Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
1: Kama unahojiwa na Wakili Mahakamani usijibu bila kutafakari alichokuuliza
2: Wakili asikuogopeshe kwa ukali, anapokuuliza kwani ukali hulenga kuleta paniki na kukusahaulisha ulichopanga kusema...
Ndugu wanajamvi. Napenda kujulishwa endapo watumishi wawili wamekubaliana kubadilishana vituo vya kazi kutoka mkoa 1 kwenda mwingine. Barua zao zikaenda kunakohusika lakini ikabainika mtumishi 1...
Wakuu habari,
Nina mshkaji wangu yupo Morogoro, wana kesi walishtakiwa ya kiofisi Tangu mwaka 201, upande wa Jamhuri walileta shahidi mmoja tu, ishapita miezi hawajaleta shahidi mwingine, Sasa...
Naomba kufahsmishwa na wajuvi wa sheria nafasi ya mwananchi anayegundua kuwa shahidi aliyeapa mahakamani amedanganya taarifa zake binafsi, taarifa husika ni jina kamili, umri, kabila na elimu.
Wakuu, Poleni na majukumu ya kila siku, nisiwe na maneno mengi naomba nijikite moja kwa moja kwenye mada husika. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, binafsi kadri siku zinavyosonga najikuta...
Iko hivi.. kuna kiwanja nimenunua muuzaji kanionesha ramani ambayo imechorwa na surveyor wake ..madai yake kasema alienda ofisi za ardhi kujua eneo analotaka Kuuza ni kwaajil ya makazi au...
Sheria ya kulinda siri ina sehemu inazokuzuia kuropoka siri za taasisi yako unayofanyia kazi,,,sehemu hizo ni kama ukiwa baa, sokoni,msikitini,kanisani,kwa mchepuko nk, ukiwa sehemu hizo ikaropoka...
Habari za sasa wanaJf.
Mimi ni mwajiliwa mpya kwenye sekta ya afya katika salary slip yangu nakatwa PAYE 30% mshahara wangu ni above 720,000/= TUGHE nakatwa 2% NHIF 3% na NSSF 10%: Hoja yangu...
Hivi Tanzania na jurisdiction zingine hakuna case laws zinazotoa majibu ya shahidi anayekataa kujibu maswali kwa kisingizio cha siwezi kujibu kwa vile nina kiapo?
Naona Jaji kama hajui kitu kama...
IBARA YA 149 (1) c YA KATIBA YA TANZANIA;
Mtu yeyote mwenye dhamana ya kazi yoyote iliyoanzishwa na katiba hii.
" ... Ataweza kujiuzulu kwa kutoa taarifa iliyoandikwa na kutiliwa sahihi kwa...
Sheria ya utumishi wa Umma inasemaje kwa mtumishi ambaye anataka kustaafu kwa hiari kabla ya miaka ile 60 ya kisheria..
Mfano ana miaka 55. ila kwa sababu ya changamoto ya ugonjwa anaamua...
Habarini wanajamvi,
Polen na majukumu pia, nimekuja kwenu nikihitaji msaada wa kisheria nikiamini humuvjamii forum nisehemu ambayo kuna watu ni wajuzi na wenye expirience mbalimbali ktk upande...
Iko hivi.. kuna kiwanja nimenunua muuzaji kanionesha ramani ambayo imechorwa na surveyor wake ..madai yake kasema alienda ofisi za ardhi kujua eneo analotaka Kuuza ni kwaajil ya makazi au...
Habari za kazi wakuu, poleni na changamoto za kila siku.
Nahitaji msaada kuhusu hili:
Nina ndugu yangu yupo mahabusu SEGEREA ni mwaka wa pili sasa hajapandishwa mahakamani, je hii imekaaje...
Naomba mwenye kesi yoyote inayozungumzia time-barred debt acknowledgment anisaidie kuniwekea hapa au inbox. Section 27,28,29??? of the law of limitation.
ie what is the law in Tanzania as...
Nilishinda shauri la ardhi na kupewa idhini ya kubomoa ukuta uliojengwa kimakosa. Pia nikapewa dalali na mahakama ili akatekeleze ubomoaji. Dalali nikamlipa pesa nyingi.
Kabla dalali hajavunja...