Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Wakuu ni kwanini chenge aue mtu kwa uzembe alipe laki sita harafu mwizi wa kuku miaka 3 bila faini.ua kwa kuwa sheria ni taaluma exacutive ina jali executive offences , na mahakama yetu kama pesa...
1 Reactions
0 Replies
915 Views
Kuna makampuni yapo mwekezaji =foreigner, manager =foreigner, mhasibu= foreigner, bankers=foreigner, auditors=foreigner Hata kama TRA watafanya audit yao kwa kawaida baada ya miaka 3 unategemea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Serikali imepania kutunga sheria ya maandamano. Mimi hoja yangu si kujadili sheria hii mpya ambayo wanaJF mlishaijadili. Mimi nawasilisha hoja mpya au kifungu kidogo cha hoja. Huu ni wakati...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo tukio hili lilitokea mahali fulani Dar es salaam.Traffic police anasimamisha daladala. Anachomoa ufunguo wa gari. Anakagua mambo kadhaa kama leseni, bima nk. Gari inakutwa na makosa. Anaambiwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wanasheria, naomba kueleweshwa sheria inasemaje katika tatizo langu na Tanesco. Mimi ni mteja wa Tanesco kwa muda mrefu, na meter ninayotumia ni ya LUKU. Sasa ni Alhamisi iliyopita meter...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
naomba msaada wenu: nafahamu kuwa mtu akiacha kazi kwa kutoa notice ya mwezi mmoja anapaswa alipwe pesa ya likizo ambayo hakwenda meaning kwa mfano: 1. malipo ya mshahara wa mwezi aliotoa notice...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndg, zangu naomba kuuliza? Ni mwanasheria yupi aliyemtetea Jacob Zuma kwenye kesi ya kubaka?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Eti wanasheria, najua hamna majibu uliza babu zenu kuwa kisawhili kiliwakosea nini nyinyi wanasheria halafu kwa mapenzi makubwa mniletee majibu. Katika chungulia chungulia yangu nilibaini mambo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naomba wana JF wenye ufahamu na uelewa wa kina juu ya hili mnijuze kwa sababu hapa Tanzania kuhusu degree ya sheria ambayo baadhi ya vyuo hutoa kwa miaka 3 na vingine miaka 4 hiyo hiyo degree...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni leo tu nimesikia wabunge wakihojiwa na kujibu kwa kukinzana kimtazamo ya kuwa ni wapi wanapaswa kuwajibika ikiwa wamefanya jambo linalokwenda ndivyo sivyo, ingawa kwa asilimia kubwa walio toa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naomba wana JF wenye ufahamu na uelewa wa kina juu ya hili mnijuze kwa sababu hapa Tanzania kuhusu degree ya sheria ambayo baadhi ya vyuo hutoa kwa miaka 3 na vingine miaka 4 hiyo hiyo degree...
0 Reactions
0 Replies
991 Views
naombeni msaada wa kisheria jinsi ya kuanzisha kampuni ya kuchunguza rushwa na kuweka hadharani bila kushitaki! Tanzania inawezekana?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Je mimi kama raia, naweza/naruhusiwa kwenda RM-Mahakamani na mwanasheria wangu, na kuwasilisha mahakamani ombi la inquest kwa kifo ambacho nahisi kama kuna foul play either huku uraiani au in...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuwana mahusiano na mke,mume au mchumba wa mtu....ni kosa kisheria..?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakati fulani tulifanya mjadala: Je ni haki Mahakama kuamua baadhi ya maswala ya kisiasa? Mfano lile la Ugombea binafsi. Sheria iko wazi kazi ya Bunge nikutunga sheria na kazi ya Mahakama ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna kitu tukiita defence; sio kila anye Ua uadhibiwa; tunaangalia makusudi, je umekusudia au la! zifuatazo ni utetezi unaoweza kukuacha huru nakuacha watu wakisingizia rushwa: 1. Provocation...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wataalamu wa sheria tafadhali naomba mnijuze kuhusu utaratibu wa ni jinsi gani Jaji mkuu anaweza kufukuzwa kazi endapo asipotekeleza majukumu yake sawa sawa. Ufahamu wangu ni kwamba Jaji...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Waliomuibia mchumba wa Dk Slaa mbaroni Send to a friend Friday, 29 July 2011 22:28 Aziza Masoud na Shakila Nyerere POLISI Kanda Maalumu ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kunapokua hamna sheria iliyotungwa kusimamia jambo fulani, implication yakufanya jambo hilo ikoje? Nikosa au sikosa, hasa ukizingatia negative impact zinazoweza kutokea kwa wale wasio na maslahi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu wa hili jukwaa mimi nahitaji kujulishwa Hawa TIRA Nini haswa kazi zao??Nanini wanatakiwa kufanya kama mtu hajatendewa haki na Insurence's Company?
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…