Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

MASHAHIDI 11 na kamera za kurekodia matukio za Hoteli ya See Cliff ya jijini Dar es Salaam vinatarajia kutumika katika kesi ya kuomba na kupokea rushwa ya sh milioni 10 inayomkabili mtangazaji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau naomba tuangalie sheria ya kumrushusu Msajili wa Vyama kuwa ndio msemaji wa Mwisho kuhusu Usajili wa Vyama, kama ilivyo elezwa na Mwanakijiji katika thread ya CCJ yaandika barua kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Serikali yetu haina nia ya kutii mahakama zetu. Labda niseme vingine, serikali yetu haina mazoea ya kutii maamuzi makubwa ya mahakama. Nitumie maneno mengine ili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Siku ya jumapili tarehe 09 Mei 2010 saa 7:50:36 nilipokea ujumbe wa simu kutoka tigo. Ujumbe wenyewe ni huu hapa: Pokea neno la Mungu kwenye simu yako ili uiue busara ya biblia! ......Sikujuwa...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini, imesema wananchi wengi bado wanapendelea kuwepo kwa adhabu ya kifo kwa wanaothibitika kisheria kufanya kosa la mauaji. Kamishna wa Tume hiyo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda Friday, June 11, 2010 12:17 PM WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda jana aliomba radhi kwa niaba ya...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
habari zenu Kuna gari ya mzigo nimetumiwa ya tonne 3, sasa nilikuwa nataka kumpa dereva afanyie kazi alete hesabu kwa wiki, nimesikia kuwa natakiwa niwe na mkataba naye, na pia awe na mtu wa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari.. Nina gari yangu ndogo ambayo ninalipia road licence tsh 50,000/-. Kwa sasa road licence yangu imeisha mwanzoni wa huu mwezi wa sita, nimepanga kwenda kulipia mwezi wa saba. Budget juzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rafiki yangu toka ngambo -tena mwanaharakati wa haki za kibinadamu- juzi kanitembelea. tulitalii sehemu nyingi east africa. kila tulikofika mikoani tulipata vitoto kwa mzaha vikiita ''hallo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Because someone worked in an illegal profession, this did not mean they had no rights under the law. In a recently reported South African case of Kylie v Commission for Conciliation, Mediation...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hamjambo jambo! Nimepata safari ya ghafla, kesho naenda Mambasa, sasa nilikuwa nina mpango wa kuchukua pistol yangu, naomba msaada wenu wa kisheria, nilikuwa nauliza kuwa kama nitachukua pistol...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Jaji Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Agustino Ramadhani -- JAJI Mkuu wa Tanzania, Agustino Ramadhani, amesema tatizo la kusuasua kwa uendeshaji wa kesi za jinai ambalo linahusisha mhimili wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba kuuliza, hivi STANDING ORDERS inayotumika sasa ni ya mwaka gani?? mi najua ya mwaka 1994. Mwaka juzi nilisikia tetesi kuwa inatoka mpya, ila mpaka leo sijasikia tena wala kuona> Kama...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali imeshauriwa kutunga sheria maalum ya kushughulikia matatizo yanayotokana na unyanyapaa, ukatili wa kijinsia dhidi ya watoto na wanaoishi na VVU. Aidha, imeombwa kuweka misingi bora...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Askari polisi wa Kituo cha Negezi wilayani Kishapu mkoa wa Shinyanga, Koplo Gidman Kanyinuzi, anashikiliwa na jeshi hilo kwa madai ya kumuua raia, wakati akishiriki ulinzi shirikishi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Fredrick Warema Serikali inatarajiwa kuwasilisha katika Bunge lijalo sheria inayosimamia mikataba ambapo watu binafsi wataweza kuingia katika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Khalidi Mandia kwa kushirikiana na viongozi wa wilaya hiyo wameanza kampeni ya kuwasaka wanafunzi zaidi ya 400 waliofaulu kuingia kidato cha kwanza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wabaini namba za wanachana kubadilishwa Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa Uongozi wa Chama Cha Jamii (CCJ), umeibuka na kutoa madai ya kufanyiwa hujuma...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja. Serikali imepiga marufuku usafirishaji nje ya nchi wa madini ya Tanzanite ghafi kwa vile hayawanufaishi sana Watanzania kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Joint Government and UN Inquiry Needed into Death of Floribert Chebeya Bahizire Floribert Chebeya Bahizire Floribert Chebeya's shocking death is a serious blow for human...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…