Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Ni Mkuu wa Upelelezi aliyemnasa vibao, mateke na ngumi akiwa ofisini
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman
Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Wilaya ya Lushoto Wilson Yona (35), amekiona...
Wapendwa wana JF: Naamini nyote mnakumbuka utaratibu n amatangazo ya kuboresha taarifa za kibenki kwa wale wenye akaunti zao. Naomba kuwakumbusha tangazo la NBC, pamoja na maelezo mengine benki...
Yule mtuhumiwa wa mauaji ya padre Mushi ameonekana hana hatia kwa mujibu wa DPP Zanzibar na kutaka jeshi la polisi limtafute muhusika.
Habari na ITV saa 2
katika pitapita yangu mwezi uliopita nilikutana na kisa cha hawa jamaa wenye dhamana ya kukusanya ushuru wa maegesho ya magari jina la kampuni inaanzwa na P ,walimvamia dada mmoja kwenye gari lake...
Habari za jioni wakuu...ni matumaini yangu weekend iko poa kwa upande wenu.
kuna suala moja la kisheria ambalo ningependa kuomba msaada wenu, suala lenyewe ni kama ifuatavyo
kuna bro wangu ambaye...
Tatizo la wananchi kujichukulia sheria mkononi sasa ni janga la taifa. Hali hii imeachwa kustawi, ikashamiri na sasa ni janga ambalo linamnyemelea kila mmoja wetu.
Hakuna aliyeko salama. Ukiacha...
Kwenye mazingira kama ya tukio la jengo kuporomoka na kusababisha vifo; je familia zinaweza kuleta kesi ya "wrongful death"? Kuna Sheria Tanzania inaweza kusaidia hili na wapo wanasheria...
Baada ya mvutano wa kisheria kati ya jeshi la polisi na mwendesha mashtaka wa serekali hatimaye Omar Mussa Makame(mgombea ubunge kwa tiketi ya CUF 2010 jimbo la Raha Leo)
Mtuhumiwa wa mauaji ya...
MAHAKAMA ya Mwanakwerekwe, Zanzibar imefuta kesi iliyokuwa ikiwakabili viongozi kumi wa Jumuiya ya Uamsho, visiwani Zanzibar.
Mahakama hiyo, imefikia uwamuzi huo leo, wakati viongozi hao...
WATUHUMIWA 11 WA GHOROFA LILILOANGUKA DAR WAFIKISHWA MAHAKAMANI...
HABARI 2 MUHIMU:
Hakimu aagiza mtuhumiwa wa wa mauaji ya padre Evaristus Mushi
Hakimu wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, Isaac...
Prof. M.Wambari, Chuo kikuu cha Dar es Salaam, ambaye amekuwa akitoa mchango mkubwa katika maendeleo ya sheria tanzania kwa muda mrefu, ni masikitiko makubwa sana kwamba hayuko hai tena. Prof...
Mwendesha mashitaka Zanzibar amerudisha faili polisi na kuwaambia wamtafute muuaji wa Padri Mushi,kwani aliyekamatwa sii muuaji.Tatizo linakuja katika sheria zetu kuhusu kuua na ushahidi wa...
Hii imekaajae tumekaa pale Johannesburg hotel Sinza,tumekula tumekunywa baadae tunaletewa bill iloandikwa kwa mkono then tukaomba ile ya TRA,kilichotupata baada ya hapo ni kuitwa wahuni na meneja...
wana jf salaam zenu,naomba kuuliza vipi huko tra zoezi la ubadilishaji leseni limeshasimamishwa mwisho wa mwezi march au bado linaendelea na huu mwezi april !!!!
Habari zenu waheshimiwa,kwenye familia yangu kuna tatizo kubwa sana kati yangu na ndugu na kisa mafanikio yangu madogo wanataka kunitoa roho,kifupi kuna binti naishi naye nimezaa naye mtoto...
nimebahatika kumiliki kiwanja kwenye potential area hapa dar-es-salaam , ukweli ni kwamba serikali lazima ichukue hatua madhubuti sana ili kuzuia maafa mengine yasitokee, wafanyabiashara wengi...
heshima yenu wanajamvi! Poleni kwa majukumu mazito ya kuijenga nchi!
Kwa kifupi nilikuwa nafanya kazi na taasisi binafsi, katika muda wote wa kazi sikuwah kuona au kusaini mkataba wa aina yeyote...
Askari wa Jeshi la Polisi, akimpekua padri kwenye eneo
la kuingilia Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph jijini Dar es Salaam
wakati wa ibada ya mkesha wa sikukuu ya Pasaka juzi.
Ulinzi uliimarishwa...