Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Dalili na ishara ni za wazi na bayana kabisa, kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu2024 na ule uchaguzi mkuu mapema oct.2025, itakua na miongoni mwa chaguzi za wazi sana, huru sana...
4 Reactions
39 Replies
816 Views
"Hiki chama kimebeba 'future' na Watanzania wamekiamini kwamba ndiyo chama pekee ambacho kinaweza kui-transform nchi kwa sasa," - JamesMbowe mwanachama wa Chadema ambaye mpaka sasa haijulikani ana...
1 Reactions
4 Replies
362 Views
Miaka ya nyuma kidogo Mkoani Tabora kuna Mwanasiasa aliyekuwa akigombea Ubunge aliwahi kufunga TV kubwa Pale soko maarufu kwa jina la Soko kuu. Aliifunga wakati wa kuelekea kampeni za uchaguzi...
1 Reactions
9 Replies
847 Views
Hivi kweli mnamtengea fedha huyu chawa asiye na aibu wala kujitambua aitwaye Steven Nyerere (sina hakika na hilo jina) aisemee CCM na mwenyekiti wenu na kumuandalia Press? Mnatuonaje Watanzania...
16 Reactions
37 Replies
2K Views
Kwa hizi kauli kwamba Mtandao wa Twitter X ifungiwe, nikudhihirisha CCM hawana uwezo wa hoja tena. Ndio sababu kukimbilia kufunga Majukwaa ya ukosoaji. Kwanamna CCM ilivyo, sio chama cha siasa...
0 Reactions
7 Replies
307 Views
Kuna hii tabia inaanza kuota mizizi ya viongozi wa kisiasa kunyanyasa watu kijinsia kisha vyombo vya dola kupotezea baada ya kutumia umasikini wa wahanga kulipa chochote. Kule Manyara naibu Waziri...
11 Reactions
44 Replies
4K Views
Tanzania Raisi kufungua nchi maana Yake wageni wanaruhusiwa kuja kirahosi ila wazawa kuwa vigumu kwenda nje tofauti na Kenya Kwetu mlango mmoja Tu WA kuingilia ndio unafungiliea watu waje waone...
1 Reactions
2 Replies
204 Views
Rais wa Msumbiji atafika kijijini Butiama leo. Ataongozana na Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Emmanuel Nchimbi. Mheshimiwa Rais ataongea na wanakijiji katika mkutano wa hadhara.
1 Reactions
4 Replies
373 Views
Maria Sarungi ni mtu hatari sana kwa usalama wa Taifa, dada huyu ambaye hana mtoto hadi leo baba yake amelitumikia Taifa kwa nguvu zote na hata serikali inamheshimu Prof Sarungi. Maria mamake ni...
0 Reactions
201 Replies
9K Views
Kuna baadhi ya Mawaziri wa Awamu ya Sita wamekuwa na utajiri mkubwa na wa ghafla usioendana na kipato chao. Hii inathibitishwa na maelezo ya Wabunge wenzao ambao hali zao ni ngumu kifedha kwa...
42 Reactions
154 Replies
8K Views
Kichwa Cha thread ndio utashi wa Mwenyekiti wa UVCCM Nyamagana kupitia ukurasa wake wa X Yaani anatangaza Kufungia X kupitia ukurasa wake wa X 😂😂 Ila nimemwelewa ukishafungia X hutaacha...
4 Reactions
21 Replies
832 Views
New Delhi [India], Juni 2024 Waziri Mkuu Narendra Modi amejibu jumbe mbali mbali za pongezi kutoka kwa viongozi wa dunia baada ya kuapishwa kwake kwa muhula wa tatu mfululizo. Narendra Modi...
0 Reactions
0 Replies
221 Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa viongozi kama ifuatavyo: 1. Amemteua Dkt. Athuman Kihamia kuwa...
4 Reactions
78 Replies
48K Views
https://www.youtube.com/live/N5UQz7YOdMQ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea gawio na michango kutoka mashirika na taasisi za umma Ikulu jijini Dar es Salaam...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema mfanyabiashara, Elon Musk hakuwa na mpango wa kuweka ofisi ya Starlink nchini katika hatua yake ya kuwekeza katika utoaji...
7 Reactions
40 Replies
3K Views
Mshauri wa kisheria wa serikali ni mwanasheria Mkuu wa serikali. Ilipotokea kifo cha Hayati Magufuli alipaswa kutoa dira ya kikatiba na kisheria. Alipaswa kusimamia uandaaji wa tangazo la kifo...
2 Reactions
15 Replies
998 Views
Imefahamika kuwa Tulia Akson Mwansasu Spika wa bunge, anaendesha genge haramu ndani na nje ya bunge la kuhakikisha wanamkata miguu mapema Mwigulu Nchemba wakimhofia kuwa anaweza kuwa tishio kubwa...
4 Reactions
58 Replies
4K Views
Mbowe aliingia kwenye uenyekiti wa chama mwaka 2004, wakati huo Rais akiwa ni Mkapa. Wakati Mbowe anaingia kwenye uenyekiti John Mnyika alikuwa na miaka 25, John Heche alikuwa na miaka 23, Tundu...
34 Reactions
115 Replies
3K Views
Rais Samia kwenye hotuba yake kupokea gawio za mashirika ya umma na yale yenye hisa za serikali kuna mambo amesema yanatia mashaka. Kwanza kufuatana na msajili wa mashirika hazina ni asilimia...
2 Reactions
4 Replies
444 Views
Msomi Nguli Dr James Zotto (PhD) anatosha kuwakilisha Wana Nyasa bungeni. Hivyo hima wajumbe msituangushe.
1 Reactions
7 Replies
446 Views
Back
Top Bottom