Kampuni ya mitaji ya Singapore, PAY imetoa dola za kimarekani milioni 320 kwa mradi wa Graphite mkoani Ruangwa unaotekelezwa na Magnis.
Kampuni ya Magnis Energy kupitia kampuni yake tanzu nchini...
Salaam, Shalom!!
Kusaini mikataba inayohusu nchi kunahitaji Umakini wa Hali ya juu, mikataba yenyewe ni very technical na inahitaji muda kuusoma na kujua hila za vifungu vya mikataba vinavyoweza...
Ukiondoa nyakati za Kampeni za Uchaguzi sijawahi kumshuhudia Tundu Lissu akifanya Mikutano kwa spidi hii tena wakiwa wawili tu kutoka Chadema HQ yaani yeye mwenyewe na Twaha Mwaipaya wa Bavicha...
Juzi Mahakama Kuu ilitoa agizo kwa wahudhuriaji wote wa kesi ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na Wenzake watatu kwamba kuanzia leo ni lazima wavae barakoa wanapogusa eneo la Mahakama hiyo ...
Namba hazijawahi kudanganya, kwa mujibu hati ya mashitaka ,Mbowe ameshitakiwa pamoja na wenzake watatu, kwa mashitaka kadhaa huku Mbowe akikabiliwa na mashtaka mawili, hawa wote wako rumande na...
Hili ni Swali lililotokana na ukweli kwamba huyu mtu ni Smart kuliko hata wale wanaomtesa wanavyomfahamu
Hotuba zake kadhaa alizowahi kuzitoa kabla hajakamatwa na kubambikwa kesi ya Ugaidi...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Yule Mwamba wa siasa za Kisasa kwenye eneo la Maziwa Makuu , Freeman Mbowe , ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama kikubwa zaidi na kinachoungwa mkono na...
ROYAL TOUR KUONGEZA IDADI YA WATALII KUPATA CHANGAMOTO
https://m.youtube.com/watch?v=Bl1CZq_Uwr4
Mr Chambulo mwenye uzoefu wa industry ya utalii na mwenyekiti wa mawakala wa utalii wa muda mrefu...
Majuzi wakati Rais akiwa Korea ya kaskazini kumezuka mijadala mikubwa sana juu ya mkopo tuliokopa wa karibu TZS 6 Trilioni.
Lakini pia huku mtaani malalamiko ni makubwa watu hawataki kulipa...
Joyce Mmasi | Friday, 15 October 2010
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema, Dk Wilbroad Slaa alisema akichaguliwa kuwa rais, serikali yake itaondoa matumizi yote ya anasa na kifahari...
Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda amemuagiza mkuu wa Usalama barabarani mkoani Arusha kutokamata magari ya Watalii na badala yake ukaguzi ufanyike mipakani na kwenye viwanja vya Ndege
.---
Mkuu...
🗒️ 08 June 2024
📍UVCCM HQ
Mwenyekiti wa Jumuiya ya umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Komredi Mohammed Ali kawaida (MCC) amehimiza Uzalendo, Upendo, Umoja, na mshikamano, Miongoni mwa...
Watu mliosoma Sociology Tafiti zinaonesha nyie ni watu wa kurizika sana ndo maana PhD ni chache mno za Sociology with philosophy.
Nchi inahitaji kuongozwa na wanasosholojia matokeo yake mnaacha...
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limemuachia kwa dhamana Godlisten Malisa majira ya Saa saba Usiku wa kuamkia leo Juni 8, 2024.
Baada ya kuachiwa moja kwa moja yeye na wawakilishi wake wakiongozwa...
Milton Lupa amefariki juzi kwa ajali ya gari Morogoro. Leo anasomeka mkeka wa uteuzi.
How comes? Hivi Katibu Mkuu Kiongozi umeruhusuje huu mkeka kutoka na makosa haya?
Ikulu imekuwa...
Hivi ndugu zangu naomba niulize ni kwa nini miradi mingi ya serikali huwa inachelewa au kufa kabisa na huku tukishuhudia miradi binafsi ikikamilika kwa muda na viwango vizuri. Shida ni nini?
1...
Mapema mwezi wa saba mwaka huu Rais Samia alimteua FRANK KANYUSI kuwa mtendaji mkuu wa RITA. ikumbukwe kwamba bwana huyu miaka ya nyuma alikuwa mtendaji mkuu wa BRELA. Kipindi ambacho BRELA...
Hivi professor Adolf mkenda na wizara yako ya elimu mmeona waTanzania ni wajinga sana?
Do you really think we are going to buy that childish trick of yours'?
Hivi mpaka lini mtaendelea kunyanyasa...
Wakuu,
Baada ya kuona uzi hapa wa mdau kuuza move ya site za ngono kufunguliwa nikaenda kuangalia kama Club House imeachiliwa pia, maana ilikuwa kundi moja ya sites/apps zilizozuiwa na serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.