Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Ukishindwa kulipa mkopo, kuna njia nyingi za benki ku recover (kujilipa) hela yao. Mojawapo ni kuuza mali uliyoweka kama dhamana (security).
Sasa ikitokea benki wameamua kuuza mali yako ili...
Baada ya kuoana na kuzaa watoto 4 na kuishi kwenye ndoa pamoja kwa miaka 15 na kuchuma mali zetu pamoja maana wote ni watumishi na kuandika majina yetu mawili kama wamiliki.
Mume anakuja kusema...
Ni kosa benki au Taasisi yoyote ya fedha kuuza nyumba, kiwanja ama shamba la mkopaji aliyeshindwa kulipa mkopo bei ndogo sana kuliko thamani ya soko.
Kifungu cha 133(1) cha Sheria ya Ardhi, Sura...
Wadau nawasabahi,
Kuna MKURUGENZI wa Manispaa moja hapa Nchi Amekataa kutekeleza HUKUMU iliyotolewa na JAJI wa MAHAKAMA KUU juu ya MGOGORO wa Ardhi ktk Manispaa yake Badala yake akatekeleza...
NJIA PEKEE KUKWEPA MGAWANYO WA MALI ZA NDOA NI KUANDIKA MAJINA YA WATOTO.
Na Bashir Yakub, WAKILI.
+255714047241.
Mahakama ya Rufaa chini ya majaji watatu katika Rufaa Na.102/2018 kati ya...
Wadau nawasalimu.Mimi sina Ufahamu MKUBWA wa Masuala ya Sheria .Ninaomba kufahamishwa juu ya Suala mzima la UTEKELEZAJI wa HUKUMU zinazotolewa na MAHAKAMA zote.
Nimekuwa nafuatilia baadhi ya KESI...
Naombeni ushauri, kuna mfanyakazi alikuwa mtumishi wa serikali aliazimwa kutoka serikalini na kufanya kazi kwenye Chuo fulani cha Private alikuwa Mwalimu na alikuwa Mkuu wa Chuo.
Baadae uchumi...
Salamu wana jamvi!
Kwa wajuzi wa sheria, naomba kupata ufafanuzi wa je, taratibu za kuishtaki Kampuni iliyotoa tangazo la biashara likimjumuisha mtu asiye wapa ruhusa zipoje na inawezekana...
Leo Jaji Mkuu ameapisha mawakili wapya. muda wa Jaji Mkuu kushika mamlaka hayo umeisha June 2023. Kwa mujibu wa sheria, mawakili huapishwa na Jaji Mkuu.
Mawakili walioapishwa leo wameapishwa na...
Dar es Salaam. Hatima ya wakili wa kujitegemea, Fatma Karume kufanya kazi ya uwakili Tanzania Bara bado iko njiapanda baada ya Mahakama ya Rufani kutupilia mbali shauri lake la kupinga...
My scenario iko hivi
Tulizaliwa wawili,
Baba, Mama na Mdogo wangu wote wamefariki
Baada ya baba kufariki , tuliishi na mama , tulikuwa wadogo so sijui nani aliteuliwa kama msimamizi a mirathi...
Habarini wakuu!
Nimeleta suala hili kwenu wataalamu wa sheria ili mnisaidie.
Nafanya kazi kampuni fulani ambayo baada ya tamko la serikali kuhusu kuongezewa mishahara kwa sekta binafsi, kampuni...
Mke wangu alifariki baada ya kilio masheji zangu wamekatalia kwangu hawataki kuondoka kuwatoa kwa nguvu naambiwa sheria inanibana.
Je, kisheria nahitajika kufanyaje waondoke?
Matumizi yote ya...
Heshima kwenu wanasheria. Ninapanga kwenda kupima DNA first born wangu sababu kadri anavyokuwa mkubwa ndo anaonyesha kabisa si mwanangu maana hafanani na mimi wala mama yake, pia hafanani hata na...
UTETEZI WA KIJINAI
DEFENSES IN CRIMINAL CASES.
Karibu tujifunze namna ya kujitetea katika makosa ya jinai kulingana na mazingira ya kesi husika kwa kusoma makala hii.
Imeadaliwa na
Mr. George...