Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari zenu wadau?
Naomba mnisaidie vifungu vya sheria na miongozo, taratibu zingine zinazotakiwa kufuatwa pale ambapo mwajiri anapokuwa ameweka mshahara bank (mara mbili ya ule anaotakiwa...
Unakwenda kwenye ofisi ya TRA ukiwa radhi kulipa kodi.
Unakutana na mlolongo wa ukiritimba. Unasimama foleni benki kwa masaa mawili ili kuwapa fedha. Mazingira ni mabovu na watu wamejazana...
Nilikuwa namsikiliza Kikeke, akatoa taarifa ya jaji mmoja ambaye ametoa hukumu akitokea usingizini. Alipoulizwa kwa nini anatoa hukum akitokea usingizini, alisema yeye hakusinzia, bali alifumba...
Hoja yangu ya msingi nikwa nini raia wanaweka chuki na polisi wakati jukumu kuu la polisi nikulinda na kusimamia amani ya nchi ili ww raia uishi kwa amani
Nimepata taatrifa kutoka Bukoba kuwa Wamekamtwa watangazaji wanne wa redi kasibante ya Bukoba Mali ya Kagasheki kwa tuhuma za utapeli,kughushi majina na kuiba kifaa cha kurusha matangazo live...
tukio lenyewe nikwamba kijana mmoja alikuwa anaishi na mke wake bahati nzuri mungu kawajalia kupata mtoto na mtoto wamempata kwa mama kufanyiwa opration yenyewe ajamaliza hata mwezi cha ajabu mama...
MILAN A Milan appeals court on Friday vacated acquittals for a former CIA station chief and two other Americans, and instead convicted them in the 2003 abduction of an Egyptian terror suspect...
Sakata la biashara ya binadamu ambalo limeibuka kwa kasi nchini limeanza kufanyiwa kazi na serikali baada ya Jeshi la Polisi Kikosi cha Maji kuwatia mbaroni mawakala watano ambao ni wanawake...
Nimekuwa nakerwa kwa zaidi ya miezi kadhaa mtoto wa mdogo wangu wa kike aliyezaliwa mwaka 1980, ananisumbua kwa kunitumia sms za matusi na kunidhallilisha. Nimeomba msaada kwa binamu zangu watu...
Mume wangu ameniacha baada ya kupata mwanamke mwingine. Kwa miaka 17 tulifanikiwa kujenga nyumba 2 na kagari ka 1. Hivi sasa nyumbani haji tena amehamia kwenye nyumba yetu ya pili na huyo...
jaman nsaidien kesi bado mbichi npo police cjalewa ila kutokana na uchovu nmelala kwenye mataa na ktk wallet nina buku tano tu. police amenipeleka officin kwake. adhabu alali kwangu ni ipi?
Takribani miezi minne sasa wahitimu wa tumaini university iringa wamemaliza chuo lakini cha kushangaza ela yao ya tahadhari hawajarudishiwa hadi leo ambayo ni shilingi elfu 50 kwa kila mmoja...huu...
Wakati lulu akiachiliwa kwa dhaman ana ponda kuendelea kusota jela na mahakama kushindwa kutoa maamuzi ya kina kuhusu kosa la ponda je hii imekaaje wana jf, mbona tunataka tufika siko na kufanya...
nilimaliza
chuo 2003 nililipiwa na serikali bila mashart yoyote,mwezi huu board ya
mikopo imeanza kunikata eti mkopo wa almost mil.4 mi hii board siijui
wala skuwahi kuingia mkataba nao...
Jamani wana jamii, mimi niliajiriwa mwezi wa tisa mwaka jana na kuachishwa kazi mwezi wa kwanza mwaka huu, kutokana na kudai kulipwa malimbikizo ya mishahara ya tangu mwaka jana. Barua ya...
Rais Yoweri Museven wa Uganda anapendekeza watu wanaofikishwa Mahakamani kwa makosa ya rushwa wasipewe dhamana ili kukabiliana na vitendo vya rushwa. Je na sisi tunaweza kuiga hilo?.
Heshima mbele!! Kuna baadhi ya taasisi za serikali siku hizi wana ajiri kwa kutumia mfumo wa ajira ambao wanauita CONTRACT OF UNSPECIFIED PERIOD. Ukiwauliza baadhi ya maafisa utumishi wanasema...
Taarifa ya habari imeonyesha kuwa huko Ulanga, Morogoro, polisi wamemuua mfugaji kwa kumpiga risasi na kisha kumpora fedha zake. Jamaa wa marehemu wamegoma kumzika hadi hapo uchunguzi...
Habari wataalamu wa sheria!
Kuna colleague wangu, kaniomba ushauri yuko so desparate sana.
Amezaa na mCanada ambaye mwanzo alikuwa anaishi nchini (mwanza), mtoto mmoja she is 8 yrs now...