Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kama ambavyo sisi hulalamika pale wanaotuhudumia wanapofanya vibaya, basi ni jambo jema la kiungwana kuwakumbuka na kuwapongeza wanapofanya vizuri. Katika maisha yangu, sijawahi kushuhudia...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Chama cha ACT Wazalendo kimesema hakijawahi kutumika na CCM kama ambavyo inasemwa na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani hapa nchini badala yake chama hicho kimekuwa mstari wa mbele...
0 Reactions
1 Replies
245 Views
Siyo kwa lengo baya wala majungu, fitina, chuki , husuda n.k.! Kwenye utawala wa Kikwete jina la Ridhiwani lilivuma mno lakini likiegemea zaidi upande hasi! Yaani ilitengenezwa picha kwamba mtoto...
12 Reactions
39 Replies
2K Views
Mbunge wa Gairo (CCM), Ahmed Shabiby ameishauri Serikali kukata Sh2,000 kila mwezi kwenye laini za simu huku wabunge, wafanyabiashara na wafanyakazi wakikatwa Sh10,000 ili fedha hizo ziwe chanzo...
10 Reactions
90 Replies
5K Views
Kama ulikuwa huelewi hili jambo basi lichukue uliweke kichwani mwako. Taarifa hii imewekwa na Absalom Kibanda anayedai amenong'onezwa na Mwalimu wake, mkongwe Kajubi Mukajanga . Japo mimi naona...
22 Reactions
82 Replies
4K Views
Mheshimiwa Dkt. Betty Mkwasa anatajwa kuchukua nafasi ofisi Kuu. Kwa hakika tumepata jembe. All the best Pia soma Zuhura Yunus kaboronga wapi mpaka kutolewa Ikulu?
4 Reactions
94 Replies
5K Views
Ukimsikiliza Tundu Lissu utaona kwamba ni vuguvugu, haoneshi rangi yake halisi anajifanya au niseme yuko liberal kwenye dini anafikiri kwamba kwa kuwa katikati atawawini wote waislamu na Waktisto...
1 Reactions
10 Replies
436 Views
Kutokana na wingi wa watu wanaokaa na kutembelea Kigamboni pamoja na shida ya usafiri kuelekea na kutokea Kigamboni ni wakati sasa wa serikali kufanya maamuzi magumu ya kuruhusu vyombo vya usafiri...
9 Reactions
60 Replies
2K Views
Waziri wa Ardhi Jerry Silaa amewapiga marufuku wenyeviti wa mitaa na Vijiji kuuza Ardhi na kwamba kuanzia Sasa kazi hiyo itafanywa na Afisa Ardhi na Kampuni za Upimaji tuu. Aidha bwana Silaa...
23 Reactions
107 Replies
10K Views
Tumeendelea kufuatilia ili kujua sababu hasa ya Bwana Malissa kukamatwa tena leo na kwamba eti ana kesi mpya huko Kilimanjaro. Katika machache tuliyoyapata ni kuhusika kwa Adolf Mkenda...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
Ni kwanini hizi nchi za bara la Asia zinagawa PhD za bure kwa viongozi wa kiafrika tu na si kutoka mabara mengine? Labda mawazo ya wengi nitapata fununu kichwa kipate kutulia
0 Reactions
4 Replies
378 Views
https://www.youtube.com/watch?v=vpTWLYk9aeU Halima Mdee ahoji Uwanja wa CCM Kirumba kukarabatiwa kwa fedha za umma Mbunge Halima Mdee amehoji uamuzi wa Serikali kuwa na mpango wa kuuboresha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiukweli viongozi huwa wanatukosea sana wanapokalia dhamana za Madaraka na hatunaga namna ya kuwakemea kwa sababu wanajilinda mno kikanuni Mkuu wa KKKT mstaafu Askofu Dr Shoo amefungua njia kwa...
2 Reactions
17 Replies
485 Views
Maandiko yanasema Wana wa ngurumo Petro, Yakobo na Yohana hawakuwa na Fedha bali walichokuwa nacho ni "Kumpa yule Mlemavu wa Miguu Kutembea". Yule mlemavu alikaa pale akiamini Fedha (Madera na...
0 Reactions
4 Replies
302 Views
Wakristo wa Ulaya walitusamehe nusu ya deni la taifa mwaka 2000, ila hivi sasa tunaelekea kuvunja rekodi ya kukopa kama vile nchi inaisha kesho. Tukumbuke tuna watoto na wajukuu watakaohitaji...
2 Reactions
5 Replies
319 Views
Bakari Machumu - Mkurugenzi Mtendaji Mwanachi Communication Limited Bakari kwa muda mrefu amekuwa mtu wa watu, mwenye kuielewa tasnia ya habari na zaidi ni kiongozi ambaye ana haiba ya uongozi...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Mpya kutoka kwa Tundu Lissu ni madai kwamba mtoto mmoja wa Rais Samia aitwaye ‘Abduli’ 🤣, alimpelekea Lisu rushwa nyumbani kwake. Baada ya Lissu kuona hivyo eti akamwambia “shenzi”, kahonge huko...
11 Reactions
77 Replies
2K Views
Ukitoa ugonjwa ni ngumu sana Mkuu wa nchi kuwepo ndani ya nchi nyingine kwa wiki nzima akifanya ziara labda awe anaumwa hivyo anatibiwa. Ila kwa Tanzania naona inaelekea kuwa jambo la kawaida sana...
24 Reactions
64 Replies
3K Views
Kila wakati naangalia wabunge wanajadili nini. Kama kawaida wanamwaga sifa kwa rais. Hili la USHOGA wanatoa sifa za uongo. Rais hajakemea ushoga hata siku moja. Yawezekana ana lake kichwani lakini...
10 Reactions
127 Replies
3K Views
Mods uzi una maudhui tofauti na nyuzi zilizopita japo nimezitumia kama Mfano. Nimeweka Link ya Mijadala hiyo Miwili ili kuweka kumbukumbu sawa. Kuna mada imetrend sana kwenye jamvi letu kuhusu...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom