Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Wakuu' salamu mbele siku zote. Nina jamaa yangu ni askari, na huwa anachukuliwa kwenda kusindikiza milipuko kwa ajili ya hawa wezi wanaoharibu mazingira yetu wakitafuta dhahabu sehem mbalimbali...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Court has fined a businesswoman Shs200,000 for threatening violence. Ms Diana Ngabire, who would have spent a month in jail if she had failed to pay the fine, was found guilty of sending text...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hlw wanajamii forum, naombeni mnijulishe vigezo vya kujiunga law school pls
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"This I have not raped, but we agreed to have sex with him and that is why I acknowledge before this court that I did have sex with him." He said the accused. But living a court hearing that the...
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Mkoa wa Tabora Mme na Mke wameuawa jana jioni baada ya kuvamia na watu wawili. Mbele ya watoto wao marehemu Khalid na mkewe wameua kwa kucharangwa charangwa na watu hao wasiojulikana. Na mpk...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Serikali imepata haueni baada ya Vyuo vikuu ; kuhihakikishia serikali mwishoni mwa mwezi huu itaondokana na tatizo la madktari wa INTERNSHIP 400 Waliogoma; Vyou hivyo ni muhimbili st john Bugando...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Jamani hivi hawa SUMATRA na chama cha walaji wanafanya kazi kweli? Ukipanda kwenye magari yanayojiita luxury hamna ulaxury wowote,mikanda hamna, AC hamna, mavioo ya madirisha yanapiga makelele...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wana jf, sina maneno mengi ya kuwachosheni isipokua naomba msaada kwa yeyote mwenye kuweza kunisaidia Standing Order ya vyuo vikuu hapa nchini anisaidie. Asanteni na natarajia msaada wenu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nimeweka hapa kwa wajuvi wa Sheria ili tuweze kuangalia jambo hili, kwani MJL ameeleza kuwa Kupandishwa kwa Dr. Mkopi katika mahakama ya Kisutu ni makosa, soma maelezo hapo chini...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Usalama wa Raia (Polisi) VS usalama wa taifa (UWT) VS ulinzi na usalama (JWTZ) Soma visions and missions zao halafu jaribu kuanisha kazi zao. Ila vision na mission ya TISS nimeshindwa kuipata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani,memaliza LL.B apo UDSM 2012..nataka nijue ka ntakua eligble kujiunga na Law School mwaka huu,yaani after 12th &13 cohort -july intake...! Cuz naskia hawa majamaa hawataki PROVISIONAL...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ni yule mwalimu wa shule ya msingi digodigo wilaya ya Ngorongoro. Hakika sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea. Na yule muuaji hajakamatwa mpaka sasa.
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Wadau, kwa heshima na taadhima naomba msaada wenu. Nimekabidhiwa hii ofisi ya serikali kuifungua. Haina muhuri hata mmoja! nimewaomba 'wakubwa' lakini inaonyesha sitapata hivi karibuni. Kwa kuwa...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari nilizo nazo toka kwa chanzo kinachoaminika (mmoja wa madaktari) amesema kuwa kiongozi wa MAT (siyo Jumuiya ya Madaktari), Dr. Namala Mkopi anahojiwa muda huu hapo Central Police...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Habari wadau... Nina tatizo ambalo naomba wa jamii mnisaidie... Tarehe 2 january 2012 nilimuuzia mtu gari yangu kwa thamani ya mil.5 na laki 3,kwa makubaliano kwamba atanilipa 3M cash,na...
0 Reactions
1 Replies
635 Views
Kwa wale ambao hawakubahatika kuiona hii kitu angalia kuanzia dakika ya 2 na sekunde ya 40 hivi ili ujue ni under 18 or above. Hii ilikuwa miezi kadhaa kabla ya tukio. Mkasi - SO2E08 With Lulu -...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari zenu wana Jf, naomba msaada wenu kunijulisha ni mambo gani ya msingi ya kisheria kuyafanya unapotaka kununua gari kwa mtu binafsi yaani gari lake analolitumia au unapoenda showroom hasa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna rafiki yangu anaishi na mkewe ila jamaa alimkuta mkewe na mtoto moja na yeye akazaa nae mtoto moja hivyo dada anawatoto 2 na rafiki yangu anamtoto 1, tatizo lililopo baba wa mtoto anapiga...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ninayo shida kidogo ndugu zangu kulingana na Sheria kuhusu Bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya Juu. Nahitaji kufahamu kwamba; Je mwanafunzi anayo haki ya kuishitaki Bodi pale inapokuwa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
NAOMBA MWANA SHERIA AMBAYE ATAKAYE NIANDIKIA MEMORANDUM OF THE COMPANY NA ARTICLE OF ASSOCIATION NAOMBA TUWASILIANE KWA E-MAIL IFUATAYO kinudy@gmail.com
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…