Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wadau hamjamboni nyote? Wapo watakaokubali na watakaopinga hoja hii ila ukweli halisi Rais Samia anastahili kabisa kupewa hadhi ya kuwa Profesa wa Demokrasia na Utawala Bora Afrika...
7 Reactions
39 Replies
977 Views
Ashakumu sio Matusi lakini Asha wa siku hizi ni mcharuko wa matusi. Nilidhani imetosha kumbe bado naendeleea kujifunza. Niliwahi kusema; ndani ya Chadema ukiachana na upinzani wetu wa jadi...
9 Reactions
14 Replies
885 Views
Mbalizi, Tunduma Road Tanzania VITUKO MSIBANI CHADEMA NA CCM WASHIKANA PABAYA KILA MMOJA AONYESHA UWEZO WAKE https://m.youtube.com/watch?v=IIW7fpPFuj8 Kufuatia msiba mzito wa aliyekuwa mwanachama...
1 Reactions
2 Replies
416 Views
Sakata la Nape la kuomba radhi kwa Mwenyekiti wa ccm limeambata na vitisho vya kuvuliwa ubunge na chama chake , kisha ubunge huo kukabidhiwa ndugu Suleiman Methew ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema...
7 Reactions
61 Replies
7K Views
Wakuu na nyuki wa mama, Kweli tutaona mengi kabla ya uchaguzi 2025. Mkiwa mnawapa script hawa hata mfanye kuedit basi ili ziendane nao. Wananchi wanaongea unaona kabisa kasukua huyoo anatapika...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amewataka Watanzania kuwaombea wanaofanya ubadhirifu na wezi ili roho hizo za kuhujumu nchi ziwatoke...
6 Reactions
33 Replies
976 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo kupitia Ukurasa wakewa X (Twitter) amekanusha taarifa iliyotolewa na Sauti ya America inayoelezea Mkopo wa Tanzania na...
6 Reactions
93 Replies
7K Views
Rais Samia afanya uteuzi na kufanya mabadiliko ya watendaji wa Serikali. --- Zuhura Yunus, aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, na Felister Mdemu, aliyekuwa msaidizi wa Rais katika...
22 Reactions
195 Replies
23K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo leo tarehe 08/06/2024 kinafanya Mkutano wake wa hadhara Singida Mjini, ambako Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu atahutubia wananchi. Kama ilivyo...
9 Reactions
49 Replies
2K Views
Wazungu, Waarabu, na Viongozi wa Asia hawapendi Phd za heshima? Mbona hawapewi? wana makosa gani? wanakwama wapi? Ukifuatilia hizi Phd za Heshima utagundua zinatolewa kwa viongozi wa Africa tena...
1 Reactions
4 Replies
346 Views
Julius Malema wakati wa harakati zake za kisiasa na wakati wa Kampeni za mwaka huu, alijiegemeza Sana kwenye kukishambulia chama cha siasa cha pili kwa ukubwa nchini Afrika ya Kusini. Malema...
15 Reactions
28 Replies
2K Views
Japo mimi siyo mpenzi wa Simba SC Lakini nimemuelewa sana Gonzalez Alichoongea ndio Ukweli Wenyewe huku Siasani --- Kweli watu wanalipwa kupost picha za mtu kazini? Watu wazima kabisa wanakaa...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
CCM haipo mbali na huu ukweli, wataanza kuform serikali ya mseto kisha itaondolewa madarakani. Moja ya matamanio ya Wa TZ ni CCM kuanguka. CCM has proven failures kwenye kila sekta, na for as...
12 Reactions
30 Replies
3K Views
TAARIFA YA KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI NDUGU SOPHIA MJEMA KUHUSU ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU DANIEL CHONGOLO NA UJUMBE WAKE NCHINI CHINA. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na...
0 Reactions
5 Replies
645 Views
📍Wafanya Usafi Soko la Kemondo. Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Bukoba Vijijini chini ya Mwenyekiti wake Ndugu Andrew Byera kwa kushirikiana na Afisa Tarafa wa Tarafa ya...
1 Reactions
9 Replies
448 Views
Hapa nazungumzia Vyama vinavyopata Ruzuku na vina Wabunge bungeni mfano CCM na CHADEMA; 1. Mshahara 9m TZS (net); 2. Gari (SUV) mafuta, matengenezo na dereva; 3. Diplomatic Passport (VIP lounge...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Anachukua nafasi ya Shaka Hamdu Bado haijafahamika kama Hamdu Shaka atapangiwa majukumu mengine au ndio Kabwagwa jumla. === Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM...
34 Reactions
277 Replies
27K Views
Leo Jumapili Freeman Mbowe amefika kwenye kanisa la KKKT Azania Front na kufanya maombi maalum yakiambatana na Sadaka, kwa lengo la Kumshukuru Mungu. ========= Freeman Mbowe: Leo nimewaona...
30 Reactions
101 Replies
8K Views
Naona kila kona sasa hivi ni juu ya mafyongo ya teuzi. Nakumbuka enzi za hayati Julius (Mwl) mtu alikuwa akipata taarifa za teuzi zake kupitia RTD na unakuta mtu yupo baa, nyumbani au kilabu cha...
9 Reactions
20 Replies
2K Views
Mheshimiwa Ni mzoefu na anajua kazi ya uandishi vyema
1 Reactions
25 Replies
678 Views
Back
Top Bottom