Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwa dhamira njema kabisa, nina shauku kubwa sana kuona timu yetu ya mpira wa miguu, yaani Taifa Stars, inaenda ama kufuzu kucheza Kombe la Dunia. Lakini sera mbovu za serikali ya chama tawala...
0 Reactions
0 Replies
201 Views
Akifanya mahojiano kwa njia ya simu na mtangazaji wa EATV, Mh. Nkamia amesema kuwa yeye ameamua kupeleka muswada huo binafsi kwa spika wa bunge kutokana na serikali kutumia gharama kubwa za...
5 Reactions
265 Replies
32K Views
Mwaka kesho 2023 ndo muda ambao mwenyekiti Mbowe, aliazimia utakuwa mwisho wake kuwa Mwenyeketi wa Chama Chetu. Kwa hali ilivyo now, bado tunamuitaji Sana Mbowe Kama mwenyekiti, akilazimisha...
13 Reactions
41 Replies
3K Views
Kwa jinsi anavyoinyoosha nchi, ni vigumu Tanzania kumpata mtu mwingine kama huyu baba. Leo hii watu wanapanga foleni kwenda kulipa kodi TRA. Mapato ya Serikali hayajawahi kuwa chini ya Trilioni...
3 Reactions
98 Replies
6K Views
Kama kawaida yake, Prof Kabudi kwa msisimko mkubwa amewajibu Watanzania walioanza tetesi kuhusu Raisi Magufuli kuwa raisi wa nchi zaidi ya awamu mbili, kuwa jambo hilo halipo kabisa "kulingana na...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
(Beyond two -term limit). 1. Je, ni kweli wakati mwingine Rais anahitaji mihula mitatu ili kuleta mantiki katika Uongozi? 2. Miaka 5 ya kwanza ni kipindi cha kujifunza na kuweka malengo. Miaka5...
10 Reactions
358 Replies
24K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kujenga chama, kueneza chama ,kuongeza wanachama na wafuasi,kupata kura za ndio kutoka kwa watu inahitaji akili, umakini,sera,ajenda zenye kugusa maisha ya watu. Inahitaji...
-3 Reactions
116 Replies
3K Views
Mkurugenzi wa CHADEMA John Mrema amesema kitendo cha Wanachama wa Yanga kuimba Wana Imani na Samia kwenye Mkutano mkuu wa Klabu ni Kinyume cha kanuni za FIFA Ukurasani X Mrema amesema Sheria za...
6 Reactions
95 Replies
3K Views
Katika siku za karibuni Bima ya Afya ya Taifa imekuwa gumzo kila kona, hasa inapodaiwa kwamba mfuko huu wa bima unaotoa matibabu kwa watumishi wa umma na familia zao, unakaribia kukata roho...
4 Reactions
66 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa Bavicha John Pambalu ametoa taarifa kuwa Kesho anaelekea Singida Kuungana na Makamu mwenyekiti mh Tundu Lissu Pambalu na Timu yake wataanza kuonekana kwenye Mikutano ya Tundu Lissu...
3 Reactions
51 Replies
3K Views
Mradi wa Uboreshaji na Ujenzi wa Hospitali Bukoba - Kagera. Mojawapo ya fahari na uhuru wa kweli wa jamii yoyote ile ni kujenga uwezo wa kila mwananchi kupata matibabu sahihi, bora, nafuu na kwa...
1 Reactions
1 Replies
298 Views
Sisi wananchi wa Jiji la Mwanza tunaishukuru ofisi yako kuendelea kutujengea barabara za lami kwenye Mitaa yetu hasa Mtaa wa Mwananchi. Barabara ya lami inayoendelea kujengwa hapa Mtaa wa...
2 Reactions
1 Replies
626 Views
Viongozi wa serikali waliokwenda Hanang hakuna kazi serious waliyokwenda kufanya; Jeshi limetekeleza wajibu wakuokoa Raia viongozi wametekeleza wajibu wakupigwa picha na vyombo vya habari. Picha...
7 Reactions
11 Replies
793 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ameendelea kupata uungwaji mkono kutoka kwa watu mbalimbali wenye...
2 Reactions
33 Replies
929 Views
ASKARI POLISI NA DAS WAAMRIWA KUMLIPA RAIA MILIONI 10 KWA KUMUWEKA NDANI BILA KOSA. Bashir Yakub, WAKILI. +255 714 047 241. Mahakama kuu Kanda ya Manyara imeamuru askari polisi(OC-CID) na DAS...
26 Reactions
21 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Singida mjini Mhe. Shaibu amesema Katibu wa Wazazi wa CCM Dr Ali Happi alipofika Singida alifanya Siasa ndani ya msikiti ambao Shaibu anaabudu hapo. Happi alisema Chadema...
5 Reactions
15 Replies
831 Views
Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba ameyasema hayo leo Juni 10, 2024 Bungeni Pia soma: ~ Bodi ya Mikopo kuchelewesha fedha za kujikimu (Boom) kwa wanafunzi ~ Wanafunzi 150+ wa Chuo cha IFM...
2 Reactions
4 Replies
743 Views
VIGOGO Wandamizi watano wa Jeshi la Polisi Mkoani Arusha wanatuhumiwa kuchukua rushwa ya shilingi milioni 10 na kuachia madawa ya kulevya aina ya Mirungi kilo zaidi ya 1200 yenye thamani ya zaidi...
16 Reactions
103 Replies
28K Views
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amesema si haki kumshambulia Zuhura Yunus kwa Sababu ya kubadilishiwa kituo Cha Kazi Karume amesema Zuhura ni rafiki yake na anakerwa sana na...
14 Reactions
115 Replies
10K Views
Live kutoka viwanja vya stendi ya zamani Singida mjini, kipenzi cha watu na rais wa wananchi Tundu Antipas Lisu amefunguka na kusema alimtimua Abdul alipompelekea rushwa na kumwambia "shenzi...
45 Reactions
227 Replies
12K Views
Back
Top Bottom