazi yake miaka 1940 na amewazika baazi wa wanae hapo.akahama yeye pamoja na mke wake yaani bibi pamoja na mwanaye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wenye uzoefu na sheria ya mapato/kodi, je mliki wa , tuseme pikipiki, gari etc anatakiwa kulipa kodi ngapi? Pili je ni haki kulipishwa kodi mala mbili kwa kitu kile kile???? Na kama sio haki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani mimi ni mwanafunzi mwathrika wa did not secure the loan kwa kigezo ati nilimaliza Diploma miaka 3 iliyopita. Cha kujiuliza> Mbona wakati tunaomba hicho kipengele hakikuwapo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Serengeti. Mtu mmoja ambaye ni bubu na kiziwi, mkazi wa Kijiji cha Bisarara Kata ya Sedeco wilayani Serengeti, amelazwa katika Hospitali Teule ya Nyerere akidaiwa kupigwa risasi na askari...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…