Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Tafadhali wadau za jioni? Nataka kuingiza dume la ng'ombe nije kuzalisha kwenye shamba langu. Naombeni msaada wa taratibu za kisheria na kanuni za kuingiza mnyama huyo humu nchini. Tafadhari...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wasalaam, Naomba kufahamishwa kidogo juu ya nyaraka hizi za kisheria kwa mnaofahamu. Je, inawezekana kwa mkazi wa mkoani, kutakiwa kuripoti kituo cha polisi Osterbay, Dar es Salaam, huku yeye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sheria inasemaje kama mfugaji akiingiza mifugo wake kwenye pasipo ridhaa ya mwenye shamba hilo?
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimefatwa na Mama mmoja asiyejua kusoma lakini yupo kwenye ndoa. Ameishi na mumewe kwa zaidi ya Miaka Kumi lakini hakubahatika kupata Mtoto. Mume wake kamshawishi wamrithishe kijana mmoja Mali zao...
0 Reactions
1 Replies
963 Views
Wakuu bosi wangu anataka kuniweka matatani kwa kunibebesha fedha kiasi kikubwa kupelekea wafanyakazi mishahara site sasa tumekaa na nimeona ananiweka kwenye risk kubwa ya kuvamiwa na kuibiwa au...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna mtu niliingia naye mkataba wa kunikodisha chumba cha kufanyia biashara, chumba kilikua hakijakamilika kimatengezo kwahiyo akaniomba fedha kwa ajili ya kukamilisha matengenezo tukakubaliana...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wakuu, Power of Attorney ni kitu ambacho nimekuwa nakutana nacho mara kwa mara. Ni kitu ambacho kwa maoni yangu, si cha kawaida sana Tanzania kama ilivyo nchi za wenzetu. Inawezekana ni...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Cabotage Law hii ni sheria inayowekwa na nchi ili kulinda huduma za usafirishaji wa ndani wa majini kwa wazawa/kampuni za ndani kutoa huduma kati ya bandari moja na nyingine ndani ya mipaka ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
26.-(1) Pale mtu yeyote amehukumiwa kifo, hukumu hiyo itaelekeza kwamba mtu huyo anyongwe kwa kitanzi mpaka afe: Isipokuwa kwamba, endapo mwanamke aliyehukumiwa adhabu ya kifo atakuwa mjamzito...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Napenda kuuliza ili nipate maoni yenu waungwana kuhusu hili: Je ikitokea mwanamke/msichana amepata ujauzito kutokana na kuwa Mhanga Wa ubakaji na kwa bahati nzuri yule mbakaji akaswekwa ndani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana wakati natoka zangu mkoa narudi jijini nikiwa na drive nikapigwa tochi kwenye limit speed ya 50km/hr, Mimi nikiwa na speed ya 58km/hr, nikaja kukamatiwa mbele. Askari akanisimamisha na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mahakimu wametakiwa kusimamia uendeshaji wa mashauri na kuzuia maahirisho ya mara kwa mara ya kesi bila ya sababu za msingi kwa lengo la kuhakikisha kesizinamalizika kwa wakati Mahakamani. Jaji...
2 Reactions
2 Replies
859 Views
Wadau naombeni ushauri nimchukulie hatua gani za kisheria mtu huyu anayetumia jina langu na sain kwenye nyaraka zake za kuombea pesa kwa wafadhili? Iko hivi mwaka 2016 nikiwa mwanachama hai wa...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Niingie kwa mada, kuna ndugu yangu alikuwa na duka la vyakula la rejareja lakini mapema mwaka huu (2019) aliamua kulifunga kwa kufuata taratibu zilezile alizotumia kulifungua...
0 Reactions
4 Replies
881 Views
Dhamana mahakamani au polisi ni haki ya kila mtuhumiwa. Hii ni pasipo na kujali tuhuma mtu alizo nazo pale inapodhihirika wazi kuwa mtuhumiwa atapatikana muda atapohitajika pasipo na kukosekana...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari ndugu. Kwa wajuaji wa sheria je haki ya kupata dhamana kwa mtuhumiwa ikoje? Je utaratibu wa kutoa pesa police ili upate dhamana ni sahihi? Je kujidhamini mwenyewe unapaswa uwe umepata...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu. Naomba kufahamu sifa za kesi za uhujumu uchumi. Je,, mkaa wa tshs laki sita na nusu unastahili kesi ya uhujumu?
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Niliingia mkataba na Kamati ya ujenzi kwa niaba ya halimashauri wa kujenga wodi ya wazazi kwenye kituo cha afya. Mkataba ulikuwa nijenge jengo kwa miezi mitatu. Mimi kazi yangu ilikuwa kujenga...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Najaribu tu kuutafakari huu uwiano wa makosa ya utakatishaji fedha na adhabu zinazoendana na makosa hayo. Ni juzi tu tumeshuhudia Jamal Malinzi na mwenzie Mwesiga wakilipishwa faini ya Sh...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba mwenye kesi za Bill of costs, instruction fees anisaidie.
1 Reactions
0 Replies
555 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…