Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Nimekuwa nikijiuliza usemi huu "Tumechuma sote/ wote" na hii huwa inatokea zaidi kwa wanawake pale wanapoachwa na waume zao wakitaka wapewe mgao wa mali ambayo imepatikana kipindi cha ndoa yao...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi ni mtumishi wa umma wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nina kesi ya jinai inayonikabili tangu mwaka 2007, ambapo ushahidi wake ulifungwa tangu tarehe 12.06.2011, na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada wa nakala ya gazeti la serikali kama nilitaja hapo juu japo tarehe nimesahau. Lanahusu kufutwa klwa baadhi ya vipengere vya standing order ya mwaka 2009
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nataka kumshtaki OCAMPO kwa sababu zifuatazo: Mauaji Iraq: Kwa nini mpaka leo hajawachukulia hatua watuhumiwa wa mauaji (West empires) ya (h)alaiki huko Iraq wakati wa kumg'oa madarakani Saddam...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sheria ya adoption inaruhusu mtu aliye single kuadopt? msaada wako please.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau habari zenu? Naomba ushauri wenu. Mimi nafanya kazi katika kampuni fulani kama Medical Officer. Nimekuta health facility haijasajiliwa, nimefuatilia ili isajiliwe na mchakato ulipofika ni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi ni mtumishi wa sekaliri, nipo masomoni kwa sasa lakini mara tu baada ya kuanza masomo yangu nilikatiwa mshahara lakini nashanga 'salary slip' zinaendelea kutoka huku mshahara nikiwa sipati...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Zanzibar wanakumbuka siku ya mapinduzi ya zanzibar ya mwaka 1963 hapa kuna maadhimisho ya miaka 50 ya tanganyika,lakini wakati wa muungano tanganyika ilikufa kulingana na serikali inavyodai,kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi karibuni tumeshuhudia Rais wa Zanzibar akiapishwa na Jaji Mkuu kuwa mjumbe wa Baraza la Mawaziri kama Katiba inavyosema, swali langu kwenu wasomi wa Sheria ni kuhusu uhalali wa kitendo hicho...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wana JF,tafadhali ningependa kusaidiwa kujua malipo stahiki ya mtu kama muajiri amevunja mkataba,mfano halisi,muajili ame mterminate mwajiriwa kazi ambaye alikuwa akifanya kazi kwa mkataba...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jamani wakuu habari zenu, Mimi nilikuwa nina swali moja naomba kuuliza mfano ukianzisha kampuni yako na ukaipa jina la itanzania na mfano hiyo kampuni ikawa inashughulika na vitu kama...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau wa mambo ya sheria naomba mnifahamishe kuhusu signature (sahihi) ya mtu binafsi kama inawezekana kuibadili wakati wowote mhusika anapoitaji, mfano mtu akitumia aina flani ya signature tangu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hi wana JF! Kama kuna mtu anayo ruling ya case ya Francis Ndiyanabo naomba anitumie humu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hukumu dhidi ya Mbunge Novemba 9 Send to a friend Wednesday, 26 October 2011 07:30 Brandy Nelson, Mbeya HUKUMU ya kesi ya kutishia kuua kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mi nilipewa kiwanja na ofisi ya ardhi wilaya lakini baadae nikaandikiwa barua kuwa si mmiliki wa kiwanja hicho. Nilipofuatilia zaidi nikagundua kuwa notice tatu alizopewa mmiliki wa kwanza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika hali isiyokua ya kawaida naambiwa hapa kituoni kuwa Polisi wa Jinsia ya KE anaruhusa ya kumpekua mwalifu mwanaume ila Polisi wa kiume hatakiwi kumpekuamwalifu mwanamke. je ni vigezo gani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mkuu wa kitivo cha sheria-UDSM profesa Palamagamba kabudi amewatahadharisha watanzania wasijadili baadhi ya mambo ya muungano katka mjadala wa kuandika katiba mpya maana...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Naomba kueleweshwa ni katika mazingira yapi spika anaweza kuitisha kikao cha dharura cha bunge.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna ndugu yangu ana-bank na barclays bank,yeye ni mfanyabiashara wa kawaida tu.anauza bidhaa zake za kutoka china, hivi majuzi walikuja wateja kutoka comoro na wakahitaji bidhaa kwake lakini hawa...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
KESI ya matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia Serikali hasara ya Sh11.7 bilioni inayowakabili mawaziri wa zamani Basil Mramba, Daniel Yona na Katibu mkuu wa zamani wa Wizara ya Fedha na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…