Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Naomba wakuu mjaribu kunijuza nami angalau nipate maana halisi ya utawala wa sheria,serikali imekuwa kila siku ikijinasibu serikali sikivu yenye kufuata utawala bora lakini ndani ya serikali hiyo...
hallow, i beg for assistance in this according to the laws of Tanzania (refer the law), what is the position of Tanzanian laws where a respondent in civil case admits the case ex. the lower court...
Serikali ya tanzania kupitia idara ya uhamiaji inalalamikiwa na madaktari kuwanyima pass port (hati ya kusafiria nje ya nchi). Idadi kubwa ya madaktari wanakimbia nchi kwenda nchi nyingine ambako...
Wana-Jf, nisaidieni. Je, naweza kupata msaada wa wakili wa serikali kunitetea katika shauri la madai katka mahakama ya rufaa ambalo lilianza kama jinai dhidi ya mrufani?
VUGUVUGU la kupinga mabadiliko ya sheria za mifuko ya hifadhi ya jamii ya mwaka 2012 limechukua sura mpya baada ya wabunge kutaka kuifanyia marekebisho mengine.
Wabunge hao wameitaka serikali...
Hi sheria mpya ya kutka kuwadhulumu watanzania.mi kwa upeo wangu mdodo naona sasa serikali inataka kutafuta nauli.na nibora tufe watanzania milioni[1]lakini watakao salia waishi kwa raha na...
Kesi inayomkabili raia wa Kenya, Joshua Mulundi (21) aliyekamatwa na polisi Dar es Salaam kwa tuhuma za kumteka na kufanya jaribio la kumuua Mwenyekiti wa Jumuia ya Madaktari Tanzania, Dr. Stephen...
Wana JF nimekaa na kutafakari kwa makini lakini sijapata jibu sahihi kuhusu mabadiliko yanayohusumifuko ya jamii, je waheshimiwa wabunge nao wanahusika na sheria hii? na kama siyo je wao si...
Wakuu, salaamu.
Ninaomba msaada wenu wa kisheria au ushauri kisheria kwa jambo hili. Nimeombwa ushauri nami si Mwanasheria, sina ushauri sahihi wa kutoa kwa mtu aliyeniomba ushauri huo.
Jambo...
Kutokana na mifuko hii kukiuka utaratibu wa mwanzo kati yake na wanachama bila kuwashirikisha wanachama wake ningeomba wajuzi wa sheria na vyama vya kutetea wafanya kazi wajitokeze kusaidia katika...
Jaman mimi nina maswali mengi kuhusu PPF yangu.Nilitoa notice ya mwezi mmoja kuacha kazi pale nilipokuwa nafanyia na ilikuwa mwezi wa tano.Toka wakati huo nimekuwa nikifuatilia malipo yangu na...
Tangu juzi hapa TRA Arusha huduma ya kuprocess Driving licence kitengo cha kupiga picha na finger print hakitoi huduma yoyote licha ya wateja kuwa kwenye msururu bila kupata huduma yoyote. Leo ni...
Hi, Tumeona kwenye Dhahabu na sasa ni zamu ya kusini kwenye gesi: Naomba msaada kama kuna mtu analink au docoments zinazoelezea sheria inayobana wawekezaji (wawe local au international) katika...
POLISI mkoani Kigoma inawashikilia watu watatu wakiwemo wafanyakazi wawili wa basi la Osaka linalofanya safari kati ya Kigoma na Dar es Salaam, wakituhumiwa kufanya biashara haramu ya kusafirisha...
Jana nilishuhudia mfanyabiashara Alex Msama akiipongeza serikali kuhusu kusudio la tetea haki za wasanii hapa nchini, mimi naona huu ni unafiki kwa sababu yeye pia ni sumu katika tasnia ya habari...
Kuna watu wachache wanaofanya kampeni za kuhamasisha wananchi wasijitokeze kwenye sensa ya watu na makazi. kwangu mimi naona hiki ni kichekesho kingine, maana haiwezekeni ugomee sensa wakati...
Mtuhumiwa wa wizi wa umeme Jeilan Mohamed, akiongozwa na jeshi la polisi kupanda gari baada ya kutuhumiwakuliibia umeme shirika hilo kwa njia ya kuunganisha kabla haujafika kwenye mita (kubaipass)...