Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wadau wale wenye utaalamu wa sheria naomba msaada wenu!mimi ni mpangaji ambae mkataba wangu uliisha tarehe 10 july,mkataba wa awali ulikua wa miezi sita kwa kodi ya 720,000 kwa maana ya 120,000...
Kweli tapeli ni tapeli tu
kwa waliosikia hivi majuzi kwenye clouds kuna mtu aitwae mlaya amelalamikia polisi wa kawe wakiongozwa na mkuu wa kituo kwa kutaka kuhalalalisha uhalali wa kiwanja chake...
habari wanasheria wenzangu! naomba kupata update za sheria hii, eti hivi kuna sheria ambayo expressly inatoa haki kwa mtoto wa nje ya ndoa kupata sehemu ya urithi, kwa sasa? need yo' help...
Serikali inakiuka haki za Wakimbizi na wahamiaji binafsi kibinadamu
Waziri Nchimbi ametetea watuhumiwa wahamiaji haramu nchini na Makongoro Mahanga amepingana na waziri mwenzake kuwa...
Jamani napata tabu kutambua uelewa wa wabunge wetu! kwa kupitisha maamuzi kuwa kila mwaka ukienda kulipia vehicle licence ulipie pia gharama ya fire extinguisher takriban 40,000/= pasipo kupewa...
Serikali imefanya kioja kingine kwa kuwapiga chini walimu kusimamia zoezi la sensa
tofauti na sensa ziliopita ambapo walimu ndo walikuwa wadau namba moja.
Taarifa za ndani zinathibitisha kuwa hila...
Mgaya ametangaza maandamano na kukimbia kipindi wafanyakazi wanahitaji muongozo kwa dhati. Mgaya umetia aibu kuu jitokeze ama ukanushe au utoe muongozo
Nimesoma hii clip na kujiuliza sana.
Huu uteuzi una tija kwa taifa kweli?
Kutoka PS hadi Hadi mtendaji Mkuu wa Mahakama?
Wapi na wapi?
Nilidhani Post hiyo ya mahakama inahitaji mtu anayejua...
jamaa aliajiriwa (mkataba wa muda fulani) baada ya miezi miwili akiwa bado probation akaachishwa kazi, je kisheria anazo haki zozote? ukizingatia sheria ya kazi 2004 kifungu cha 35 kina waondoa...
Serikali imefanya kioja kingine kwa kuwapiga chini walimu kusimamia zoezi la sensa
tofauti na sensa ziliopita ambapo walimu ndo walikuwa wadau namba moja.
Taarifa za ndani zinathibitisha kuwa hila...
Kweli siasa ni unafiki thats why i hate politicians na politics zao, Viongozi na wanaojiita MAKAMANDA wa cahama cha CHADEMA wamekua wakihubiri kupambana na ufisani unofanywa na serikali ya CCM na...
Leo katika pita yangu mtaani nakutana na walimu wanalalamikate eti wamefunga shule ili washiriki zoez la sensa lakin badala yake wamechukuliwa watu wa mtaani na maofisa. je kuna ukweli kuwa...
Im planning to study LLM abroad but my bachelor degree is not LLB, Can I qualify to be advocate when I come back home after my LLM master degree?
ALTERNATIVE B, I might study postgraduate...
Waziri Wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbaruok
SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
WIZARA YA HABARI UTAMADUNI UTALII NA MICHEZO
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Idara ya...