Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Kuna msala aliwahi kupata mtu wangu wa karibu alibainika kuwa amembebesha mimba mwanafunzi.
Baada ya kutajwa alitimka na familia yake iliwajibishwa kulipa kiasi Cha TZS 7,400,000/= kama fidia...
JE MWANANDOA ALIYESABABISHA NDOA KUVUNJIKA NAYE ANASTAHILI MGAO WA MALI?
Na Bashir Yakub
0784482959
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza ikiwa mmoja wa wanandoa aliyepelekea ndoa kuvunjika kama...
Habari za majukumu wanajukwaa!
Kwa mara ya kwanza natua kwenye jukwaa hili jukwaa,nikiwa na shida ya ushauri kutoka kwenu!
Niende moja kwa moja kwenye suala lenyewe.
Kuna jamaa mmoja...
Msaada wa mawazo wadau wa sheria kuna jamaa walitaka kunizulumu kupitia simu ambapo huyo jamaa alimpa simu rafiki yake aniletee dukani kwangu jamaa alikuja kama anahitaji msaada wa bondi anaacha...
Si jambo geni duniani, ila is it done with good faith? Kuna system kweli Tanzania ya kuhakikisha good faith inakuwa maintained au kesho inategemea ataamkaje? Kuna consistency katika haya...
Miaka kama mitano nyuma mkoa fulani niliwahi kuandikishana mkataba na mtu fulani.
Nina kieneo ambacho ndani ya eneo hilo nilihesabu hatua kadhaa kumkatia mtu huyo kwa makubaliano ya kunijengea...
Ikiwa mtu kaja kwangu kutaka nimkopeshe hela kama laki nayeye kakubali kuleta kitu cha thamani ya hela au zaidi na tukaandikishana ili kama hatalipa kwa wakati vitu vinakuwa wangu.
Sasa ikapita...
Toka kuumbwa dunia wiki hii ndo nimesikia mfanyakazi anapewa likizo ya siku 60 (ambayo hakuiomba). Maafisa utumishi/wanasheria tusaidieni sisi Ngumbaru
Kuna documents kutoka halmashauri ya wilaya fulani hivi. Inaelezea tathmini ya jinsi ya kutatua migogoro ya mifugo itakapoharibu kila aina ya mazao na malipo yake.
Mfano:
Ng'ombe wakiingia shamba...
Kuna aina nyingi za kufanya biashara (there are so many forms of doing business) kama vile biashara ya mtu mmoja (sole trade), biashara ya ushirikiano (partnership), vikundi, kampuni, trust n.k...
Kwa wenye ufahamu na ili. Ni Adhabu gani utolewa endapo ukikutwa na bunduki kinyume na sheria?
Nipo nchi Jirani hapa na kuna mwamba ana kadude ila hakana pepa anataka aniachie kwa bei simple...
Sheria inasema kuwa Review lazima ioneshe kuwa kuna kitu/sheria kimekosewa wazi wazi na kuhitaji marekebisho. kwa kiingereza inaitwa : There is a manifest error on the face of the record...
Habari Wana jamii,
Upande wa Sheria! Nilimaliza masomo yangu ngazi ya stashahada kwenye chuo kimoja wapo cha serikali hapa jijini dsm mwaka 2016. Tatizo likaja sikuwa nimemaliza ada tena hela...
Wajuzi wa sheris naomba Msaada wenu wa kisheria.
Je, ni hatua gani zinapaswa Kuchukuliwa dhido ya ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa inapokataa kutekeleza hukumu ya Mahakama kuu iliyotolewa katika...
Habari wana JF.
Huu mwaka nimedhamiria angalau kwa kila wiki niwe naweka uzi mmoja unaohusu swala la kisheria.
Nimeamua hivyo baada ya kuona changamoto nyingi sana za kisheria zinazoikumba jamii...
Ukimlawiti (kumwingilia kinyume na maumbile) mtoto (wa kike au wa kiume) wa chini ya miaka 18, adhabu ni kifungo cha maisha jela (life imprisonment).
Adhabu hii ni kwa mujibu wa kifungu cha...
Nina kazi kidogo kesho Tar. 14.1.2023 Jumamosi nahitaji mwanasheria aniandalie mkataba konki wa Mauziano ya Shamba/ Kiwanja Jiji la Arusha.
Kama kuna mwana JF mwana sheria basi anisaidie...
Wapendwa samahani naomba kujua original of law iliazia wapi mpka ikatufikia sisi uku watanzania tukaaza kuapply low na kuweka marekebisho samahani nitafurahi zaidi kama nitamapata majibu mazuri na...
Wakuu habari zenu,
Sasa naomba ushauri miaka mitano iliyopita, nilikuwa nafanya kazi znz serikqlini
Kwa bahati mume wangu akahamia dar kikazi.
Inabidi nimfate ..na nikaomba likizo bila malipo...