Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Kwanza nitangulize shukran kwa wana jamii forum kwa kaz kubwa ya kuelimisha jamii.baada ya shukran hizo,naomba kusaidiwa kwa hil:mama ana kesi dhid ya aliyekuwa mme wake tangia 1999 akidai...
Naomba kusaidiwa kupata mwanasheria mzuri ili nikaandike wosia wangu. Nadhani inaeleweka ni jambo jema kuandika wosia mapema ili baadaye kusiwe na usumbufu kwa watoto na familia. Pia naomba...
wakuu katiba au sheria za nchi zinasemaje kuhusu raia wa nchi jirani aliyeishi na kuolewa kwa miaka mitano nchini kwetu...mdogo Wang kaoa mkenya kwa miaka mitano sasa ana kitambulisho name Cheti...
Idadi ya watanzania wanaohitaji hudma ya mawakili inazidi kuongezeka hasa maeneo ya vijijini ambako mawakili wachache waliopo hawapendi kufanya kazi mana wengi wamejikita dar na maeneo mengine ya...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi, amelionya Jeshi la Polisi tabia ya kubambikia kesi wananchi kwa lengo la kupewa rushwa.
Waziri Nchimbi aliyasema hayo wakati akifunga...
Ndugu wadau habari zenu nyote;
before nilikuwa sifahamu kabisa kuhusu nini watu hususani chama chakisiasa wanatakiwa kufanya
nilichofahamu nilazima wapate kibali cha polisi ambacho wangekitoa...
Utii wa sheria bila shuruti ni kampeni ya Dini zote. Hivi karibuni Jeshi la polisi Tanzania limeanzisha kampeni ya Utii wa sheria bila shuruti ikiwa ni moja ya miradi mikuu ya falsafa ya Polisi...
Mwanamke anayedaiwa kupanga njama za kumuua mumewe wa ndoa na mtoto wa mume huyo, amepandishwa mahakamani akiwa na mtuhumiwa mwingine wa mauaji hayo.
Janeth Jackson (32), mkazi wa Moshono...
MBUNGE NASSARI ASOTA POLISI KWA MADAI YA KUMPIGA KADA WA CCM
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari jana alishikiliwa na jeshi la polisi mkoani Arusha kwa saa tatu na nusu kwa tuhuma za...
Jamaa alioa mke na kufunga nae ndoa (ya imani ya kiislam) japo haikudumu sana ingawa walifanikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume na wakapeana taraka kila mtu akaendelea na maisha yake huku mwanamke...
Janeth Jackson anayedaiwa kula njama za kumuua mume wake, Simon Jakson na mtoto wake wa kambo.
Kwa ufupi
"Ni mke wa mfanyabiashara maarufuwa Tanzanite Arusha, anayedaiwa kupanga njama za...
Askari wa Jeshi la Polisi, Ramadhan Selemani (27), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na shitaka la kukutwa na meno ya tembo yenye thamani ya Sh. Milioni 121.5...
Katika toleo letu la leo ukurasa wa kwanza , tumechapisha habari yenye kichwa cha habari askari 117 wametimuliwa Polisi . Katika habari hiyo, imeelezwa kuwa, Chuo cha Taaluma na Mafunzo ya Polisi...
Bandugu, naomba kuuliza:
Suppose unaitwa X, na jina kamili la baba yako ni YZ. Kuanzia shule ya msingi, O-Level, A-Level na mpaka chuo umetumia majina mawili tu (XY) na ndiyo yanayoonekana kwenye...
Wanafunzi 117 wa Polisi, wamefukuzwa katika Chuo cha Taaluma na Mafunzo ya Polisi (MPA),
kilichopo Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro.
Waliotupiwa virago na kufutwa kwenye kozi hiyo ni wale...
Nilikuwa na mchumba wangu ambaye nilitaraji kufunga ndoa nae ya kiislam,maandaliz ya harusi yaliendelea vizur sana na nilifanikiwa kujitambulisha kwao na pia kulipia mahari kwa asilimia 85,lakin...
je? kuna sheria yoyote inayo mfunga mtu aliyeishi na mwanamke takribani 2 bila kuwa na legal document kama wameoana. na endapo mwanaume akiamua kumuacha kuna sheria yoyote inayomulinda mwanamke...
Naomba kuuliza, je mtu akiachiswha kazi kwa kigezo kuwa shirika linafnya re-structuring na umefanya kazi na hao watu kwa miaka 3 hivi,je unastahii malipo ya namna gani. msaada wenu tafadhali
Ofisi ya Msajili wa Mahakama Kuu Tanzania imetoa Orodha Kamili ya Mawakili Wasomi Tanzania Bara ambao wamekubaliwa na kusajiliwa hadi sasa.
Nyaraka hiyo yenye kichwa 'Roll of Advocates' inaonesha...