Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Mirathi ni utaratibu mzima unaotumika katika kugawa mali ya marehemu pale anapofariki.
Msimamizi wa mirathi ndiye mwenye jukumu kubwa la kuainisha mali iliyoachwa na marehemu...
Zoezi la kuwaondoa wahamiaji haramu wa kutoka Rwanda likimalizika ni vyema na wahamiaji haramu kutoka nchi zingine nao wakasakwa na kutakiwa kuondoka. Zoezi lisiishie kwa hao tu. watanzania...
hivi ikitokea mtu unaendesha chombo cha moto km vile pkpk au gari kwa bahati mbaya mbele yako akakatza mfugo wa nyumbn km vile ng'ombe au kuku kwa ghafla na ukashndwa kufnga break nakumgonga Je...
KATIKA hali isiyo ya kawaida, kijana Faizi Haji Juma (22), mkazi wa Mchanga wa Kwale Wilaya ya Chakechake, Pemba aliwashangaza wananchi baada ya kuwatoroka askari waliokuwa wamemdhibiti ndani ya...
KWA UFUPI
Ripoti ya CPJ inasema kutokana na mashambulizi dhidi ya wanahabari baadhi yao wameamua kufyata mkia.
Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania mara nyingi huwa inapongezwa na kumwagiwa sifa...
Wakuu habari za majukumu.
Nahitaji kusoma sheria za kazi na ajira
je chuo gani kwa hapa nyumbani nitapata programme hiyo?
na sifa zinazohitajika ni zipi?
nahitaji post graduate diploma.
kwa...
Nimeamini kweli Uwanja wa Ndege wa Airport Dar DANGURO LA Kupitishia madawa
ya Kulevya
BINTI MMOJA AMEKAMATWA NA MADAW AYA KULEVYA JIONI HII PALE UWANJA WA NDEGE WA AIRPORT
BINTI HUYO MANASHATI...
Msaada wa kujiuliza ni nini? Hatima ya viongozi wa kenya waliofikishwa katika MAHAKAMA ya UHALIFU WA KIVITA endapo watapatikana na hatia ? kwa mujibu wa sheria gani?
A alifunga ndoa na Am, baada ya miaka mitatu wakafarakana na A kukimbilia kwao Tanga ambako alikutana na mpenzi wake wa zamani Ab wakafunga ndoa bila ya kuvunja ndoa na Am. Am anajua kuwa baada ya...
Ni jambo la kusikitisha sana kuona kwamba hili tatizo linaendelea kukua siku hadi siku. Kuna mwanachama mmoja alilalamika majuzi kuhusu huu mtindo ambao ofisini kwake walivunja hadi choo!
Haya...
Wana JF!
CDM karibia kila mkoa wana kesi na matatizo kwenye mahakama na polisi Tanzania.
Tanzania siasa za vyama vingi imeanza toka 1992, mbona ni wao tu wana kesi,vurugu na matatizo hapa...
KWA UFUPI
Ninataka kuwaeleza kuwa mwondoke kwa kuwa Sheikh Ponda hakufikishwa mahakamani hapa leo hadi Septemba 17 atakapoletwa kwa ajili ya kutolewa kwa uamuzi wa dhamana, alisema Hakimu...
wana jamvi,ninaomba msaada kwa mtu anayejua kuhusu hili lakini kwa kila hoja au ushauri awe na legal authorities..
SWALI: Endapo mshitakiwa wa kosa la jinai (theft) alikamatwa akawekwa chini ya...
Nimetoka kumwangalia Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi kwenye ITV Mheshimiwa Patrick Rutabanzibwa akijitetea kutokana na tuhuma nyingi zinazomkabili wizarani...
Habari wana Jf ? Poleni na shukri za kila siku , thamahani waheshimiwa naomba msaada wa kujulishwa njinsi ya kuandika mikataba ya kuuza na kununu magari , kwa ufupi mimi najishughulisha na uhuzaji...
Wana jamvi naomba kuwauliza wahusika na mambo ya sheria za uchaguzi. Tuliambiwa kesi zote za uchaguzi zitakamilika ndani ya mwaka mmoja baada ya uchaguzi!
Cha ajabu kuna kesi ya diwani wetu kata...
Msaada unahitajika wa jinsi ya kumwokoa huyu mwl wa taaluma mwenye tabia ya kuwataka kimapenzi wanafunzi wa kike ktk sekondari hii. Nikiwa mwl wa nidhamu nilimwita faragha na kumwonya kwa...
Igonarance of law is not an excuse or a defence.
Habari zenu wa jf, kutokana na sababu mbali mbali ambazo nina experience nazo kwakutana mara kwa mara kwenye routine zangu nje na ndani ya...