Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Salam wakuu,
Naomba kuuliza kwa wataalam wa Sheria, je katiba ya nchi yetu inasemaje kuhusu conjugal rights kwa inmates. Kwa mfano nchi ya USA majimbo kama California, Connecticut, Mississippi...
Kwamba ,kwanza mtu anadhaniwa kwamba amekosa, halafu inakuwepo nia,hamu ya kumpeleka mahakamani.
Utawasikia watu Mara nyingi wanasema,"Ningeweza kumfungulia mashtaka,nilimfumania live,lakini...
Nina Ndugu yangu mawakili wake wanamsumbua kwenye kesi aliyowapa..
Copy ya hukumu ..hawampi..
Ushirikiano sifuri...
Je, dawa ya mawakili wasumbufu kama hawa ni IPI?
Tanzania tunazo taasisi za...
Habari Great thinkers.
Kama mada husika inavyojieleza hapo juu. Naomba kufahamishwa utaritibu wa kisheria pale inapotekea baa kupiga muziki kwa sauti kubwa hadi usiku wa manane na kuleta usumbufu...
Salaam Wakuu.
Naomba ushauri kwa wajuzi wa sheria au hata wasio wajuzi wa sheria lakini wamepitia ishu kama yangu.
Kufupisha Stori,
Nilinunua Viwanja viwili maeneo ya tabata, viwanja hivi vipo...
Wana sheria wasomi ma nguli naombeni kuuliza?
Imekaaje ndugu Mwijaku kutoa ahadi ya kupigwa mawe hadi kufa.
Je, watu wakimpiga mawe kwa maombi yake mwenyewe na wakamuua sheria inasemaje hapo...
Wakuu,habari.
Naombeni hukumu ya Sabaya ili nijiridhishe baada ya kupata utata wa maamuzi ya mahakama.
Nimepata utata kwa sababu ushahidi niliokuwa nafuatilia sikutegemea angekutwa na hatia.
Wakuu naombeni ushauri na mwongozo ni namna gani ya kufungua kesi ikiwa kuna mtu unamdai na hataki kukulipa?
Iwe ni kazini au kwenye mauziano ya kitu na akataka kukudhulumu huyu mtu...
Nawasalim kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nina yaandika haya ni kiwa Tanga kaskazini mwa Tanzania.
Mimi ni Mtanzania wa bara ,ila ninaye ndugu yangu ambae alikua anafanya kazi...
Wakuu habari,
Inatambulika kuwa inapotokea shida ya kutoelewana kwa wanandoa wawili na kutaka kusuluhisha migogoro yao, hushauriwa kuendea mabaraza ya usuluhishi ya ndoa;
BAKWATA (kwa ndoa...
Wakuu za asubuhi. Nahitaji kuvunja ndoa niliyomo. Nifika ustawi wa jamii wakasema kwa sasa, yaani muda uliobakia mwaka huu hawafanyi michakato ya talaka. Hiyo hadi mwakani February. Ni sawa?
Pia...
Wakuu heshima kwenu.
Ninaomba mwenye utaalamu wa kuandika madai ya Bima anisaidie. Nilipata ajali ya kugongwa na gari Octoba mwaka jana na hatua zote za kipolisi zimetimia. mpaka sasa bado kesi...
Habari wataalamu wa sheria naomba mniweke sawa hapa maana juzi nimemsikia mtendaji akitoa agizo (maelekezo) kuwa ukitaka kuuza au kununua vitu kama shamba nyumba na viwanja basi ni lazima...
Wakati wa kuandika WOSIA wa marehemu ni ruksa kuweka kipengele cha MALI ili kujua financial status za marehemu!? Mathalani
Marehemu alikuwa anamiliki: MAGOROFA YA HOTELI 7
MAGARI 6 aina ya BENZI...
This is the book which pacts with the significant area of practice in law, ‘Execution’, especially in Tanzanian context. It covers almost all important areas of the law and therefore gives answers...
Habari za asubuhi wana wa nchi. Naombeni mnielimishe ni mambo yapi yanahitajika pale unaponunua chombo cha moto kama gari, pikipiki au bajaji kutoka kwa mtu.
Nisaidieni mambo yote ambayo...