Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Ndugu wana wajibu wa kutoa msaada wa kijamii kwa watu wenye ulemavu.
Kama kuna ndugu zaidi ya mmoja wa mtu mwenye ulemavu, ndugu hao kwa kushirikiana pamoja wanatakiwa kutoa msaada wa kijamii...
Kumekuwa na kasumba mbaya ya ubaguzi, ambapo baadhi ta watu katika jamii hubagua wengine kwa kuangalia vigezo mbalimbali visivyo na mashiko.
Watu wenye ulemavu ni moja ya kundi linalokutana na...
Wazazi wanatumia rasilimali vitu, pesa, watu na pesa kumfikisha mtoto wao hadi kujitegemea. Rasilimali ambazo kama angeziwekeza zingemsaidia hata uzeeni kwake.
Wazazi wanaporwa haki na mali zao...
Salaam,Mnamo mwaka 2003 kulitokea Bomoa bomoa katika maeneo ya Jeshi la wananchi kambi ya Changanyikeni 691 kj.
Raia walituhumiwa kuvamia maeneo ya jeshi na kujenga bila kibali
Baada ya nyumba...
Mimi niko mkoa mwingine nimetumiwa hati ya kiwanja changu ili niisaini, ninaomba ushauri hivi mahakama ya mwanzo au ya mkoa Baada ya Mimi kusaini ile sehemu ya mwanasheria wanaweza wakanisainia...
Kwa uchungu mkubwa nimeona niongee kuhusu mkoa wangu wa Morogoro, kinachoendelea kinanihuzunisha sana, mauaji ya kusikitisha kila wakati, nimeona kijana mwingine tena kauawa, ni miaka mitatu sasa...
WAJIBU WA SERIKALI ZA MITAA KUWALINDA WATU WENYE ULEMAVU.
Leo napenda kuelezea wajibu wa serikali za mitaa katika kuwalinda watu wenye ulemavu.
Mamlaka ya serikali za mitaa ina wajibu wa kulinda...
Mgogoro wa Ardhi.
Jamaa amepewa ushindi mahakama kuu, awali nilishinda kesi mahakama ya Ardhi. Yeye alikimbilia high court, akapewa ushindi. Hapa natakiwa nifanyeje.
Msaada wa utaratibu. Ninahofia...
Mwaka juzi nililima mahindi kijijini (mimi nakaa mjini, nimeajiriwa).
Kule kijijini, kuna mama mmoja alikuwa ananisaidia kulisimamia shamba hilo kuanzia kulimwa, kupanda hadi mavuno). Na alifanya...
Habari wadau najua humu mtu hawezi kosa ushauri mzuri.
Nina rafiki yangu mmoja hayupo humu Ila alipata changamoto kidogo kazini.
Yupo serikalini Ila mmoja wa Boss wake alimfanyia Defamation kwa...
Habari zenu wanajamvi.
Bila kupoteza muda naomba mnisaidie kunifafanulia hili swali.
Hivi kwamfano imetokea labda mtu ame-fake kifo chake alaf ww ndo ukaonekana umemuua ukafungwa miaka kadhaa...
MATUNZO KWA MWENZA SIO HISANI BALI NI LAZIMA.
Je wajua kuwa mume au mke kutoa matunzo kwa mwenza wake ni lazima kisheria?
Soma hapa upate majibu.
Tulio wengi tunadhani kuwa kutoa matunzo kwa...
Habari za jioni ndugu na jamaa humu ndani leo nimeona nizungumzie jambo moja ambalo linaathiri Jamii yetu bila kujua na limekuwa ni tatizo ambalo katika maisha ya watu wengi.
Wapo waliouza nyumba...
UVIVU na UZEMBE ni kosa la jinai.
Je umewahi kuwaza kuwa UVIVU na UZEMBE ni kosa linaloweza kusababisha mtu akahukumiwa kifungo kwenda jela au kuadhibiwa kulipa faini?
Majibu yapo hapa kwenye...
Ningependa kujua sheria yetu hapa nchini inawajibisha vipi watu waliohusika na mauaji.
Endapo wahusika watakua wawili
1/Anayetaka mauaji yatendeke, huyu ndio anabeba sababu na kwa upande mwingine...
Kifungu cha 148(5)(a) cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai sura ya 20 kinasema;
Afisa polisi ambapo mtuhumiwa anashikiliwa au mahakama ambapo mtuhumiwa amepelekwa kusikiliza shauri lake...