Ndugu zangu Watanzania,
Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii. Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua...
Mtanzania Jabarldin Hamis Ijengo ametishia kwenda Mahakamani Kuishitaki Ubalozi wa Marekani Nchini Kwa madai kwamba haijamlipa pesa zake kufuatia kutoa taarifa za Siri na uhakika zilizowezeshwa...
Namfuatilia Hapa mjadala wa kesi ya mtoto wa Rais Biden aliyetiwa hatiani na mahakama kuu ya huko na Biden mwenyewe kukiri ameridhika na mwenendo wa Kesi
Wenzetu Demokrasia inatekelezwa Kwa...
Umofia kwenu wanajamvi na poleni sana na misiba ya waziri mkuu mstaafu na mawaziri waandamizi wastaafu. Hakika kwa mola tutarejea.
Naandika bandiko hili kwa masikitiko makubwa sana, kwakuwa naona...
Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania(TCD), Profesa Ibrahim Lipumba amesema kuwa anapata wasiwasi kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa, unaweza kuwa kama wa mwaka 2019 au utakua tofauti...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSSSF unachangia kuanguka kwa mfuko huo kutokana na kutokuwa na uongozi bora pamoja na kukosa uwekezaji sahihi.
Pia soma...
Kwanza kabisa niseme wazi mimi ni mwanachama wa kawaida wa CCM nisiye na cheo chochote ndani ya chama. Wala siko kwenye kundi la kiongozi yeyote. Kwa hiyo huu uzi naandika bila kujali niko CCM...
Waziri wa Uchumi Prof Kitila Mkumbo amesema kuna mashirika 304 nchi nzima lakini yaliyotoa gawio ni 145 tu na 159 hayajatoa.
Kitila amesema jumla ya Gawio ni tsh 637 billion ambapo tsh 8.8...
Ni kauli ya mh Rais mstaafu Kikwete aliyowahi kuitoa katika moja ya vikao vya viongozi wa CCM akisema
CCM, haina mpango wa kuweka mgombea mwingine kwenye uchaguzi ujao (2025) labda mambo...
Mkutano wa CHADEMA wa Singida Magharibi ulioongozwa na Tundu Lissu umefana
Lissu amewataka wananchi kufanya mabadiliko kwenye serikali za mitaa ili kuondoa Migogoro
Naye John Pambalu ameitaka...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru ameshiriki katika Baraza la UWT (CCM) Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro ikiwa ni kuitikia wito alioalikwa na Wanawake hao katika...
Shikamoo Mheshimiwa
Shikamoo Kaka
Shikamoo Kiongozi
Shikamoo Kiongozi Mtenda Haki
DHUMUNI la kukuandikia waraka huu, kwasababu wewe ni mmoja ya viongozi ambae amekuwa anawatendea sana haki...
KISHINDO CHA RAIS SAMIA MKOANI SINGIDA//BILIONI 93 ZIMETOLEWA UWEKAJI TAA, UJENZI BARABARA NA MADARAJA
Serikali imetoa kiasi cha takribani Bilioni 93 Katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Inasikitisha sana,ni aibu kubwa ,inafedhehesha,inaleta maswali mengi sana juu ya umakini na akili za chama hiki cha CHADEMA. Hii ni baada ya kusikika kwa taarifa kuwa...
Nimekuwa najiuliza sana lkn sipati majibu kwanini watu wanalalamika sana kusikia mtandao wa x utafungiwa nchini Tanzania, vyama vya siasa tayari vimeshaanza kutoa statements vikidai ni kuminya...
Mh. Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda mabasi yanayotakiwa kwenda Kikatiti na King'ori maarufu km Covid hunyanyasa sana wananchi wanaoenda njia tajwa. Hqya magari vibao vinaonesha yanatakiwa...
MDAU MMOJA KAANDIKA TWITTER, WE NEED TO KNOW WHETHER ITS TRUE OR FALSE. LISEMWALO LIPO.
1. Wazanzibar kwenye masuala ya elimu, kule kwao wana fungu la Elimu ya Juu Kwa watu wa Zanzibar na sio...
Kwanini! Tusahau NI kwasababu pesa hiyo inaingia kwenye mikono ya watu na si kwa ajiri ya ujenzi kama tunavyoaminishwa
- Awali nilishasema kwamba ujenzi wa sgr kwa mikoa ya kanda ya ziwa...
Ninaandika ujumbe huu kupinga vikali wito wa kufungwa kwa mtandao wa X (zamani Twitter) unaotolewa na baadhi ya viongozi wa dini na Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.