Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Rais wa Malawi ametangaza rasmi kupatikana kwa mabaki ya ndege na abiria wake wote wakiwa wamefariki.
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Allience for Democratic Change (ADC), Doyo Hassan Doyo amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho kumrithi Hamad Rashid ambaye amekiongoza kwa miaka 10...
0 Reactions
0 Replies
541 Views
Moja ya dhambi mbaya kwenye maandiko matakatifu itakayowafanya watu wengi waikose mbingu na kwenda motoni ni dhambi ya uzinzi na uasherati licha ya kuwa dhambi zote zina toba ila hii dhambi ya...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Naunga mkono hoja ya RC Chalamila,endelea kuwapiga spana. Haiwezekani mtu mzima una miaka kuanzia 30 na kuendelea uwe unamlaumu Samia Kwa umaskini wako,Hilo halipo na hii tabia ndio inafanya watu...
2 Reactions
19 Replies
959 Views
Chanzo: Jamiiforums.com, Roving journalist. "Tanzania sio kisiwa" utekelezaji wa kauli hii ulipoanza wengi ulituvuruga akili na kutuacha njia panda tukibaki tumeduwaa! Kwakweli Mama...
1 Reactions
0 Replies
177 Views
Tangu 2015 watanzania hatujapata rais anayestahili na mwenye sifa za uongozi. Rais wa 2015 - 2021 . Huyu alikuwa anaendesha nchi kama nyumba yake. Alijawa na sifa za kishamba, matusi kibao na...
9 Reactions
39 Replies
1K Views
Actually Samia has opened almost everything as a result private sector is healthy. I remember during the Magufuli's regine everything was in jeopardy. Almost all investors were struggling to run...
0 Reactions
0 Replies
236 Views
Hili ni angalizo ambalo nalipeleka kwa Mwenyekiti Mpya wa Kanda hiyo Joseph Mbilinyi na Timu yake yote. Kyela iko tayari muda mrefu sana kwa mabadiliko, iko tayari kuliko hata Mbeya Mjini, lakini...
1 Reactions
5 Replies
245 Views
Zanzibar and Arusha in new cooperation to boost tourism investment in Tanzania Arusha. Zanzibar and Arusha will cooperate in an effort to boost investments in Tanzania’s tourism sector. Zanzibar...
1 Reactions
16 Replies
957 Views
Shirikisho la Kimataifa la Biashara ya Utalii wa Mikutano ICCA limezitaja Nchi 4 muhimu Kwa biashara ya Utalii wa Mikutano Barani Afrika ambapo Afrika Kusini inaongoza. Cha kushangaza Tanzania...
9 Reactions
101 Replies
3K Views
Tukio la Kutenguliwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu Alhaji Dr. Yahaya Nawanda baada ya tuhuma za kulawiti binti mwenye umri wa miaka 21 Mwanafunzi wa chuo kikuu cha SAUT Mwanza kwenye maegesho ya THE CASK...
0 Reactions
1 Replies
379 Views
(MDAU MMOJA KAANDIKA TWITTER, WE NEED TO KNOW WHETHER ITS TRUE OR FALSE. LISEMWALO LIPO. 1. Wazanzibar kwenye masuala ya elimu, kule kwao wana fungu la Elimu ya Juu Kwa watu wa Zanzibar na sio...
2 Reactions
5 Replies
503 Views
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amesikitishwa na kitendo cha Mhandisi wa kilimo (agricultural engineer) kapewa usimamizi wa ujenzi wa hospitali ya wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro...
8 Reactions
27 Replies
4K Views
Wasalaam, JF. Wakati Tundu AM Lissu akiamua kuasisi chama kipya cha siasa na kuifanya Tanzania kuwa na jumla ya vyama 20 vya siasa akianzia kukisimika chama hicho kipya mkoani kwake Singida kabla...
19 Reactions
120 Replies
5K Views
TAMKO LA VIJANA WA ROMBO WAISHIO DAR ES SALAAM (VIWARO-DAR) Umoja wa vijana wa Rombo waishio Dar es salaam, Ni chama Huru cha vijana waliotokea wilayani rombo Mkoani Kilimanjaro ambao wanaishi...
10 Reactions
47 Replies
3K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amewataka Askari na Maafisa wa Vyombo vya Usalama vilivyopo chini ya Wizara hiyo kutenda kazi kwa kufuata haki na uadilifu katika...
0 Reactions
1 Replies
245 Views
Profesa Juma Athuman Kapuya amejitokeza na kuwakemea wote wanaomchafua kwa kumhusisha na Taaisi ya Athuman Kapuya ambayo ilifungiwa na serikali kwa kuhusika na kashfa ya ushoga. Kapuya amesema...
6 Reactions
59 Replies
4K Views
The presidency is a presidential institute in which there is a wide spectrum of highly qualified professionals. The scenarios that emerge may be an effective strategy, but if you are the head of...
1 Reactions
5 Replies
305 Views
CHAMA cha Mapinduzi (CCM), sasa kimekiri kuelemewa na wimbi la kukimbiwa na wanachama wake hususan vijana wanaojiunga na vyama vya upinzani baada ya kuona matarajio yao hayapatikani ndani ya chama...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mchoro wenye kuonyesha: Mtindo wa Mikataba ya Kimataifa Unaotumiwa na Dubai (The Dubai BIT Model) wenye sura ya piramidi la mikataba ifuatayo: (1) Inter-Governmental Agreement (IGA), ambacho ni...
9 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom