Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Judge tells living man that he’s still legally dead Content preferences Done Eric Pfeiffer, Yahoo! News...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani hivi inawezekana kubadilisha jina la baba lililoandikwa kwenye cheti cha kuzaliwa.
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Inasikitisha, watuhumiwa dhidi ya MAUAJI ya Stephano Bahati (14/05/2010), aliyekuwa Katibu wa CCM kata ya Isamilo jijini Mwanza wote wameachiwa huru. Kibaya zaidi aliyekamatwa (Jumanne Osca)...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau Naombeni Msaada hapa wa kupata hizi sheria za kila mfuko wa Jamii niangalie tofauti iko wapi na pia wapi ni kuzuri kwa maisha ya badaae...maana kila mfuko unajigamba sana..! Chezea maisha ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari Wakuu! Mimi ni mtanzania nina ndg yangu anataka tufungue company nami nilikuwa na biashara yangu binafsi inayotambulika kisheria nikilipa kodi zote stahiki,Sasa nataka kuifunga na kufungua...
0 Reactions
0 Replies
951 Views
Jaji ametoa hukumu/ uamuzi kuwa wanaume ni madereva makini/wazuri zaidi kuliko wanawake. Hivyo, shule za udereva ni ruksa kuwalipisha wanawake ada kubwa zaidi. Jaji Javier Albar wa Uhispania...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana JF Tafadhali nifahamisheni kwa Wa Tz wanaoishi njee ya nchi na wanataka kurudi Tz Jee unatakiwa kuwa nje ya nchi kwa muda gani ili upate msamaha wa kodi mfano wa Gari? Kuna rafiki yangu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari ndugu, mimi nilinunua eneo ambalo lilikuwa na barabara ya kufika kwenye eneo hilo. badae akaja akanunua mtu mwingine mbele yangu pembezoni mwa barabara. cha kushangaza huyu jamaa aliyenunua...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Natumai nyote mnafanya vyema ktk harakati za kuijenga Tanzania. Hivi karibuni nimesikia watu wakidai kuitwa kujiunga na JKT kwa mujibu wa sheria. (mimi nikiwa mmoja wao ambaye nimeahirisha kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni muda mrefu sasa wanaharakati mbali mbali wamekuwa wakipigia kelele swala hili. Nchi kadhaa duniani ikiwemo Kenya wamefuta adhabu hii.Kwao hii ni jinai;mwalimu au mzazi ukibainika amemchapa...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Anayejua gazeti la tarehe 10 liloandika habari ya alex massawe kutafutwa kwa mauji atujuze wa hapa Jf
0 Reactions
43 Replies
12K Views
Habar wanajamvi hili, Ningependa kujua ni sheria ipi au kifungu kipi cha sheria anachotumia rais kuteua washauri wake???? Maaana hao washauri ni kama hawaijui kazi yao,na elimu ni pungufu kichwan...
0 Reactions
2 Replies
830 Views
Napenda kutoa pongezi zangu kwa wansheria wa chadema. Ukweli ni kwamba tunamwona LIsu zaidi kwa sababu yeye ndio anaonekana kwenye vyombo vya habari zaidi bungeni na ni msemaji wa chadema kuhusu...
0 Reactions
4 Replies
992 Views
naomba sana kwa anaye weza ingia anichekie asante
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wana JF. Kwanza pokeeni salamu zangu. Napenda kuwauliza endapo mwalimu wa shule ya sekondari amezushiwa uongo na mkuu wa shule kwamba anawakusanya wanafunzi na kuwachochea ili wafanye fujo...
0 Reactions
1 Replies
998 Views
Naomba kujulishwa ni sheria ipi au kifungu kinachosimamia Vikao vya harusi au meeting resolutions za vikundi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwajiri hajapeleka michango yangu ya ppf kwa miaka.3. Nifanyeje ili nikisepa PPF wanilipe fasta.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
People who post explicit pictures of exes online face jail sentence after 'revenge porn' is outlawed in California Legislation passed to tackle growing problem of 'revenge porn' Spurned lovers...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
DECLARATION. Naitwa MTANZANIA MZAWA Naishi: TANGANYIKA Elimu: MGANGA NJAA Umri: MIAKA 54 Kabila: NYERERE ALIKATAZA NATHIBITISHA NA KUKIRI MBELE YA HADHARA HII KUWA Namfaham Mhe. Lowassa Ngoyai...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…