Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Mzee wangu ambaye kwa sasa ni marehemu ana madai yake ya fidia ya ardhi kwenye mamlaka ya maji DAWASA lakini hawataki kuilipa familia yake. Kwa kifupi ni kuwa DAWASA walipita hawamu mbili kuchukua...
Mama anataka kuuza nyumba na aliyojenga na marehemu baba then arudi kijijini ,vipi kuhusu sisi watoto? Wote ni watu wazima je tunachetu hapo? Au hatuna haki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Salaam,
Kama heading inavyojieleza hapo, naomba nisaidiwe ufafanuzi Juu ya hili swala la Dhamana, Kwa mfano nikienda kumtolea Mtuhumiwa dhamana Ni lazima niende na Cash?
Na je siwezi kutumia...
Naomba thread hii iwe inakusanya video na documentations zote zinazohusu cross-examinations za kesi mbalimbali mahakamani kutoka pande mbalimbali za dunia.
Kati ya vitu huwa napenda sana kwa...
Ndugu wanasheria naomba kujua, kutokana na ripoti ya CAG ndani ya chama cha walimu CWT aliibua madudu mengi, naomba kujua nahitaji kufungua kesi dhidi ya CWT mashitaka yangu yanapaswa yaweje na ni...
Jackie Frazier- Lyde ni Nani ?
Jackie Frazier a.k.a Sister Smoke a.k.a Sister Lyde ni mtoto wa Joe Frazier.
Joe Frazier ni Nani?
Joe Frazier( R.I.P) ni bondia wa uzito wa Juu " Heavy Weight...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Je, uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu, ndugu Zitto sheria za uchaguzi zinamruhusu kugombea nafasi yoyote, mfano nafasi ya ubunge nk?
Sijui ni lini tutakuwa serious kama nchi.
Mimi sifuatiliagi sana vipengele vya kisheria ila hii nimejikuta naipitia kwa sababu zangu binafsi. Nimecheka japo inakera sana.
Sheria hii ya ajabu...
Katika kesi ya Smith v Hughes , washtakiwa hawa ambao walikuwa wapenzi, walishtakiwa chini ya Sheria ya Makosa ya Mtaa kwa kosa la kufanya mapenzi hadharani ijapokuwa walikuwa ndani ya nyumba yao...
In the wake of a compromised, weak incompetent judiciary and powerless courts; definitely under pressure from the executive, NO or VERY few cases have been and will be decided fairly and justly in...
Unaweza ukawa na akili lakini usiwe na maarifa.. Makinika... Kumbuka maandishi hayafutiki... Hata unapofuta ama kuhariri maudhui yako hapa JF.. Original version hubaki huko kwenye sever
Tendo la...
Mwajiri wangu amenibambikizia kesi ya wizi, akanishitaki Polisi kisha uchunguzi ukafanywa na jeshi hilo la Polisi majibu yakaja kwamba sina kosa hilo na wakashindwa kunipeleka mahakamani.
Baadaye...
Nina kesi ya madai. Nahitaji mdaiwa wangu apelekewe hiyo document. kama kuna mtu anaweza nifanyia hiyo kazi anicheki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawaomba wanajf mnielimishe namna nzuri na ya kisheria ya kuwarithisha watoto mali zangu! Pia sheria inasemaje juu ya umiliki wa mke hasa kwa Mali alizomkuta Nazo mume wake?
Kuna rafiki yangu wa karibu sana amezinguana na mkewe kama wiki 2 zimepita. Kwa influence ya wazazi wa binti imefunguliwa kesi ya kuwa jamaa kampiga mkewe na kumuumiza hivyo kwa madai ya jamaa...
Wanaojua sheria za kimataifa hivi mfano Mimi ni rais halafu kwa sheria zetu ninakinga ya kutoshtakiwa kwa Mambo niliyoyafanya nikiwa madarakani.
Je, siku nikiondoka madarakani halafu nikaenda...
Mwizi kaingia ndani ya nyumba ya mtu kuiba majirani tukaona tukafunga mlango kwa nje.
Mwizi akataka kuvunjja mlanngo akapanda juu akachana bati akutokea juu akaanza kukimbia, Wananchi wenye...
Kuna mtu nilimwazima pesa kiasi cha mil 1.5 na kuweka dhamana ya nyumba kwa maandishi mbele mtendaji wa kijiji kwa makubaliano ya kulipa ndani ya kipindi cha miezi mitano, alifanikiwa kulipa laki...
Kifungu cha 148(5) cha CPA kinacho wanyima watuhumiwa wa makosa yaliyoainishwa na kifugu hicho ni batili na kifutwe kwa kuwa kinakiuka Katiba ya JMT na serikali.
CHA AJABU: Mahakama imetoa muda...