Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Kuna mtu mimea/mazao yake imeliwa na mifugo wa jirani yake. Na Jamaa mwenye mifugo anakataa kuwa mifugo wake hawajaingia Kwenye shamba lake. Utajengaje ushahidi kuwa kweli ni mifugo yake ndiyo...
3 Reactions
20 Replies
717 Views
NDOA NA MATOKEO YA NDOA (TALAKA, UGONI) Mambo ya ndoa sio mageni sana masikioni mwetu kwani wengine tupo ndoani na wengine marafiki zetu wapo ndoani na hata wazazi wetu wamekuwa ndoani. Kwa hiyo...
4 Reactions
62 Replies
10K Views
Soma kesi ya REPUBLIC Vs FREEMAN AIKAEL MBOWE na wenzake watatu, Kesi ya uhujumu uchumi namba 16 of 2021. Summary By, Zakaria Maseke Kwenye hii kesi, prosecution walikosea, citation ya Sheria...
5 Reactions
17 Replies
847 Views
AMRI YA KUKAZIA HUKUMU HAIKATIWI RUFAA: KALEBU KUBOJA MJINJA Vs SHADRACK DANIEL TEMBE, CIVIL APPEAL NO. 24 OF 2020. Hii kesi imetafsiriwa na kuletwa kwako nami Zakaria Maseke, Advocate...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Ninaomba msaada wenu wadau, eti mtu ukishateuliwa na Wanafamilia na kuthibitishwa na mahakama kuwa msimamizi wa Mali za marehemu, inachukua muda gani kisheria kukoma katika nafasi husika?
1 Reactions
6 Replies
406 Views
Wakuu kwema Enzi sijafunga ndoa nilizaa mtoto wa kiume na binti mmoja wa kiislam kutoka Tanga. Hatukua na mpango wa kuoana hivyo mtoto alipofikisha umri wa miaka miwili kasoro nikamchukua na...
0 Reactions
7 Replies
858 Views
Habari wanajamvi, Naomba ufafanuzi wa neno Affidavity linalotumika. Asanteni
2 Reactions
34 Replies
15K Views
Naomba msaada juu ya hili. Je, mwanamke aliyeolewa Kiislam akaja kutengana na mumewe na kubadili dini je ndoa itakuwepo paka atakapodai talaka au ndoa itafika mwisho.
1 Reactions
11 Replies
837 Views
Marehemu bibi yetu alifariki kitambo sana, na alizaa watoto wawili wa kike, ambao walikuwa ni mama zetu mkubwa na mdogo nao pia walifariki kitambo sana. Nyumba aliyoiacha marehemu bibi yetu bado...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa Sheria ya mabadiliko ya Sheria namba 3 ya mwaka 2021, WRITTEN LAWS (MISCELLANEOUS AMENDMENT NO 3 ) ACT, 2021 Kwa mujibu wa SHERIA hii ambayo ilikifuta kifungu Cha 15 Cha THE LAND...
3 Reactions
12 Replies
9K Views
Nina ndungu yangu kashtakiwa mahakama ya mwanzo; kesi iko hivi. Huyu ndugu alipelekewa simu (smart phone) na rafiki yake wa kike amsaidie kuaply kazi za Tamisemi badae sensa, amekaa na Ile simu...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari zenu Wana JF? Kuna nyuzi kadhaa nilizowahi kuziandika hapa na nikapata shauri mbalimbali toka kwenu. Mwanamke nilie zaa naye, ila tumechelewa kufunga ndoa kulingana na ukosefu wa mahari...
2 Reactions
37 Replies
1K Views
Wakati sasa umefika wa kutunga sheria mpya ya kudhibiti dhambi ya uzinzi, kama ilivyo kwa makosa mengine. Sheria hiyo mpya iweke wazi kuwa, mtu yeyote akizini atakuwa ametenda kosa la jinai na...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Habari wana JF Leo naomba kuongelea au kuliwekea ufafanuzi jambo moja ambalo limekuwa likielezwa vibaya au kimakosa na watu wengi wengine wakiwa ni viongozi hadi wa kiserikali. Suala hilo ni...
9 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari za leo, Mimi ni mfanyabiashara na ni mtumiaji wa huduma za Airtel Money. Juzi tarehe 3 Machi 2023 nilifanya muamala wa kuhamisha pesa kutoka Airtel money kwenda Benki, akaunti yangu...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari ya uzima wanajamii forum Kwanza natanguliza shukrani kwa ushauri wowote ntakaopata kutoka kwenu naomba niulize ukinunua nyumba au kiwanja Cha mirathi ni documents gani za msingi za kupatiwa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Ipo hivi mzee wetu alikuwa na wake wawili mkubwa ndio mama yetu sisi na mdogo alikuwa ana watoto wake. Sasa huyo mke mdogo alishafariki muda mrefu amebaki huyu mkubwa ambaye ni mama yetu sisi...
6 Reactions
37 Replies
3K Views
1. Please mwenye Tanzania Law reports anisaidie/aniuzie kama ana hard copies. or electronic copies! 2. Mwenye kesi hii Rashid. Baranyisa vs Hussein Ally (2001) TLR 471 anisaidie mana najua kuna...
1 Reactions
2 Replies
516 Views
SHERIA YA MALEZI ISEME; KAMA MWANAMKE HAWEZI KULEA MTOTO AMPELEKE KWA BABA YAKE, HIYO NDIO MANTIKI NA SIO VINGINEVYO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Unajua kuna Wakati mpaka unashangaa...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Habarini zenu wakuu, nina suala linanisumbua kati yangu na jirani angu kuhusu mipaka. Ni hivi jirani yangu kapanda mti wa mparachichi hii ya kisasa jirani kabisa na mpaka takribani nusu mita toka...
0 Reactions
3 Replies
727 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…