Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Akihutubia wakati wa kupokea gawio la mashirika ya umma amesema hofu ni mbaya sana akasema kwa mfano alipotaka kuruhusu wapinzani wafanye siasa kwa uhuru makada wa CCM walimpinga sana ila hakuhofu...
11 Reactions
75 Replies
3K Views
Nasikia habari hizi Dr. Emmanuel Nchimbi atakwenda Butiama kijijini kwa Mwalimu Nyerere. Lakini sijapata mtu wa kumuuliza. Certainly hapa kijijini Butiama kuna maandalizi ya kumpokea mgeni but I...
0 Reactions
0 Replies
228 Views
JE, WAJUA? Maisha ya Kenani yanatupa Somo - Amekuwa Waziri Mkuu wa Chuo Kikuu cha Iringa - Amekuwa Katibu Mkuu Mtendaji wa Jumuiya ya vyuo vikuu Tanzania TAHLISO - Amekuwa mjumbe wa Kamati ya...
15 Reactions
77 Replies
24K Views
Tunapenda kufafanua taharuki iliyozuka leo kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Askari Monument ya Dar es Salaam. Ni kwamba ujenzi unaoendelea katika Mradi BRT Awamu ya Tatu hautaondoa wala kugusa...
2 Reactions
4 Replies
584 Views
Serikali inajipiga kifua kwamba katika Uongozi wa MAMA SAMIA RAIS WA JMT ,Demokrasia imestawi. Kiukweli usawa wa uendeshaji wa shughuli za kisiasa unabinywa chini kwa chini karibia kila Kona ya...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Kupiga kura Kisiasa ni zoezi la kumuweka mtu au Kikundi Cha watu madarakani bila kujali kama Wana sifa ama la Kupiga kura mtu anashawishiwa na Vionjo mbali mbali mfano Rushwa, Ulaghai, Dhulma na...
0 Reactions
0 Replies
232 Views
Mimi naishi Zanzibar sasa ni mwaka wa 12, nimekuja huku nikiwa mdogo sana 2012 nikiwa na miaka 19, mpaka sasa naanza kuwa mtu mzima kuna mambo nayaona huku ambayo mtanganyika ukija huku ukakaa...
13 Reactions
51 Replies
2K Views
Akiendeleza kile tunachoita ukosoaji wa maamuzi nyeti ya chama chake yaliyopita kwenye mikono ya mwenyekiti Mbowe. Lissu amehoji ilikuwaje mpaka Chadema ikampokea Nyalandu. Niwakumbushe...
6 Reactions
110 Replies
4K Views
Kuanzia kwa Mwinyi mpaka aliyepita Shein, sifa kubwa iliyowawezesha kuuwezea Urais wa JMT ni cha kwanza walikuwa humble na hawakuwa na skendo chafu chafu. Kimsingi ili Rais kutoka visiwani aweze...
1 Reactions
5 Replies
518 Views
Dhamira ya Rais kwa vijana wake anaowateua ni nzuri sana - kwamba wamsaidie kazi na majukumu yao ktk maeneo yao. Tatizo la kutenguliwa kwa vijana wengi kumetokana na sababu kuu moja "huteuliwa...
0 Reactions
2 Replies
314 Views
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Zuberi Homera ametangaza dau la milioni tano kwa yeyote atakaye fanikisha kupatikana kwa mwanafuunzi wa kidato cha tano Esther Noah Mwanyilu wa shule ya Sekondari ya...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Hii ni makala yangu ya wazi kwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan Shujaa wa Afrika,Nuru ya wanyonge,Nyota...
10 Reactions
131 Replies
3K Views
Naomba hilo swali langu Hapo juu lijibiwe bila mihemuko Ahsanteni 🐼
6 Reactions
42 Replies
712 Views
Wananchi wa Tanzania tunakupongeza kwa mazuri ambayo unayatenda. Usikatishwe tamaa na kelele sisi tulioishi muda mrefu na kujua mwenendo wa nchi tunakuona unaenda vyema sana. Furaha, amani...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Sina uhakika kama mheshimiwa rais Samia anafahamu taswira anayojijengea mbele ya umma wa Watanzania kwa kuendelea kumpa Paul Makonda nafasi katika serikali yake. Kwa kipindi kifupi tu cha wiki...
5 Reactions
9 Replies
899 Views
Siku moja baada ya kutoa taarifa inayoeleza masharti ya mkopo ambao Tanzania imeupokea kutoka Korea Kusini hivi karibuni (Soma hapa). Shiriki la Habari la Sauti ya Marekani (VoA) limeibuka na...
5 Reactions
44 Replies
4K Views
Kino Yves ni mtalii Raia wa Ufaransa anayezunguka Dunia nzima Kwa baiskeli ya miguu mitatu kama Ile ya walemavu wa miguu inafana kidogo Alipofika kigoma kijijini sana alikutana na meanakijiji...
14 Reactions
38 Replies
2K Views
Heshima sana wanajamvi, KIA ni mojawapo wa viwanja vya ndege vinavyomilikiwa na Serekali lakini hapo hapo uwanja huu umekuwa na sarakasi nyingi kupitiliza. Mwanzoni KIA ilikuwa ikiendeshwa na...
1 Reactions
2 Replies
336 Views
Akiongea wakati wa kupokea Magawio ya Serikali,Rais wa JMT DkT.Samia amesema Hajawahi Sikia Wala kuona Waziri wa Fedha Dk.Lameck Mwigulu Madelu akisifiwa.👇👇 My Take Kuna Baadhi ya kazi huwezi...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Back
Top Bottom