Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Wana jamvi, Tangu awamu ya tano iingie madarakani, kumekuwa na malalamiko mengi ya wafanyakazi kuondolewa kwenye nafasi zao kinyume cha sheria na wengine kuteuliwa kushika nafasi mbalimbali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1 Reactions
56 Replies
6K Views
Katika nchi yoyote msingi wa uendeshaji wa nchi unategemea Katiba. Katiba ni sheria kuu au sheria mama katika nchi yoyote. Sheria nyingine zote zinategemea au zinatungwa kwa mujibu wa katiba...
2 Reactions
4 Replies
40K Views
Wakuu wa jamvini habari zenu? Napenda kujua je kuna tatizo kama nikisainishana mkataba na dereva wangu wa boda boda mbele ya Mjumbe wa Nyumba 10 badala ya kumtumia mwanasheria? Natanguliza...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Niende kwenye topic moja kwa moja. Katika harakati za kujikwamua kimaisha vijana kadhaa tukawa tumeingia mkataba wa kupangishwa nyumba na jamaa, mwenye nyumba. Na kama mjuavyo mikataba hii ya...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Mimi nilikuwa naomba msaada wa Sheria ya kuomba kupewa barua ya utambulisho kuwa ulishafanya kazi kwenye kampuni uliyoacha kazi, au kuachishwa kazi kwa kusingiziwa kuwa mfanyakazi umeiba na huku...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Ilitokea pale Bondeni darajani kwenda Tegeta kuna daladala iling'olewa namba zote za mbele na nyuma na dereva aliyekuwa anaendesha gari ya zto Kinondoni. Je, sheria inasemaje kuhusu kosa la kutoa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naomba kama kuna mtu anamjua mtu aliyewahi kufanya utafiti baina ya sheria ya ndoa ya Tanzania na sheria ya kiislam kwa lugha ya kiarabu au ya kizungu. Naombeni msaada kumfikia na kama...
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Kuna mkandarasi wa ujenzi nimefanya nae kazi miezi mitatu kwa makubaliano kwamba zikitoka hela TANROADS ndio anilipe. Lakini cha kushangaza hela zimetoka kanigeuka na hataki kunipa pesa yangu, na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wafanyakazi wa Fastjet wameipeleka Fastjet CMA wakiomba walipwe stahiki zao za tangia mwezi February. Ili kufanikisha malipo hayo, wafanyakazi waliomba zuio mahakama kuu kitengo cha kazi ndege...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekuja kugundua sisi waafrika na watanzania kuandika wosia au will tunaona ni kujichulia kifo, ukweli ni hakuna ambaye hatakufa.Tumeshuhudia mitafaruku mingi hasa mtu mwenye mali akifa huku...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Mfano mwanao umempa jina, mara paah! jina kama hilo lina-trend kimalaya kutumiwa na makahaba na mashoga. Sheria zinasemaje kuhusu kubadili hasa akiwa kaanza shule? Au ni namna gani waweza...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamaa alikuwa na shamba pori. Serikali ikalitifaisha kwa sababu ya kutoendelezwa muda mrefu. Wakauziwa wengine kama viwanja na wana hati za serikali za mitaa. Miaka mingi imepita, jamaa kaibuka...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Sijajua kama kuna sheria na utaratibu wa kufanya kazi kwenye kampuni ambayo haipo Tanzania lakini wamekuajiri na kukulipa. Kwa teknologia ya siku hizi unaweza kufanya kazi ukiwa popote duniani...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Tafadhali Watanzania na wana JF, naomba mwenye Judgement (criminal) ya kesi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa anisaidie, nina shida nayo ndani ya siku mbili hizi. Huyu jamaa...
1 Reactions
13 Replies
11K Views
Wadau habari, Naomba kujua ni makosa gani ya Usalama Barabarani yanaingia kwenye jinai na makosa gani yanaingia kwenye madai.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
SHERIA IMERUHUSU KUDAI ZAWADI ULIZOTOA UCHUMBA UNAPOVUNJIKA. Una mahusiano na mwanaume au mwanamke ambaye kimsingi mpo katika uchumba. Unampa zawadi nyingi naye anakupa zawadi. Mnayo ahadi ya...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Naomba kufahamu kama marehemu ambae ni mume ameacha wosia unaomtambua mke wake ambae ni mama yetu wa kambo kama mmiliki wa mali, je mama huyo wa kambo anaweza kuuza mali alizoachiwa na marehemu...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…